15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

125. Mheshimiwa Spika, mradi wa MACEMP una lengo la kuhakikisha

usimamizi na matumizi endelevu ya rasilimali za pwani na baharini. Kwa

upande wa Tanzania Bara, wizara inatekeleza mradi huu kwa kushirikina na

Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Wizara ya Maliasili na Utalii, Wizara ya

Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na Halmashauri zote 16 za

mwambao wa pwani ya Bahari ya Hindi.

126. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2010/2011, kwa upande wa

Tanzania Bara, kupitia mradi huu yafuatayo yametekelezwa:

(i) Ujenzi wa Vituo vitatu (3) vya Jamii (Community Centres) katika

wilaya za Kilwa, Mafia na Rufiji;

(ii) Ujenzi wa mialo ya kupokelea samaki na mazao ya uvuvi ya Masoko

Pwani (Kilwa), Kilindoni (Mafia) na Nyamisati (Rufiji) na ujenzi

umefikia asilimia 70;

(iii) Ununuzi na usambazaji wa boti 16 za doria kwa Halmashauri za

Wilaya za Bagamoyo (1), Lindi Vijijini (1), Pangani (1), Mkinga (1),

na Mkuranga (1), Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu za Mnazi Bay

Mtwara (1), Mafia (1), Dar es Salaam (2) na Silikanti-Tanga (1);

Wizara ya Maliasili na Utalii - Idara ya Misitu na Nyuki (2) na vituo

vya doria vya Wizara vya Dar es Salaam (1), Mafia (1) Tanga (1) na

Mtwara (1);

(iv) Utekelezaji wa miradi shirikishi 20 ya kiuchumi inayohusu ufugaji wa

kuku, nyuki, samaki na uvuvi katika Halmashauri za Temeke (15) na

Mtwara Vijijini (5) iliyohusisha wananchi 267 (wanaume 151 na

wanawake 116);

(v) Kutoa mafunzo ya muda mrefu ndani na nje ya nchi kwa watumishi

27 wa Wizara pamoja na Halmashauri zinazotekeleza mradi;

(vi) Ujenzi wa Jengo la Mvuvi (Mvuvi House) katika ofisi za Wizara

Temeke Vetenari ambao umefikia asilimia 90;

(vii) Kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi ya Serikali ya Mapinduzi

Zanzibar kujenga ofisi ya makao makuu ya Mamlaka ya Kusimamia

Uvuvi katika Ukanda wa Bahari Kuu katika eneo la Fumba, Zanzibar,

ambao umefikia asilimia 80;

(viii) Kuainisha vyanzo vya mapato ili kuwezesha kuanzishwa kwa Mfuko

wa Maendeleo ya Sekta ya Uvuvi (Marine Legacy Fund). Mfuko huu

64

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!