15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Katika mwaka 2011/2012, Wizara kwa kushirikiana na FAO itawezesha na

kuendelea kuratibu uchanjaji wa mbuzi na kondoo milioni 3 katika mikoa ya

Kanda ya Kusini na Kaskazini.

73. Mheshimiwa Spika, Mkakati wa Kudhibiti Ugonjwa wa Miguu na

Midomo (FMD) umeendelea kutekelezwa na Wizara kupitia Mradi wa

Kuimarisha Uwezo wa Kudhibiti Magonjwa ya Mlipuko ya Mifugo (SADC-

TADs). Sampuli 30 za nyati zilichukuliwa kutoka Hifadhi ya Taifa ya Katavi na

ng’ombe 60 katika maeneo yanayozunguka hifadhi hiyo ili kubaini aina ya

virusi vya ugonjwa. Aidha, sampuli nyingine 71 zilichukuliwa katika

Halmashauri 20 za Mkuranga, Missenyi, Karagwe, Ulanga, Kilombero,

Bagamoyo, Kibaha, Rufiji, Ngorongoro, Newala, Nachingwea, Mtwara,

Sengerema, Muleba, Sumbawanga (Mjini), Sumbawanga (Vijijini), Iringa

Manispaa, Misungwi, Serengeti na Tarime. Sampuli hizi zinafanyiwa uchunguzi

katika maabara za Botswana, Afrika ya Kusini, Uingereza na hapa nchini.

Matokeo ya uchunguzi huu yatawezesha kutengenezwa kwa chanjo stahili

ambayo itakinga ugonjwa uliopo. Katika mwaka 2011/2012, Wizara

itaeendelea kutekeleza mkakati wa kudhibiti Ugonjwa wa Miguu na Midomo

(FMD).

74. Mheshimiwa Spika, Mkakati wa Tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Mafua

Makali ya Ndege umeendelea kutekelezwa ambapo hadi sasa, hakuna taarifa

za kuwepo kwa ugonjwa huu hapa nchini. Hata hivyo, Tanzania bado ipo

katika hatari ya kupatwa na ugonjwa huu kutokana na urahisi wa kusafirisha

mazao ya mifugo ulivyo sasa, ikizingatiwa kuwa ugonjwa umeendelea kuwepo

Misri na Vietnam, hivyo tahadhari ya ugonjwa inabidi kuendelezwa. Taarifa

kutoka Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (OIE) na FAO zinaonesha kuwa

hadi kufikia mwezi Juni 2011, nchi 62 duniani zilikuwa zimeambukizwa

ugonjwa wa Mafua Makali ya Ndege. Kati ya hizo, nchi 11 ni za bara la Afrika

ambazo ni Nigeria, Misri, Niger, Cameroon, Burkina - Faso, Sudan, Cote

d’Ivore, Djibouti, Ghana, Benin na Togo. Hadi sasa, nchi 50 kati ya hizo,

zimeweza kudhibiti ugonjwa huo na nchi 12 zilizobakia zinaendelea kuudhibiti

kwa lengo la kuutokomeza.

75. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2010/2011, Wizara ilitekeleza kazi

zifuatazo ili kudhibiti tishio la Ugonjwa wa Mafua Makali ya Ndege:-

(i) Kuijengea uwezo Maabara Kuu ya Mifugo - Temeke kuchunguza na

kutambua virusi vya ugonjwa;

(ii) Kufuatilia ugonjwa huo kwenye njia kuu za mapitio ya ndege pori na

katika makundi ya kuku na bata wafugwao ambapo jumla ya sampuli

2,200 za ndege pori, kuku na bata zilichunguzwa na kuthibitishwa

kutokuwepo kwa ugonjwa nchini;

42

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!