15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

kushauri juu ya maendeleo ya tasnia ya ngozi nchini. Aidha, Sheria hiyo

imetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, kuchapishwa na kusambazwa katika

Halmashauri zote nchini. Pia, Mwongozo wa Uzalishaji Bora wa Ngozi

umeandaliwa na kusambazwa katika Halmashauri zote.

Katika mwaka 2011/2012, Wizara itaendelea kutekeleza mkakati huo kwa

kufanya yafuatayo:-

(i) Kuendelea kutoa mafunzo kwa wadau mbalimbali ili kuboresha zao la

ngozi;

(ii) Kuwezesha uendeshaji wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa ngozi ili

iweze kutekeleza majukumu yake;

(iii) Kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Ngozi na kanuni zake; na

(iv) Kusimamia ulipaji wa ushuru wa ngozi ghafi zinazouzwa nje ya nchi kwa

lengo la kuwezesha ngozi zote ghafi kusindikwa nchini.

96. Mheshimiwa Spika, miundombinu imara ya masoko ya mifugo ni

muhimu katika kuboresha biashara ya mifugo na mazao yake. Katika mwaka

2010/2011, Wizara imetekeleza kazi zifuatazo:-

(i) Kukarabati minada ya upili ya Pugu na Kizota;

(ii) Kununua mizani ya kupima uzito wa mifugo kwa ajili ya minada ya Pugu,

Mhunze, Weruweru na Themi;

(iii) Kukusanya, kuchambua, kuhifadhi na kusambaza taarifa za masoko ya

mifugo kutoka minada 53; na

(iv) Kuhamasisha ukusanyaji wa maduhuli ya minadani ambapo jumla ya

shilingi bilioni 4.1 zilikusanywa ikiwa ni ongezeko la asilimia 51.8

ikilinganishwa na shilingi bilioni 2.7 mwaka 2009/2010.

97. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Wizara itaendelea

kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara kukusanya na kutoa taarifa za

masoko kutoka minada 53 iliyounganishwa na Mtandao wa mawasiliano

LINKS. Pia, Wizara itaweka mizani kwenye minada ya Igunga, Ipuli, Korogwe

na Meserani. Vilevile, Wizara itatoa mafunzo kuhusu ukusanyaji wa takwimu

kwa wataalam 120 wanaosimamia minada.

Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji Mifugo na Mazao Yake

98. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kuimarisha Mfumo wa

Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji Mifugo na Mazao yake. Katika mwaka

2010/2011, madaftari ya usajili 2,211 na chapa 4,057 zimesambazwa katika

Halmashauri 17 katika mikoa ya Arusha (chapa 606 na madaftari ya usajili

846), Dodoma (chapa 306, madaftari 153), Shinyanga (chapa 896,

51

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!