15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

kubadilishwa kuwa Maabara ya Rufaa (Bio Security Level 3 - BSL 3)

katika nchi za SADC kwa ajili ya magonjwa ya Homa ya Mapafu ya

Ng’ombe (CBPP) na Miguu na Midomo (FMD) na ukarabati umeanza

kulingana na tathmini iliyofanyika.

45. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Maabara Kuu ya Mifugo

itaendelea na lengo lake la kuzalisha chanjo za kuzuia magonjwa mbalimbali

ikiwa ni pamoja na dozi milioni 100 za Mdondo, 500,000 za Kimeta,

400,000 za Chambavu 250,000 za Ugonjwa wa Kutupa Mimba, 200,000 za

Homa ya Bonde la Ufa na 100,000 za Homa ya Mapafu na kuzisambaza

katika Halmashauri. Pia, Maabara itafanya kazi zifuatazo:-

(i) Kuendelea kufanya uchunguzi wa ubora wa vyakula vya mifugo,

kuhakiki na kutathmini njia za kuchunguza kemikali za sumu

(toxicological analytical assays) kwenye mifugo na mazao yake na

kufanya uchunguzi wa dawa za kuogeshea mifugo;

(ii) Kufanya uchunguzi na utafiti wa magonjwa mbalimbali ya mifugo na

kufanya majaribio ya chanjo za kudhibiti magonjwa ya mlipuko;

(iii) Kuandaa na kuweka katika matumizi teknolojia za kudhibiti Mbung’o na

kupe na magonjwa wayaenezayo; na

(iv) Kukarabati na kuipatia vifaa Maabara Kuu ya Mifugo – Temeke na vituo

vya Luguruni, Kibaha, Tanga na Kigoma na kuandaa Maabara ili ipate

ithibati ya kimataifa.

Maabara ya Taifa ya Udhibiti wa Ubora wa Samaki – Nyegezi

46. Mheshimiwa Spika, Maabara ya Taifa ya Udhibiti wa Ubora wa Samaki

– Nyegezi, Mwanza imeendelea na majukumu yake ya kukusanya sampuli na

kufanya uchunguzi wa sampuli za samaki, maji na tope ili kubaini vimelea

haribifu na masalia ya kemikali yatokanayo na mbolea za mazao, uchafu wa

viwandani na majitaka ya majumbani.

Katika mwaka 2010/2011, Maabara imeimarishwa kwa kupatiwa vifaa vya

uchunguzi wa vimelea na kemikali, kufanyiwa ukarabati wa majengo,

kuongezewa watumishi na kupatiwa mafunzo ambapo watumishi watatu (3)

wamepatiwa mafunzo ya muda mrefu na wanne (4) muda mfupi. Jumla ya

sampuli 1,374 zilichunguzwa ili kuhakiki ubora na usalama wa mazao ya

uvuvi ambapo kati ya hizo, 1,144 ni kwa ajili ya vimelea haribifu na 230 ni

kwa ajili ya mabaki ya sumu, madawa na madini tembo. Uchunguzi huo

ulifanyika katika Maabara ya Taifa ya Uthibiti wa Ubora wa Samaki Nyegezi

(Mwanza), Shirika la Viwango Tanzania (Dar es Salaam), Chemiphar (Uganda)

na Shirika la Viwango la Afrika Kusini (SABS). Sampuli zote zilizochunguzwa

zilionekana kukidhi viwango vya usalama. Maabara inaendelea kukamilisha

29

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!