15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Hifadhi ya Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi

137. Mheshimiwa Spika, ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia

nchi katika sekta za mifugo na uvuvi, Wizara kwa kushirikiana na wakala wa

hali ya hewa nchini, iliendelea kutoa taarifa za tahadhari kwa wadau wa sekta

hizo kuhusu mwenendo wa hali ya hewa. Katika sekta ya mifugo, mwenendo

wa tahadhari za kupungua kwa upatikanaji wa maji na malisho ziliendelea

kutolewa na mikakati ya kupata takwimu za mwenendo wa hali ya mifugo

zimeainishwa katika mikoa. Aidha, wilaya za Ngorongoro, Monduli, Longido na

Meatu zilikuwa na upungufu wa maji na malisho mwanzoni mwa mwaka 2011.

Mikoa zaidi ya 14 ilikuwa na mvua za masika chini ya wastani, hivyo kuwa na

maeneo yatakayokuwa na upungufu wa malisho na maji wakati wa kiangazi.

138. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kuelimisha na kuhamasisha

wafugaji kuhifadhi mazingira na kuwa na matumizi endelevu ya rasilimali

katika ardhi. Aidha, kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Uholanzi

(SNV) inaendelea kuelimisha wafugaji kuhifadhi mazingira kwa kupunguza

ukataji miti na kuhamasisha matumizi ya biogas kama nishati mbadala

ambapo jumla ya wataalam 15 wamepatiwa mafunzo ya matumizi ya

mitambo ya gesi inayotokana na samadi ya ng’ombe. Vilevile, mitambo

mitano (5) ya mfano inajengwa katika wilaya za Mwanga (1), Same (2) na

Longido (2).

Katika mwaka 2011/2012, Wizara itakamilisha na kusambaza Mwongozo wa

Matumizi ya Biogesi kwa Wafugaji wa Asili na kuhamasisha Halmashauri 20

kuhusu ujenzi, utumiaji na matengenezo ya mitambo.

Maadhimisho na Makongamano Muhimu katika Sekta za Mifugo na

Uvuvi

Maonesho ya Nanenane

139. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2010/2011, Wizara kwa

kushirikiana na wadau wa Sekta za Mifugo na Uvuvi ilishiriki katika

maadhimisho ya sikukuu ya wakulima nchini – NaneNane. Maadhimisho hayo

yalifanyika kitaifa mkoani Dodoma na kauli mbiu ya maonesho hayo ilikuwa ni

“Kilimo Kwanza – Mapinduzi ya Kijani, Uhakika wa Chakula na

Kipato”. Katika maonesho hayo, Wizara na wadau walionesha matumizi ya

teknolojia mbalimbali za kuongeza uzalishaji wenye tija. Aidha, umma

ulielimishwa kuhusu Sera, Sheria, Kanuni na miongozo mbalimbali ya Sekta za

Mifugo na Uvuvi.

70

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!