jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
(iii) Kuzuia uingizaji wa ndege, kuku na mazao yake kutoka nchi

zilizoathirika na ugonjwa huo;

(iv) Kutoa elimu kwa watotoleshaji na wadau 40 kuhusu kanuni za

utotoleshaji wa vifaranga;

(v) Kuandaa Mwongozo wa Ufugaji Bora ambao utachapishwa na

kusambazwa kwa wadau;

(vi) Kufanya marejeo ya Mpango wa Tahadhari na Udhibiti wa Mafua

Makali ya Ndege na Binadamu;

(vii) Kununua magari manne (4) kuwezesha utekelezaji wa mkakati wa

kudhibiti mafua makali ya ndege;

(viii) Kujenga uwezo wa wadau 44 kutoka Halmashauri katika mikoa ya

Kanda ya Ziwa Victoria kupitia mradi wa Kudhibiti Ugonjwa wa Mafua

Makali ya Ndege unaotekelezwa na nchi za Mashariki ya Afrika

zikiwemo Kenya, Tanzania, Uganda, Sudan na Ethiopia; na

(ix) Kufanya tathmini ya Mnyororo wa Thamani (Poultry Value Chain

Analysis) katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Dodoma na Singida

kwa lengo la kuboresha ufugaji wa kuku wa asili.

76. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012 Wizara itatekeleza kazi

zifuatazo:-

(i) Kukamilisha na kusambaza Mpango Mkakati wa Tahadhari dhidi ya

Ugonjwa wa Mafua Makali ya Ndege (National Influenza Emergency

Preparedness and Response Plan); na

(ii) Kurejea na kuboresha Mpango Mkakati wa Mawasiliano katika Tahadhari

na udhibiti wa Mafua Makali ya Ndege.

77. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea na mkakati wa kudhibiti

Ugonjwa wa Mdondo nchini kwa kusambaza chanjo katika Halmashauri kupitia

vituo vya kanda vya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo. Tathmini ya

matumizi ya chanjo hii inaonesha kupungua kwa vifo vya kuku kutoka asilimia

90 hadi nne (4) katika maeneo ambayo chanjo ilitumika. Katika mwaka

2011/2012, Wizara itakamilisha Mpango Mkakati wa Udhibiti wa Mdondo na

kuanzisha kampeni ya Kitaifa ya chanjo dhidi ya ugonjwa huo.

78. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2010/2011, matukio ya ugonjwa wa

Homa ya Nguruwe (African Swine Fever – ASF) yaliripotiwa katika mikoa ya

Mbeya, Iringa na Dar es Salaam ambapo jumla ya nguruwe 11,445

wamekufa katika Halmashauri za Kyela (966), Rungwe (1,933), Ileje (14),

Mbarali (2,919), Mbeya Vijijini (322), Jiji la Mbeya (1,476), Mbozi (505),

Chunya (2,058), Ludewa (572), Makete (80), Kinondoni (423), Temeke

(129) na Ilala (48). Aidha, katika kudhibiti ugonjwa huo mikoa ya Mbeya,

Iringa na Dar es Salaam iliwekwa chini ya karantini na masharti kulegezwa

pale ugonjwa ulipoonyesha kupungua. Pia, Wizara imenunua pampu za injini

43