15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

(ii) Kununua mitego ya mbung’o 155, vitambaa vya kutengenezea vyambo

mita 4,000, viuatilifu aina ya Glossinex lita 35, mabomba ya

kunyunyizia viuatilifu 150, ‘masks’ za mdomo na pua 2,000 na glovu

1,000. Vifaa hivyo vilisambazwa katika Halmashauri za Mikoa ya Rukwa

(Mpanda, Nkasi na Hifadhi ya Taifa ya Katavi); Lindi (Lindi Vijijini, Kilwa,

Nachingwea); Pwani (Kisarawe, Bagamoyo, Rufiji); Kigoma (Kibondo);

Tabora (Urambo); Tanga (Handeni na Pangani); Arusha (Monduli);

Kagera (Karagwe, Missenyi); na Taasisi ya Utafiti wa Ndorobo – Tanga;

(iii) Kufanya uchunguzi na tathmini ya mtawanyiko wa mbung’o katika Mikoa

ya Rukwa, Dodoma na Singida ili kuchora ramani mpya. Aidha, tathmini

ya awali ya mtawanyiko wa mbung’o inaonesha kupungua kwa eneo

lenye mbung’o hapa nchini kutoka asilimia 60 mwaka 1967 hadi asilimia

43 mwaka 2010 kutokana na udhibiti wa mbung’o, shughuli za kilimo

na makazi. Maeneo yenye kukaliwa zaidi na mbung’o ni Mbuga na

Hifadhi za Wanyamapori; na

(iv) Kuendelea kutekeleza Mpango wa Kutokomeza Mbung’o na Ndorobo

Barani Afrika (Pan African Tsetse and Trypanosomosis Eradication

Campaign - PATTEC) kwa kufuatilia taarifa za ugonjwa wa Nagana

katika mikoa ya Rukwa, Pwani na Manyara na kununua vifaa vya

uchoraji ramani na kompyuta. Aidha, mafunzo kuhusu matumizi ya

mtandao wa kutathmini mtawanyiko wa malale yametolewa kwa

wataalam 15 wa Wizara za Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na Afya na

Ustawi wa Jamii, Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu

(NIMR) na Taasisi ya Utafiti wa Rasilimali ya Chuo Kikuu cha Dar es

Salaam (IRA).

81. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Wizara itaendelea na

utekelezaji wa mkakati wa kudhibiti mbung’o na ndorobo kwa kutekeleza kazi

zifuatazo:-

(i) Kuhamasisha Halmashauri za Mikoa ya Arusha, Singida na Tanga,

kuhusu matumizi ya mbinu shirikishi na endelevu za kudhibiti mbung’o

na ndorobo;

(ii) Kununua vifaa vya kudhibiti mbung’o na ndorobo kama viuatilifu, mitego

na vyambo vya kuua mbung’o na kuvisambaza katika Halmashauri za

mikoa ya Lindi, Pwani, Tabora, Morogoro na Dodoma; na

(iii) Kuchunguza na kutathmini mtawanyiko wa mbung’o na kuchora ramani

mpya katika mikoa ya Mbeya, Pwani na Morogoro.

Udhibiti wa Magonjwa ya Mifugo yanayoambukiza Binadamu

45

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!