15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

5. Mheshimiwa Spika, naomba kuwapongeza Waheshimiwa Mawaziri na

Naibu Mawaziri kwa kuteuliwa kwao na Mhe. Rais kuongoza Wizara

mbalimbali. Pia, nawapongeza Waheshimiwa Wabunge wote waliochaguliwa

na walioteuliwa kuingia katika Bunge hili Tukufu. Napenda kuwashukuru

wapiga kura na wananchi wa Jimbo la Same Magharibi kwa kunichagua kuwa

Mbunge wao na hivyo kuendelea kunipa heshima kubwa ya kuliwakilisha

jimbo letu. Nawaahidi kupitia Bunge lako Tukufu kuwa nitaendelea

kuwatumikia kwa juhudi kubwa na kushirikiana nao katika kuleta maendeleo

katika Jimbo letu na Taifa kwa ujumla.

6. Mheshimiwa Spika, napenda kutumia fursa hii kuishukuru Kamati ya

Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji chini ya Mwenyekiti wake Mhe.

Profesa David Homeli Mwakyusa, Mbunge wa Rungwe Magharibi, kwa

ushirikiano wao mkubwa waliotupatia katika maandalizi ya bajeti hii, ambapo

ushauri na maoni yao yamezingatiwa. Napenda kulihakikishia Bunge lako

Tukufu kwamba Wizara yangu itazingatia ushauri, mapendekezo na maoni

yaliyotolewa na Kamati na yale yatakayotolewa na Bunge lako Tukufu.

7. Mheshimiwa Spika, naomba kuchukua fursa hii kumpongeza Waziri

Mkuu, Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, (Mb) kwa hotuba yake nzuri

yenye kutoa malengo ya Serikali na mwelekeo wa utendaji wa sekta

mbalimbali pamoja na kazi za Serikali kwa mwaka 2011/2012. Aidha,

nachukua nafasi hii kumpongeza Waziri wa Fedha Mhe. Mustafa Haidi

Mkulo, (Mb) kwa hotuba yake kuhusu hali ya uchumi wa nchi yetu na bajeti

ya Serikali kwa mwaka 2011/2012. Pia, nawapongeza Mawaziri wote

waliotangulia kwa hotuba zao ambazo zimeainisha maeneo mbalimbali

tunayoshirikiana katika kuendeleza sekta za mifugo na uvuvi nchini. Vilevile,

nawashukuru Waheshimiwa Wabunge wote kwa michango yao kuhusu

masuala ya maendeleo ya sekta za mifugo na uvuvi kupitia hotuba

zilizotangulia.

B: HALI HALISI YA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI NA CHANGAMOTO

ZILIZOPO

(i) Hali Halisi ya Sekta za Mifugo na Uvuvi Nchini

8. Mheshimiwa Spika, sekta za mifugo na uvuvi zina umuhimu mkubwa

katika kuwapatia wananchi lishe bora, ajira na kipato hivyo huchangia katika

kumwondolea mwananchi umaskini. Kulingana na takwimu zilizotolewa na

Ofisi ya Taifa ya Takwimu mwaka 2011, idadi ya mifugo nchini inafikia

ng’ombe milioni 21.3, mbuzi milioni 15.2 na kondoo milioni 6.4. Pia,

wapo kuku wa asili milioni 35 na wa kisasa milioni 23 na nguruwe milioni

1.9.

3

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!