jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ... jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

15.01.2013 Views

na shilingi bilioni 8.5 mwaka 2009/2010. Kati ya vipande vya ngozi vilivyokusanywa, vipande vya ngozi za ng’ombe 1,719,506, mbuzi 2,111,176, na kondoo 83,600 viliuzwa nje ya nchi kwa thamani ya shilingi bilioni 17.4 ikilinganishwa na vipande vya ngozi za ng’ombe 739,315, mbuzi 1,900,000 na kondoo 176,400 vilivyouzwa nje ya nchi kwa thamani ya shilingi bilioni 8.2 mwaka 2009/2010 sawa na ongezeko la asilimia 112.2 (Jedwali Na 12.). Ongezeko hili, pamoja na masuala mengine, limechangiwa na kuimarika kwa soko la ngozi duniani na kufanya mahitaji na bei ya ngozi hapa nchini kuongezeka. 93. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kuhamasisha usindikaji wa ngozi ambapo vipande vya ngozi zilizosindikwa vimeongezeka kutoka vipande vya ngozi za ng’ombe 275,000 na vya mbuzi 1,440,000 vyenye thamani ya shilingi bilioni 6.2 mwaka 2009/2010 hadi kufikia vipande vya ngozi za ng’ombe 782,447, vya mbuzi 1,535,562 na vya kondoo 61,200 vyenye thamani ya shilingi bilioni 10.6 mwaka 2010/2011. Kuongezeka kwa idadi ya ngozi zilizosindikwa kumetokana na kuimarika kwa soko; kuongezeka kwa ubora wa ngozi; kuimarisha udhibiti wa ulipaji wa ushuru kwa ngozi ghafi zinazosafirishwa nje ya nchi; na kuhamasisha wafanya biashara, wanaouza ngozi ghafi nje ya nchi na wawekezaji, kusindika ngozi hapa nchini. Hatua hizi zimechangia kuongezeka kwa kiwanda kipya cha Petro City na kupanuliwa kwa viwanda vya Moshi Leather Industries na Himo Tannery na kufanya viwanda vya kusindika ngozi kufikia nane (8) (Jedwali Na. 13). 94. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kusimamia na kutekeleza Mkakati wa Kufufua na Kuendeleza Sekta na Viwanda vya Ngozi Nchini kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Halmashauri 65 na Chama cha Wadau wa Ngozi. Katika mwaka 2010/2011, Wizara kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Mifugo (Livestock Development Fund) imeimarisha huduma za ugani kwa kununua pikipiki 10 na kuzisambaza katika Halmashauri za Bagamoyo, Chato, Karagwe, Kibaha, Kilosa, Misenyi, Morogoro, Mpanda, Mvomero na Sumbawanga. Aidha, jumla ya visu 6,500 vya kuchunia, 3,200 vya kuwekea mikato ya awali, vinoleo 3,200 na vifaa 130 vya kunyanyulia mnyama anayechunwa vimesambazwa katika Halmashauri zote zinazotekeleza mkakati huu. 95. Mheshimiwa Spika, katika juhudi za kutoa elimu ya uboreshaji wa zao la ngozi, Wizara kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara, Halmashauri na Chama cha Wadau wa Ngozi (LAT) imetoa mafunzo kwa wadau 14,855 wakiwemo wafugaji 6,433, wachinjaji/wachunaji 2,225, wawambaji na wachambuzi wa madaraja 1,229, wasindikaji 313, wafanyabiashara 1,067, maafisa ugani 1,772 na wadau wengine 1,816. Vilevile, Wizara imezindua Kamati ya Ushauri wa Ngozi ambayo imeainishwa kwenye Sheria ya Ngozi Na. 18 ya Mwaka 2008. Kamati hiyo ina jukumu la 50

kushauri juu ya maendeleo ya tasnia ya ngozi nchini. Aidha, Sheria hiyo imetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, kuchapishwa na kusambazwa katika Halmashauri zote nchini. Pia, Mwongozo wa Uzalishaji Bora wa Ngozi umeandaliwa na kusambazwa katika Halmashauri zote. Katika mwaka 2011/2012, Wizara itaendelea kutekeleza mkakati huo kwa kufanya yafuatayo:- (i) Kuendelea kutoa mafunzo kwa wadau mbalimbali ili kuboresha zao la ngozi; (ii) Kuwezesha uendeshaji wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa ngozi ili iweze kutekeleza majukumu yake; (iii) Kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Ngozi na kanuni zake; na (iv) Kusimamia ulipaji wa ushuru wa ngozi ghafi zinazouzwa nje ya nchi kwa lengo la kuwezesha ngozi zote ghafi kusindikwa nchini. 96. Mheshimiwa Spika, miundombinu imara ya masoko ya mifugo ni muhimu katika kuboresha biashara ya mifugo na mazao yake. Katika mwaka 2010/2011, Wizara imetekeleza kazi zifuatazo:- (i) Kukarabati minada ya upili ya Pugu na Kizota; (ii) Kununua mizani ya kupima uzito wa mifugo kwa ajili ya minada ya Pugu, Mhunze, Weruweru na Themi; (iii) Kukusanya, kuchambua, kuhifadhi na kusambaza taarifa za masoko ya mifugo kutoka minada 53; na (iv) Kuhamasisha ukusanyaji wa maduhuli ya minadani ambapo jumla ya shilingi bilioni 4.1 zilikusanywa ikiwa ni ongezeko la asilimia 51.8 ikilinganishwa na shilingi bilioni 2.7 mwaka 2009/2010. 97. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Wizara itaendelea kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara kukusanya na kutoa taarifa za masoko kutoka minada 53 iliyounganishwa na Mtandao wa mawasiliano LINKS. Pia, Wizara itaweka mizani kwenye minada ya Igunga, Ipuli, Korogwe na Meserani. Vilevile, Wizara itatoa mafunzo kuhusu ukusanyaji wa takwimu kwa wataalam 120 wanaosimamia minada. Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji Mifugo na Mazao Yake 98. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kuimarisha Mfumo wa Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji Mifugo na Mazao yake. Katika mwaka 2010/2011, madaftari ya usajili 2,211 na chapa 4,057 zimesambazwa katika Halmashauri 17 katika mikoa ya Arusha (chapa 606 na madaftari ya usajili 846), Dodoma (chapa 306, madaftari 153), Shinyanga (chapa 896, 51

na shilingi bilioni 8.5 mwaka 2009/2010. Kati ya vipande vya ngozi

vilivyokusanywa, vipande vya ngozi za ng’ombe 1,719,506, mbuzi

2,111,176, na kondoo 83,600 viliuzwa nje ya nchi kwa thamani ya shilingi

bilioni 17.4 ikilinganishwa na vipande vya ngozi za ng’ombe 739,315, mbuzi

1,900,000 na kondoo 176,400 vilivyouzwa nje ya nchi kwa thamani ya

shilingi bilioni 8.2 mwaka 2009/2010 sawa na ongezeko la asilimia 112.2

(Jedwali Na 12.). Ongezeko hili, pamoja na masuala mengine, limechangiwa

na kuimarika kwa soko la ngozi duniani na kufanya mahitaji na bei ya ngozi

hapa nchini kuongezeka.

93. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kuhamasisha usindikaji wa

ngozi ambapo vipande vya ngozi zilizosindikwa vimeongezeka kutoka vipande

vya ngozi za ng’ombe 275,000 na vya mbuzi 1,440,000 vyenye thamani ya

shilingi bilioni 6.2 mwaka 2009/2010 hadi kufikia vipande vya ngozi za

ng’ombe 782,447, vya mbuzi 1,535,562 na vya kondoo 61,200 vyenye

thamani ya shilingi bilioni 10.6 mwaka 2010/2011. Kuongezeka kwa idadi ya

ngozi zilizosindikwa kumetokana na kuimarika kwa soko; kuongezeka kwa

ubora wa ngozi; kuimarisha udhibiti wa ulipaji wa ushuru kwa ngozi ghafi

zinazosafirishwa nje ya nchi; na kuhamasisha wafanya biashara, wanaouza

ngozi ghafi nje ya nchi na wawekezaji, kusindika ngozi hapa nchini. Hatua hizi

zimechangia kuongezeka kwa kiwanda kipya cha Petro City na kupanuliwa

kwa viwanda vya Moshi Leather Industries na Himo Tannery na kufanya

viwanda vya kusindika ngozi kufikia nane (8) (Jedwali Na. 13).

94. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kusimamia na kutekeleza

Mkakati wa Kufufua na Kuendeleza Sekta na Viwanda vya Ngozi Nchini kwa

kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara, Ofisi ya Waziri Mkuu –

TAMISEMI, Halmashauri 65 na Chama cha Wadau wa Ngozi. Katika mwaka

2010/2011, Wizara kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Mifugo (Livestock

Development Fund) imeimarisha huduma za ugani kwa kununua pikipiki 10 na

kuzisambaza katika Halmashauri za Bagamoyo, Chato, Karagwe, Kibaha,

Kilosa, Misenyi, Morogoro, Mpanda, Mvomero na Sumbawanga. Aidha, jumla

ya visu 6,500 vya kuchunia, 3,200 vya kuwekea mikato ya awali, vinoleo

3,200 na vifaa 130 vya kunyanyulia mnyama anayechunwa vimesambazwa

katika Halmashauri zote zinazotekeleza mkakati huu.

95. Mheshimiwa Spika, katika juhudi za kutoa elimu ya uboreshaji wa zao

la ngozi, Wizara kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara,

Halmashauri na Chama cha Wadau wa Ngozi (LAT) imetoa mafunzo kwa

wadau 14,855 wakiwemo wafugaji 6,433, wachinjaji/wachunaji 2,225,

wawambaji na wachambuzi wa madaraja 1,229, wasindikaji 313,

wafanyabiashara 1,067, maafisa ugani 1,772 na wadau wengine 1,816.

Vilevile, Wizara imezindua Kamati ya Ushauri wa Ngozi ambayo imeainishwa

kwenye Sheria ya Ngozi Na. 18 ya Mwaka 2008. Kamati hiyo ina jukumu la

50

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!