15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Katika mwaka 2011/2012, Wizara itaendelea kutekeleza Mkakati wa Kudhibiti

Ugonjwa wa Homa ya Bonde la Ufa kwa kununua dozi milioni moja (1) na

kuzisambaza katika Halmashauri 15 zilizo kwenye maeneo hatari ya kupata

ugonjwa huo. Pia, Wizara itaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu

ugonjwa huo na kuwashauri hatua za kuchukua.

(c) Ugonjwa wa Kimeta

84. Mheshimiwa Spika, udhibiti wa ugonjwa wa Kimeta uliendelea nchini

katika maeneo ya Halmashauri yaliyotolewa taarifa kuwa na ugonjwa huo.

Maeneo hayo yanajumuisha Pori la Akiba la Maswa na eneo linalozunguka Mto

Rufiji. Ili kukinga mifugo iliyoko katika maeneo hayo, jumla ya ng’ombe

58,000 walipatiwa chanjo ya kuzuia Kimeta.

Katika mwaka 2011/2012, Wizara itaendelea kuratibu udhibiti wa ugonjwa wa

kimeta katika Halmashauri zitakazokuwa katika hatari ya kupata ugonjwa huo.

(d) Ugonjwa wa Kutupa mimba

85. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kudhibiti ugonjwa wa Kutupa

Mimba kwa kupima viwango vya maambukizi ya ugonjwa huo. Katika mwaka

2010/2011, jumla ya ng’ombe 1,844, mbuzi tisa (9), kondoo wawili (2) na

ngamia wawili (2) walipimwa ugonjwa wa Kutupa Mimba ambapo ng’ombe

252 walithibitika kuwa na ugonjwa huo.

Katika mwaka 2011/2012, Wizara itafanya uchunguzi wa ng’ombe 5,000,

mbuzi 2,500 na kondoo 2,500 dhidi ya ugonjwa huo katika mashamba ya

kuzalisha mitamba, ranchi za Taifa pamoja na mashamba ya Taasisi za umma

na ya sekta binafsi nchini. Aidha, Wizara itanunua chanjo dozi 100,000 kwa

ajili ya udhibiti wa ugonjwa huo kwenye mashamba ya mifugo ya Serikali na

ya sekta binafsi. Pia, Wizara itaandaa Mkakati na Kanuni za kusimamia udhibiti

wa Ugonjwa wa Kutupa Mimba.

Ufuatiliaji wa Magonjwa na Ukaguzi wa Mifugo na Mazao yake

86. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kuimarisha Vituo vya Ukaguzi

wa Mifugo na Mazao yake ili kuviwezesha kufuatilia usafirishaji wa mifugo na

mazao yake kutoka ndani na nje ya nchi. Kwa sasa vipo vituo vya ukaguzi 36

vilivyoko mipakani, viwanja vya ndege, bandari, reli na nchi kavu; vituo 19

vya kupumzikia mifugo na vituo 381 vilivyo chini ya Halmashauri. Katika

mwaka 2010/2011 Wizara ilitekeleza kazi zifuatazo:-

(i) Vituo 11 vya ukaguzi vimeimarishwa kwa kupatiwa vitendea kazi

zikiwemo pikipiki 11 na kompyuta;

47

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!