15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

katika tabaka la juu la maji kwenye Bahari ya Kitaifa (Territorial Sea) na

Ukanda wa Uchumi wa Bahari. Kituo hiki kimejengwa TAFIRI Makao

Makuu, Kunduchi, Dar es Salaam; na

(iv) Kukamilisha kuandaa Agenda ya Kitaifa ya Utafiti wa Uvuvi.

34. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Taasisi kwa kushirikiana

na wadau wengine itatekeleza yafuatayo:-

(i) Kujenga ofisi na maabara ya Kituo cha Utafiti cha Dar es Salaam;

(ii) Kubaini teknolojia sahihi (appropriate technology) ya kuzalisha

vifaranga bora vya samaki;

(iii) Kuwapatia wakulima elimu ya ufugaji wa samaki kwa njia ya mabwawa

ya mfano yatakayojengwa katika vituo vya Mwanza, Sota, Kigoma,

Kyela na Dar es Salaam;

(iv) Kufanya utafiti wa samaki na mazingira katika mito iliyo ndani ya hifadhi

ya mbuga za wanyama ya Ruvuma na Mara pamoja na maziwa madogo

yaliyo karibu na Ziwa Victoria na Ziwa Rukwa;

(v) Kufanya tathmini ya uvuvi wa mishipi katika Ziwa Tanganyika na

ukanda wa pwani ya Bahari ya Hindi;

(vi) Kufanya utafiti wa masoko ya uvuvi na maendeleo ya jamii katika Ziwa

Nyasa na Ziwa Tanganyika; na

(vii) Kuboresha miundombinu ya Taasisi, ukarabati wa majengo ya vituo vya

Kyela na Sota, ununuzi wa vitendea kazi kwa vituo vya Kyela, Mwanza,

Sota na Makao Makuu na ukarabati wa meli za utafiti.

Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi Bahari Kuu (Deep Sea Fishing

Authority – DSFA)

35. Mheshimiwa Spika, Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi Bahari Kuu ilianza

kazi rasmi Machi, 2010 kwa mujibu wa Sheria Na. 1 ya mwaka 1998 kama

ilivyorekebishwa na Sheria Na. 4 ya mwaka 2007 na Kanuni zake za mwaka

2009. Majukumu makuu ya mamlaka ni kusimamia na kuendeleza uvuvi katika

Bahari Kuu. Katika mwaka 2010/2011 Mamlaka ilitekeleza kazi zifuatazo:-

(i) Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka zinazojengwa eneo la

Fumba Zanzibar;

(ii) Kutoa leseni za uvuvi katika Bahari Kuu ambapo leseni 72 zilitolewa

kwa Meli kutoka nchi mbalimbali na jumla ya Dola za Kimarekani

2,111,400 sawa na shilingi 3,399,354,000 zilipatikana;

(iii) Kushirikiana na Jeshi la Wanamaji, Polisi na Kikosi Maalum cha Kuzuia

Magendo (KMKM) doria za saa 1,490 za maji na anga zilifanyika ili

kudhibiti uvuvi haramu Baharini;

(iv) Kununua na kufunga chombo cha kuwezesha Mamlaka kufuatilia

mwenendo wa meli zilizopewa leseni;

24

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!