jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ... jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

15.01.2013 Views

(iii) Kutoa mafunzo kwa wataalam 150 wa maabara, uhimilishaji na wakaguzi kuhusu maadili na ukaguzi wa taaluma ya veterinari; (iv) Kuandaa nakala 3,000 za miongozo ya taaluma ya veterinari na kuzisambaza kwa wadau kwa ajili ya uhamasishaji; (v) Kufanya ukaguzi wa vituo 150 pamoja na maadili ya watoa huduma katika sekta za umma na binafsi; (vi) Kuhuisha miongozo ya kufundishia taaluma ya veterinari hapa nchini na nchi nyingine ili kuvitambua; na (vii) Kuijengea uwezo Sekretariati na wajumbe tisa (9) wa Baraza kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Veterinari. URATIBU WA UTAFITI NA MAFUNZO KATIKA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI Uratibu wa Utafiti 52. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kusimamia na kuratibu utafiti wa sekta za mifugo na uvuvi nchini. Katika mwaka 2010/2011 Wizara ilikamilisha kuandaa rasimu ya Agenda ya Utafiti wa Mifugo itakayokuwa dira kwa watafiti wanaotaka kufanya utafiti wa Mifugo katika nchi yetu. Aidha, Wizara imeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa utafiti wa mifugo wakiwemo Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia; Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika; ASARECA; SUA; COSTECH; Climate Change, Agriculture and Food Security - CCAFS; Consultative Group for International Agricultural Research - CGIAR; International Atomic Energy Agency - IAEA; na EAC katika kuandaa na kupima mipango mbalimbali ya utafiti. Vilevile, Wizara imeshirikiana na wadau hao kutayarisha, pamoja na mambo mengine, mikakati ya utafiti katika maeneo muhimu kama vile ufugaji, mabadiliko ya tabia-nchi, uhakika wa chakula, mbinu za kuzuia na kukabiliana na athari za ukame. Kupitia mradi wa East Africa Agricultural Productivity Project (EAAPP), vituo vitatu (3) vya kuzalisha mbegu za malisho na kimoja (1) cha uhimilishaji (AI) na Maabara Kuu ya Taifa ya Mifugo (CVL) viliimarishwa kwa kununuliwa vitendea kazi. 53. Mheshimiwa Spika, kwa kutambua umuhimu wa utafiti katika maendeleo ya ufugaji, Wizara kupitia ASDP imeendelea kujenga uwezo wa utafiti kwa kuimarisha Mifuko ya Utafiti na Maendeleo ya Kanda saba (7) za utafiti wa mifugo (Zonal Agricultural Research, Developmet and Extension Fund – ZARDEF na Zonal Information and Extension Liaison Units - ZIELU) kwa kuzipatia jumla ya shilingi milioni 362.2 na vitendea kazi kwa ajili ya kugharamia na kusimamia miradi ya utafiti kulingana na vipaumbele vya kanda husika na kutayarisha matokeo ya utafiti huo katika mfumo rahisi na kuwapelekea wafugaji. Pia, miradi 43 ya utafiti wa mifugo imeendelea 32

kufadhiliwa na mfuko huo ambapo miradi 30 iliyoanza 2008/2009 imekamilika. Wataalam 18 wa mifugo kutoka Kanda ya Mashariki wamepatiwa mafunzo ya kufanya utafiti shirikishi wa kilimo na mifugo kulingana na mahitaji ya wadau (Client Oriented Research and Development Management Approach – CORDEMA). Pia, kupitia programu ya ASDP, COSTECH na wafadhili wengine, watafiti 73 wa mifugo na uvuvi wanaendelea na masomo, kati yao 23 Shahada ya Uzamivu na 50 Shahada ya Uzamili. (Jedwali Na. 2). 54. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Wizara itatekeleza yafuatayo:- (i) Kuratibu, kufuatilia na kutathmini utafiti na utoaji huduma za utafiti na maendeleo ya mifugo na uvuvi kulingana na programu zilizotayarishwa; (ii) Kuimarisha mfumo wa utunzaji kumbukumbu za utafiti wa mifugo na uvuvi nchini na kushirikiana na taasisi za kitaifa na kimataifa kuratibu utafiti shirikishi wa mifugo; (iii) Kuwawezesha watafiti 12 kuendelea na masomo ya Uzamivu na Uzamili; (iv) Kuwezesha Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Mifugo Mpwapwa, Maabara Kuu ya Taifa ya Mifugo - Temeke na Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi kuendeleza utafiti wa mifugo na uvuvi nchini; (v) Kuwezesha mifuko ya ZARDEF ili iendelee kugharamia utafiti kulingana na vipaumbele vya kanda na mahitaji ya wadau chini ya Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo – ASDP; (vi) Kuwezesha na kuratibu utoaji mafunzo ya utafiti shirikishi (CORDEMA) katika awamu ya pili; (vii) Kuendelea kutoa ushauri wa kitaalam juu ya uandishi wa tungo za tafiti kwa watafiti wa vituoni; na (viii) Kukusanya na kutunza matokeo mbalimbali ya tafiti zilizofanyika nchini ikiwa ni pamoja na kuimarisha mfumo huo. Mafunzo ya wagani tarajali (i) Sekta ya Mifugo 55. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2010/2011, jumla ya wanachuo 1,498 (Stashahada 892 na Astashahada 606) wameendelea na mafunzo katika vyuo sita (6) vya mifugo vya Buhuri, Madaba, Morogoro, Mpwapwa, Temeke na Tengeru (Jedwali Na. 3). Kati ya hao, 613 wamemaliza mafunzo yao mwezi Juni, 2011 wakiwemo 357 wa Stashahada na 256 wa Astashahada. 33

(iii) Kutoa mafunzo kwa wataalam 150 wa maabara, uhimilishaji na

wakaguzi kuhusu maadili na ukaguzi wa taaluma ya veterinari;

(iv) Kuandaa nakala 3,000 za miongozo ya taaluma ya veterinari na

kuzisambaza kwa wadau kwa ajili ya uhamasishaji;

(v) Kufanya ukaguzi wa vituo 150 pamoja na maadili ya watoa huduma

katika sekta za umma na binafsi;

(vi) Kuhuisha miongozo ya kufundishia taaluma ya veterinari hapa nchini na

nchi nyingine ili kuvitambua; na

(vii) Kuijengea uwezo Sekretariati na wajumbe tisa (9) wa Baraza

kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Veterinari.

URATIBU WA UTAFITI NA MAFUNZO KATIKA SEKTA ZA MIFUGO NA

UVUVI

Uratibu wa Utafiti

52. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kusimamia na kuratibu utafiti

wa sekta za mifugo na uvuvi nchini. Katika mwaka 2010/2011 Wizara

ilikamilisha kuandaa rasimu ya Agenda ya Utafiti wa Mifugo itakayokuwa dira

kwa watafiti wanaotaka kufanya utafiti wa Mifugo katika nchi yetu. Aidha,

Wizara imeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa utafiti wa mifugo

wakiwemo Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia; Wizara ya Kilimo,

Chakula na Ushirika; ASARECA; SUA; COSTECH; Climate Change, Agriculture

and Food Security - CCAFS; Consultative Group for International Agricultural

Research - CGIAR; International Atomic Energy Agency - IAEA; na EAC katika

kuandaa na kupima mipango mbalimbali ya utafiti. Vilevile, Wizara

imeshirikiana na wadau hao kutayarisha, pamoja na mambo mengine,

mikakati ya utafiti katika maeneo muhimu kama vile ufugaji, mabadiliko ya

tabia-nchi, uhakika wa chakula, mbinu za kuzuia na kukabiliana na athari za

ukame. Kupitia mradi wa East Africa Agricultural Productivity Project (EAAPP),

vituo vitatu (3) vya kuzalisha mbegu za malisho na kimoja (1) cha

uhimilishaji (AI) na Maabara Kuu ya Taifa ya Mifugo (CVL) viliimarishwa kwa

kununuliwa vitendea kazi.

53. Mheshimiwa Spika, kwa kutambua umuhimu wa utafiti katika

maendeleo ya ufugaji, Wizara kupitia ASDP imeendelea kujenga uwezo wa

utafiti kwa kuimarisha Mifuko ya Utafiti na Maendeleo ya Kanda saba (7) za

utafiti wa mifugo (Zonal Agricultural Research, Developmet and Extension

Fund – ZARDEF na Zonal Information and Extension Liaison Units - ZIELU)

kwa kuzipatia jumla ya shilingi milioni 362.2 na vitendea kazi kwa ajili ya

kugharamia na kusimamia miradi ya utafiti kulingana na vipaumbele vya

kanda husika na kutayarisha matokeo ya utafiti huo katika mfumo rahisi na

kuwapelekea wafugaji. Pia, miradi 43 ya utafiti wa mifugo imeendelea

32

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!