15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

(xii) Kuhimiza wafugaji kutekeleza kanuni za ufugaji bora na kuingia katika

ufugaji endelevu wa kisasa na kibiashara unaozingatia hifadhi ya

mazingira.

Utekelezaji:

Wizara kwa kushirikiana na Halmashauri na wadau wengine imeendelea

kuhamasisha wafugaji kufuga kisasa kwa kutekeleza yafuatayo:-

(a) Kutoa elimu kwa wafugaji kuhusu kanuni za ufugaji bora;

(b) Kutekeleza Sheria na Kanuni mbalimbali zinazosimamia sekta ya

mifugo;

(c) Kutekeleza mpango wa kuendeleza malisho, ambapo sekta binafsi

imewekeza katika uzalishaji wa malisho bora na kuzalisha marobota

509,980 ya hei;

(d) Kuboresha kosaafu za mifugo kwa njia ya uhimilishaji na matumizi ya

mbegu bora;

(e) Kujenga na kukarabati miundombinu kwa ajili ya mifugo kupitia miradi

ya DADPs na DASIP;

(f) Kudhibiti magonjwa ya mifugo kwa kutoa chanjo na kuogesha mifugo;

na

(g) Kuhamasisha unenepeshaji wa ng’ombe na ujenzi wa machinjio za

kisasa.

(xiii) Kuhamasisha uanzishaji na uimarishaji wa vikundi vya ushirika wa

wafugaji.

Utekelezaji:

Wizara imeendelea kuhamasisha uimarishaji wa vikundi vya wafugaji ambapo

jumla ya vikundi 1,728 vya wafugaji vimeundwa. Lengo ni kuwa na vikundi

ambavyo vinaweza kusajiliwa na hivyo kuwa na uwezo wa kupata mikopo,

kuwa na nguvu kwenye soko kuhusu bei ya mazao yao na kupata elimu ya

ufugaji bora na wa kibiashara kwa pamoja.

(xiv) Kuhamasisha ushirikishwaji wa sekta binafsi katika utoaji wa huduma

mbalimbali za mifugo.

Utekelezaji:

Wizara kwa kushirikiana na TAMISEMI imehamasisha Halmashauri 105 na

vyama vya kitaaluma vya Tanzania Veterinary Association (TVA), Tanzania

Veterinary Para-proffesional Association (TAVEPA) na Tanzania Society of

9

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!