jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Sekta ya Uvuvi

100. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kutoa elimu kwa wadau

kuhusu athari za uvuvi haramu, matumizi bora ya rasilimali za uvuvi, utunzaji

wa mazingira, mbinu shirikishi za usimamizi wa rasilimali za uvuvi na ukuzaji

wa viumbe kwenye maji nchini. Elimu hiyo ilitolewa kwa wavuvi 1,015 kutoka

Halmashauri 14 za Mafia, Rufiji, Mkinga, Muheza, Mwanga, Moshi Vijijini,

Singida vijijini, Babati, Iramba, Mpwapwa, Manispaa ya Singida, Jiji la Tanga

na Manispaa za Dar es Salaam. Pia, elimu ya ufugaji wa samaki ilitolewa kwa

wakulima 147 katika Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Singida, Dodoma na

Manyara. Aidha, vipindi 52 vya radio na 15 vya luninga viliandaliwa na

kurushwa hewani. Vilevile, mabango 10, vitabu 2,118 na vipeperushi 6,425

kuhusu mbinu bora za ufugaji wa samaki na hifadhi ya mazao ya uvuvi

zimechapishwa na kusambazwa kwa wadau.

101. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Wizara itatekeleza

majukumu yafuatayo:-

(i) Kuandaa na kurusha hewani vipindi 26 vya redio na sita (6) vya

televisheni kuhusu uvuvi endelevu;

(ii) Kutoa mafunzo rejea ya ukuzaji bora wa viumbe kwenye maji kwa

maafisa ugani 50 na wafugaji wa samaki 300 katika Halmashauri 15;

(iii) Kuandaa na kusambaza mabango sita (6), vijitabu 1,500 na

vipeperushi 2,500 kuhusu uvuvi endelevu na ukuzaji bora wa viumbe

kwenye maji; na

(iv) Kutoa mafunzo ya kuhimiza shughuli mbadala za kiuchumi kama vile

ufugaji wa samaki, ng’ombe na mbuzi wa maziwa, kuku na ukulima wa

bustani za mboga.

Sensa na Benki ya Takwimu ya Mifugo

102. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2010/2011, Wizara kwa

kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wizara ya Kilimo, Chakula na

Ushirika; na Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI ilifanya uchambuzi wa taarifa ya

matokeo ya Sensa ya Mifugo iliyofanyika kwa Njia ya Sampuli mwaka

2007/2008. Aidha, Wizara chini ya Mradi wa Benki ya Dunia wa Kuboresha

Takwimu za Mifugo ( Livestock Data Innovation in Africa) imeshiriki katika

mafunzo ya kujenga uwezo kwa Maafisa Takwimu za Mifugo katika

kuchambua na kuainisha kwa ufasaha nafasi na mchango halisi wa Sekta ya

Mifugo katika pato la Taifa yaliyofanyika nchini Zambia

mwezi Aprili 2011.

103. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, ili kuimarisha

upatikanaji wa takwimu sahihi za mifugo, Wizara itatekeleza yafuatayo:-

54