jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
C: UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM YA MWAKA 2010

11. Mheshimiwa Spika, katika kutekeleza majukumu ya sekta za mifugo na

uvuvi, Wizara imezingatia maelekezo yaliyomo katika Ilani ya Uchaguzi ya

CCM ya Mwaka 2010. Ilani inatambua mchango mkubwa unaoweza kutolewa

na sekta hizi katika kuwapunguzia wananchi umaskini na kuongeza Pato la

Taifa.

12. Mheshimiwa Spika, ili Sekta ya Mifugo iweze kutoa mchango mkubwa

kwenye Pato la Taifa, Serikali imeelekezwa kutekeleza yafuatayo:-

Mapinduzi ya Ufugaji

(i) Serikali iandae programu kabambe ya kuendeleza sekta ya mifugo na

ufugaji. Programu hiyo ijumuishe pamoja na mambo mengine masuala ya

uendelezaji wa maeneo ya malisho, kuchimba na kujenga malambo,

mabwawa, majosho na huduma za ugani ili hatimaye wafugaji

waondokane na ufugaji wa kuhamahama.

Utekelezaji:

Wizara kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya mifugo imekamilisha rasimu ya

Programu ya Kuendeleza Sekta ya Mifugo ambayo itatekelezwa kwa kipindi

cha mwaka 2011/2012 hadi 2015/2016. Programu hii, imeainisha pamoja na

mambo mengine masuala ya uendelezaji wa maeneo ya malisho, kuchimba na

kujenga malambo, mabwawa, majosho na huduma za ugani ili hatimaye

wafugaji waondokane na ufugaji wa kuhamahama. Aidha, Programu

imeainisha maeneo ya kipaumbele yatakayotekelezwa kwa kila mwaka.

(ii) Benki ya Kilimo itakayoanzishwa iwe pia Benki ya Mifugo ili iweze kutoa

mikopo kwa wasomi wenye nia ya kufuga na kuwawezesha kuingia kwa

wingi katika ufugaji wa kisasa.

Utekelezaji:

Wizara inaendelea kuhamasisha wafugaji hususan wasomi kutumia uwepo wa

dirisha dogo katika Benki ya Taifa ya Rasilimali kukopa fedha kwa ajili ya

kuendeleza ufugaji wa kisasa.

(iii) Kuelimisha wafugaji kuhusu umuhimu wa uwiano kati ya idadi ya mifugo

na eneo.

5