15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

148. Mheshimiwa Spika, vilevile, napenda kutambua na kuzishukuru

taasisi za kimataifa ambazo ni pamoja na Benki ya Dunia (WB), Benki ya

Maendeleo ya Afrika (AfDB); Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la Japani

(JICA), Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la Jamhuri ya Korea (KOICA), Shirika

la Misaada la Ireland (Irish Aid), Shirika la Misaada la Marekani (USAID), Idara

ya Maendeleo ya Kimataifa ya Uingereza (DfID), Taasisi ya Rasilimali za

Wanyama ya Umoja wa Afrika (AU/IBAR), Shirika la Afya ya Wanyama

Duniani (OIE), Shirika la Maendeleo la Uswisi (SDC), Shirika la Ushirikiano la

Ujerumani (GTZ), Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Denmark (DANIDA),

Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Sweden (SIDA) na Shirika la Kimataifa la

Maendeleo la Norway (NORAD) kwa michango yao katika kuendeleza sekta za

mifugo na uvuvi.

Aidha, napenda kuyashukuru Mashirika na Taasisi za hiari za Bill and Melinda

Gates Foundation, Association for Agricultural Research in East and Central

Africa (ASARECA), International Livestock Research Institute (ILRI), World

Wide Fund for Nature (WWF), Heifer Project Tanzania (HPT), Overseas

Fisheries Co-operation Foundation of Japan (OFCF), Vetaid, Care

International, OXFAM, Welcome Trust, Austro-Project, World Vision, FARM

Africa, Land O’ Lakes, Bangladesh Rural Advancement Committee (BRAC),

World Society for Protection of Animals (WSPA), Global Alliance for Livestock

and Veterinary Medicine (GALVmed), Institute of Security Studies (ISS),

International Land Coalition (ILC), Mashirika na Taasisi mbalimbali za humu

nchini zinazojihusisha na uendelezaji wa sekta za mifugo na uvuvi.

149. Mheshimiwa Spika, napenda nimalizie kutoa shukrani zangu za dhati

kwa Mhe. Benedict Ole Nangoro, Mbunge wa Jimbo la Kiteto na Naibu

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi; Katibu Mkuu Dkt. Charles

Nyamrunda, Naibu Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba, Wakuu wa Idara na

Taasisi za Wizara, Wafanyakazi na Wadau wote kwa mshikamano wao katika

kuendeleza Sekta za Mifugo na Uvuvi.

F: BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2011/2012

150. Mheshimiwa Spika, katika mwaka wa fedha wa 2011/2012, Wizara

inaomba Bunge lako Tukufu likubali kupitisha Makadirio ya Matumizi ya Wizara

ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ya jumla ya shilingi 57,165,193,000.00

kama ifuatavyo:-

(i) Shilingi 12,758,085,000.00 ni kwa ajili ya mishahara ya watumishi

(PE);

(ii) Shilingi 23,553,425,000.00 ni kwa ajili ya matumizi mengine (OC); na

73

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!