15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Programu ya Usimamizi wa Bonde la Ziwa Tanganyika

128. Mheshimiwa Spika, Programu ya Usimamizi wa Bonde la Ziwa

Tanganyika yenye vipengele vya mazingira, uvuvi na mfumo wa majisafi na

majitaka chini ya uratibu wa Ofisi ya Makamu wa Rais imeendelea

kutekelezwa katika nchi za Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

(DRC), Tanzania na Zambia. Kwa upande wa Tanzania, programu hii

inatekelezwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa za Kigoma, Kigoma - Ujiji,

Mpanda, Nkasi na Sumbawanga. Katika mwaka 2010/2011, kazi zifuatazo

zimetekelezwa kwa upande wa sekta ya uvuvi:-

(i) Kuainisha vijiji 20 kwa ajili ya kuanzisha Kamati za Usimamizi wa

Rasilimali za Uvuvi (Fisheries Management Committees);

(ii) Kuainisha mialo 47 ya kupokelea samaki katika Mamlaka za Serikali za

Mitaa za Kigoma (10), Kigoma-Ujiji (4), Mpanda (3), Nkasi (27) na

Sumbawanga (3) ambapo taratibu za ujenzi wa miundombinu kwenye

mialo minne (4) katika Mikoa ya Kigoma miwili (2) na Rukwa miwili (2)

zinaendelea;

(iii) Kutoa mafunzo kwa watalaam 65 kutoka TAFIRI (Kigoma), vituo vya

doria (Kasanga na Kipili) na Mamlaka za Serikali za Mitaa husika kuhusu

uanzishaji na ufuatiliaji wa miradi midogo ya jamii za wavuvi;

(iv) Kufanya sensa ya uvuvi katika Ziwa Tanganyika;

(v) Kuanzisha BMUs 19 na kutoa mafunzo kwa viongozi wake katika

Mamlaka za Serikali za Mitaa za Kigoma-Ujiji (2), Kigoma Vijijini (5),

Nkasi (4), Mpanda (4) na Sumbawanga (4); na

(vi) Kuwezesha ujenzi unaoendelea wa ofisi za vituo vya doria vya Kipili na

Kasanga.

129. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Programu ya

Usimamizi wa Bonde la Ziwa Tanganyika kwa kushirikiana na wadau

itaendelea kusimamia matumizi endelevu ya rasilimali za uvuvi na kuboresha

miundombinu.

Mradi wa Utekelezaji wa Mpango wa Usimamizi wa Uvuvi katika

Ziwa Victoria (Implementation of a Fisheries Management Plan

Project for Lake Victoria - IFMP)

130. Mheshimiwa Spika, Mradi wa Utekelezaji wa Mpango wa Usimamizi

wa Uvuvi katika Ziwa Victoria (IFMP) umemaliza muda wake katika kipindi cha

mwaka 2010/2011. Katika kipindi hicho, Mradi umewezesha kutoa mafunzo

kuhusu madhara ya uvuvi haramu kwa wadau 9,552 kutoka Halmashauri 14

katika Mikoa ya Mwanza, Mara na Kagera. Pia, ujenzi wa mialo sita (6) ya

Marehe (Missenyi), Kikumbaitare (Chato), Bwai (Musoma), Sota (Rorya),

Kigangama (Magu) na Kahunda (Sengerema) umekamilika na kukabidhiwa

66

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!