jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
wafugaji. Vilevile, Serikali imeendelea kuhamasisha sekta binafsi kuwekeza

katika uzalishaji wa mitamba kwa kuwapatia mafunzo ya mbinu za ufugaji

bora na ziara za mafunzo ndani na nje ya nchi.

(vii) Kufufua na kujenga majosho na malambo mapya kwa ajili ya mifugo na

kuhimiza uogeshaji endelevu.

Utekelezaji:

Serikali kupitia DADPs na DASIP imekarabati majosho 30 na malambo 20 na

kujenga majosho 37 na malambo 62. Aidha, ili kuhimiza uogeshaji endelevu,

Serikali ilinunua lita 109,389 za dawa za kuogesha mifugo kwa kutoa ruzuku

ya shilingi bilioni 1.82 na kuzisambaza katika Halmashauri zote nchini.

(viii) Kuimarisha utafiti wa mifugo kwa kuboresha na kuhifadhi kosaafu za

mifugo ya asili ili kuongeza uzalishaji endelevu.

Utekelezaji:

Wizara imeimarisha utafiti wa mifugo wenye lengo la kuboresha na kuhifadhi

kosaafu za mifugo ya asili kwa kukusanya na kuchambua takwimu mbalimbali

za maendeleo ya ukuaji na uzalishaji kwa mbari za mifugo ya asili kwa mifugo

ifuatayo:

(a) Ng’ombe 44 wa aina ya Ufipa, 3O aina ya Ankole, na 20 aina ya

Singida White;

(b) Mbuzi 60 aina ya Pare White, 30 Sonjo Red, 93 Gogo White na 125

Newala na Kondoo 100 aina ya Red Maasai; na

(c) Kosaafu za mbari za kuku 50 wa Kawaida, 35 Sasamala, 45 Kishingo,

41 Kisunzu, 39 Bukini, 39 Kuchi, 25 Mtewa, 26 Kuza, 49 Sukuma, 41

Msumbiji na 26 Njachama.

(ix) Kuimarisha huduma za ugani na mafunzo ya watalaam na wafugaji.

Utekelezaji:

Wizara imeendelea kuimarisha huduma za ugani na mafunzo ya watalaam na

wafugaji kwa kutekeleza yafuatayo:-

(a) Kukarabati na kuvipatia vitendea kazi vyuo sita (6) vya Mafunzo ya

Mifugo ambapo, kompyuta 12, basi 1, trekta 3 na zana zake, madawati

55, vitanda na magodoro 68 vimenunuliwa na kukarabati madarasa

mawili (2), mabweni matano (5) na bwalo moja (1) la chakula;

7