jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ... jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

15.01.2013 Views

125. Mheshimiwa Spika, mradi wa MACEMP una lengo la kuhakikisha usimamizi na matumizi endelevu ya rasilimali za pwani na baharini. Kwa upande wa Tanzania Bara, wizara inatekeleza mradi huu kwa kushirikina na Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Wizara ya Maliasili na Utalii, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na Halmashauri zote 16 za mwambao wa pwani ya Bahari ya Hindi. 126. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2010/2011, kwa upande wa Tanzania Bara, kupitia mradi huu yafuatayo yametekelezwa: (i) Ujenzi wa Vituo vitatu (3) vya Jamii (Community Centres) katika wilaya za Kilwa, Mafia na Rufiji; (ii) Ujenzi wa mialo ya kupokelea samaki na mazao ya uvuvi ya Masoko Pwani (Kilwa), Kilindoni (Mafia) na Nyamisati (Rufiji) na ujenzi umefikia asilimia 70; (iii) Ununuzi na usambazaji wa boti 16 za doria kwa Halmashauri za Wilaya za Bagamoyo (1), Lindi Vijijini (1), Pangani (1), Mkinga (1), na Mkuranga (1), Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu za Mnazi Bay Mtwara (1), Mafia (1), Dar es Salaam (2) na Silikanti-Tanga (1); Wizara ya Maliasili na Utalii - Idara ya Misitu na Nyuki (2) na vituo vya doria vya Wizara vya Dar es Salaam (1), Mafia (1) Tanga (1) na Mtwara (1); (iv) Utekelezaji wa miradi shirikishi 20 ya kiuchumi inayohusu ufugaji wa kuku, nyuki, samaki na uvuvi katika Halmashauri za Temeke (15) na Mtwara Vijijini (5) iliyohusisha wananchi 267 (wanaume 151 na wanawake 116); (v) Kutoa mafunzo ya muda mrefu ndani na nje ya nchi kwa watumishi 27 wa Wizara pamoja na Halmashauri zinazotekeleza mradi; (vi) Ujenzi wa Jengo la Mvuvi (Mvuvi House) katika ofisi za Wizara Temeke Vetenari ambao umefikia asilimia 90; (vii) Kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kujenga ofisi ya makao makuu ya Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi katika Ukanda wa Bahari Kuu katika eneo la Fumba, Zanzibar, ambao umefikia asilimia 80; (viii) Kuainisha vyanzo vya mapato ili kuwezesha kuanzishwa kwa Mfuko wa Maendeleo ya Sekta ya Uvuvi (Marine Legacy Fund). Mfuko huu 64

unaanzishwa kwa lengo la kuendeleza kazi nzuri iliyoanzishwa na mradi wa MACEMP ya kusimamia matumizi endelevu ya rasilimali za bahari na pwani; (ix) Kushirikiana na Umoja wa Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo (Savings and Credit Cooperative Union League of Tanzania- SCCULT) kuhamasisha wananchi katika wilaya za Kilwa, Mafia na Rufiji kuanzisha SACCOs na Benki ya Wananchi ambapo Wilaya ya Mafia imekusanya shilingi milioni 29 kati ya shilingi milioni 250 zinazohitajika kuanzisha benki ya aina hiyo; (x) Kushirikiana na Tume ya Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi kutengeneza ramani kwa ajili ya kuhakiki rasilimali na kupanga mpango wa matumizi bora ya ardhi katika vijiji vya Mkenda, Kivinja A, Kivinja B, Msindaji na Mchungu (Rufiji) na Mitaa 15 katika kata za Msinjahili, Jamhuri na Ras Bura (Lindi); na (xi) Kushirikiana na Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuandaa na kuidhinisha Mipango ya Matumizi ya Uwiano wa Rasilimali za Bahari na Ukanda wa Pwani katika Halmashauri 15 za Ukanda wa Pwani. 127. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, kupitia mradi wa MACEMP kazi zifuatazo zitatekelezwa:- (i) Kuandaa na kutekeleza Mipango ya Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi (BMUs) katika vijiji 60 vilivyopo katika Halmashauri 16 za ukanda wa pwani wa bahari na kusaidia utekelezaji wake; (ii) Kukamilisha Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi katika vijiji 46 katika ukanda wa pwani; (iii) Kufuatilia na kutathmini miradi midogo 459 ya uzalishaji ya jamii za wavuvi katika eneo la Mradi; (iv) Kukamilisha ujenzi wa ofisi za Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi Bahari Kuu na mialo ya kupokelea samaki ya Kilwa, Mafia na Rufiji; (v) Kuimarisha na kuwezesha uanzishwaji wa hifadhi mpya za bahari na maeneo tengefu; (vi) Kukamilisha uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Sekta ya Uvuvi (Marine Legacy Fund) ili kuendeleza shughuli za mradi utakapomalizika; (vii) Kufanya tafiti za samaki wanaoishi kwenye matumbawe; na (viii) Kukarabati majengo ya kihistoria na kukamilisha ujenzi wa ofisi ya Hifadhi ya Bahari ya Silikanti ya Tanga. 65

unaanzishwa kwa lengo la kuendeleza kazi nzuri iliyoanzishwa na

mradi wa MACEMP ya kusimamia matumizi endelevu ya rasilimali za

bahari na pwani;

(ix) Kushirikiana na Umoja wa Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo

(Savings and Credit Cooperative Union League of Tanzania- SCCULT)

kuhamasisha wananchi katika wilaya za Kilwa, Mafia na Rufiji

kuanzisha SACCOs na Benki ya Wananchi ambapo Wilaya ya Mafia

imekusanya shilingi milioni 29 kati ya shilingi milioni 250

zinazohitajika kuanzisha benki ya aina hiyo;

(x) Kushirikiana na Tume ya Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi

kutengeneza ramani kwa ajili ya kuhakiki rasilimali na kupanga

mpango wa matumizi bora ya ardhi katika vijiji vya Mkenda, Kivinja

A, Kivinja B, Msindaji na Mchungu (Rufiji) na Mitaa 15 katika kata za

Msinjahili, Jamhuri na Ras Bura (Lindi); na

(xi) Kushirikiana na Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC)

kuandaa na kuidhinisha Mipango ya Matumizi ya Uwiano wa Rasilimali

za Bahari na Ukanda wa Pwani katika Halmashauri 15 za Ukanda wa

Pwani.

127. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, kupitia mradi wa

MACEMP kazi zifuatazo zitatekelezwa:-

(i) Kuandaa na kutekeleza Mipango ya Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali

za Uvuvi (BMUs) katika vijiji 60 vilivyopo katika Halmashauri 16 za

ukanda wa pwani wa bahari na kusaidia utekelezaji wake;

(ii) Kukamilisha Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi katika vijiji 46 katika

ukanda wa pwani;

(iii) Kufuatilia na kutathmini miradi midogo 459 ya uzalishaji ya jamii za

wavuvi katika eneo la Mradi;

(iv) Kukamilisha ujenzi wa ofisi za Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi Bahari

Kuu na mialo ya kupokelea samaki ya Kilwa, Mafia na Rufiji;

(v) Kuimarisha na kuwezesha uanzishwaji wa hifadhi mpya za bahari na

maeneo tengefu;

(vi) Kukamilisha uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Sekta ya Uvuvi

(Marine Legacy Fund) ili kuendeleza shughuli za mradi

utakapomalizika;

(vii) Kufanya tafiti za samaki wanaoishi kwenye matumbawe; na

(viii) Kukarabati majengo ya kihistoria na kukamilisha ujenzi wa ofisi ya

Hifadhi ya Bahari ya Silikanti ya Tanga.

65

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!