jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ... jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

15.01.2013 Views

madaftari 448), Mwanza (chapa 1,236, madaftari 618), na Kagera (chapa 773, madaftari 386). Kazi nyingine zilizofanyika ni:- (i) Kutoa mafunzo kwa wataalam 110 kutoka Halmashauri za Kanda ya Ziwa juu ya mfumo wa Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji wa Mifugo; (ii) Kutoa mafunzo kwa Wakaguzi wa Ustawi wa Wanyama 95 kutoka Halmashauri za Nyanda na Juu Kusini (30) na Kanda ya Ziwa (65) juu ya usimamizi wa Sheria ya Ustawi wa Wanyama; (iii) Kuandaa nakala 5,000 za vipeperushi vya kitaaluma na kuvisambaza wakati wa maonesho ya Nanenane ya mwaka 2010, wiki ya Utumishi wa Umma, wiki ya Uhamasishaji wa Unywaji wa Maziwa na matukio mengine ya Kitaifa; (iv) Kusajili wafugaji 8,185 na kuwatambua kwa chapa ya kitaifa (branding) ng’ombe 93,793 katika mikoa ya Kagera, Mara, Shinyanga, na Mwanza; na (v) Kuunda na kuzindua Baraza la Ushauri wa Ustawi wa Wanyama kwa mujibu wa Sheria ya Ustawi wa Wanyama, Sura ya 154 (The Animal Welfare Act, Cap 154) na kuliwezesha kufanya vikao viwili (2). Katika mwaka 2011/2012, Wizara itatekeleza kazi zifuatazo:- (i) Kutoa mafunzo kwa wataalam 100 wa mifugo katika Halmashauri kuhusu usimamizi na uendeshaji wa mfumo wa utambuzi, usajili na ufuatiliaji mifugo na mazao yake; (ii) Kutengeneza benki ya takwimu ya kitaifa ya kumbukumbu za utambuzi, usajili na ufuatiliaji mifugo (Livestock Identification and Traceability Database); (iii) Kuratibu utekelezaji wa mfumo wa utambuzi, usajili na ufuatiliaji mifugo katika ufugaji wa asili na ufugaji wa kibiashara kwa kusajili wafugaji 300,000 na kutambua ng’ombe 600,000; (iv) Kuwajengea uwezo wakaguzi 200 wa Halmashauri kuhusu usimamizi wa Sheria ya Ustawi wa Wanyama; (v) Kutoa elimu kuhusu Sheria ya Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji mifugo kwa wafugaji na wadau wengine; (vi) Kuratibu na kusimamia uzingatiaji wa ustawi wa wanyama nchini; na (vii) Kuliwezesha Baraza la Ushauri la Ustawi wa Wanyama kutekeleza majukumu yake. Huduma za Ugani katika Sekta za Mifugo na Uvuvi Sekta ya Mifugo 99. Mheshimiwa Spika, Wizara iliendelea kutoa huduma za ushauri kwa wafugaji ili kuwawezesha kuongeza ubora wa mifugo na mazao yatokanayo 52

na mifugo na hivyo kuongeza tija. Katika mwaka 2010/2011, Wizara ilisambaza kwa wadau nakala za vipeperushi 52,000, mabango 30,000 na vijitabu 13,000 kuhusu ufugaji bora kwa Halmashauri zote nchini. Aidha, vipindi 52 vya redio na 12 vya televisheni viliandaliwa na kurushwa hewani. Wizara kwa kushirikiana na Halmashauri katika Mikoa ya Arusha, Dodoma, Kagera, Kilimanjaro, Manyara, Mwanza, Tabora na Tanga ilitoa mafunzo kwa wafugaji 8,796 kuhusu ufugaji wa kibiashara kupitia vyuo sita (6) vya mafunzo ya mifugo (LITIs) na vyuo vya mafunzo ya wafugaji (FTCs) vya Mabuki na Kikulula. Pia, Wizara ilitoa mafunzo kuhusu upangaji wa mipango shirikishi ya ugani kwa wataalam 26 wa Kanda ya Ziwa na mbinu za Shamba Darasa kwa wataalam 32 wa Kanda za Kati na Kusini. Vilevile, Wizara kupitia mradi wa EAAPP ilitoa mafunzo kwa wafugaji 84 kutoka Kanda za Nyanda za Juu Kusini na Mashariki kuhusu usindikaji wa maziwa na bidhaa zake. Aidha, wafugaji 18 kutoka Kanda za Nyanda za Juu Kusini na Mashariki walishiriki kwenye ziara ya mafunzo nchini Kenya kuhusu usindikaji, masoko ya maziwa na ushirika. Katika mwaka 2011/2012, Wizara itatekeleza majukumu yafuatayo:- (i) Kuchapisha na kusambaza kwa wadau nakala 50,000 za vipeperushi, 15,000 za mabango na 7,000 za vijitabu kuhusu ufugaji bora wa mifugo; (ii) Kuandaa na kurusha hewani vipindi vya redio 26 na vya televisheni sita (6) kuhusu ufugaji bora wa mifugo; (iii) Kutoa mafunzo kwa wataalam wakufunzi 50 wa ugani kutoka Halmashauri za Mikoa ya Kanda za Kusini na Mashariki kuhusu mbinu shirikishi ya Shamba Darasa; (iv) Kutoa mafunzo kwa wataalam 60 wa ugani kuhusu Upangaji wa Mipango Shirikishi ya Ugani na Shamba Darasa kutoka wilaya 23 za Kanda za Nyanda za Juu Kusini na Mashariki; (v) Kuimarisha Kitengo cha Ugani kwa kukipatia vitendea kazi; (vi) Kushirikiana na Halmashauri kutoa mafunzo kwa wafugaji 5,000 kuhusu ufugaji bora na wa kibiashara; (vii) Kukarabati na kuimarisha vituo viwili (2) vya mafunzo kwa wafugaji vya Mabuki (Mwanza) na Kikulula (Kagera) na kuanzisha kituo kipya katika Wilaya ya Rorya (Mara) ili viweze kutoa mafunzo kwa wafugaji wengi zaidi; (viii) Kushirikiana na wadau wengine kuandaa na kushiriki katika maadhimisho mbalimbali ya Kitaifa ikiwa ni pamoja na Nanenane na Siku ya Chakula Duniani; na (ix) Kushirikiana na Nchi za Afrika Mashariki na Kati kutekeleza mradi wa EAAPP unaolenga kuongeza tija katika sekta ya mifugo. 53

madaftari 448), Mwanza (chapa 1,236, madaftari 618), na Kagera (chapa

773, madaftari 386). Kazi nyingine zilizofanyika ni:-

(i) Kutoa mafunzo kwa wataalam 110 kutoka Halmashauri za Kanda ya

Ziwa juu ya mfumo wa Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji wa Mifugo;

(ii) Kutoa mafunzo kwa Wakaguzi wa Ustawi wa Wanyama 95 kutoka

Halmashauri za Nyanda na Juu Kusini (30) na Kanda ya Ziwa (65) juu ya

usimamizi wa Sheria ya Ustawi wa Wanyama;

(iii) Kuandaa nakala 5,000 za vipeperushi vya kitaaluma na kuvisambaza

wakati wa maonesho ya Nanenane ya mwaka 2010, wiki ya Utumishi

wa Umma, wiki ya Uhamasishaji wa Unywaji wa Maziwa na matukio

mengine ya Kitaifa;

(iv) Kusajili wafugaji 8,185 na kuwatambua kwa chapa ya kitaifa (branding)

ng’ombe 93,793 katika mikoa ya Kagera, Mara, Shinyanga, na Mwanza;

na

(v) Kuunda na kuzindua Baraza la Ushauri wa Ustawi wa Wanyama kwa

mujibu wa Sheria ya Ustawi wa Wanyama, Sura ya 154 (The Animal

Welfare Act, Cap 154) na kuliwezesha kufanya vikao viwili (2).

Katika mwaka 2011/2012, Wizara itatekeleza kazi zifuatazo:-

(i) Kutoa mafunzo kwa wataalam 100 wa mifugo katika Halmashauri

kuhusu usimamizi na uendeshaji wa mfumo wa utambuzi, usajili na

ufuatiliaji mifugo na mazao yake;

(ii) Kutengeneza benki ya takwimu ya kitaifa ya kumbukumbu za utambuzi,

usajili na ufuatiliaji mifugo (Livestock Identification and Traceability

Database);

(iii) Kuratibu utekelezaji wa mfumo wa utambuzi, usajili na ufuatiliaji mifugo

katika ufugaji wa asili na ufugaji wa kibiashara kwa kusajili wafugaji

300,000 na kutambua ng’ombe 600,000;

(iv) Kuwajengea uwezo wakaguzi 200 wa Halmashauri kuhusu usimamizi

wa Sheria ya Ustawi wa Wanyama;

(v) Kutoa elimu kuhusu Sheria ya Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji mifugo

kwa wafugaji na wadau wengine;

(vi) Kuratibu na kusimamia uzingatiaji wa ustawi wa wanyama nchini; na

(vii) Kuliwezesha Baraza la Ushauri la Ustawi wa Wanyama kutekeleza

majukumu yake.

Huduma za Ugani katika Sekta za Mifugo na Uvuvi

Sekta ya Mifugo

99. Mheshimiwa Spika, Wizara iliendelea kutoa huduma za ushauri kwa

wafugaji ili kuwawezesha kuongeza ubora wa mifugo na mazao yatokanayo

52

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!