15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

32. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Kitengo cha Hifadhi za

Bahari na Maeneo Tengefu kitatekeleza yafuatayo:-

(i) Kuendelea kulinda na kuhifadhi rasilimali za bahari katika maeneo yote

ya hifadhi kwa kuimarisha doria na kuwashirikisha wadau ili kudhibiti

uvuvi haramu kwa kufanya siku kazi za doria 400;

(ii) Kuendelea kujenga uwezo wa Kitengo kwa kuajiri watumishi wapya 17

ili kuimarisha ulinzi wa rasilimali katika Hifadhi ya Bahari ya Silikanti

Tanga;

(iii) Kuendelea kutangaza vivutio vya utalii vilivyomo katika maeneo yote ya

hifadhi na taratibu za uwekezaji zinazozingatia mazingira rafiki. Pia,

Kitengo kitashiriki katika maonesho mbalimbali yakiwemo ya Sabasaba,

Nanenane na Karibu Travel and Tourism Fair;

(iv) Kutangaza taarifa za vivutio vya utalii vilivyomo katika maeneo mapya

ya Hifadhi na Maeneo Tengefu katika Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam

na Mtwara kupitia kwenye tovuti, radio, televisheni na magazeti; na

(v) Kuimarisha na kuboresha mazingira ya kazi ya watumishi kwa kuwapa

vitendea kazi na mafunzo ya muda mfupi na mrefu.

Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (Tanzania Fisheries Research

Institute - TAFIRI)

33. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2010/2011, Taasisi ya Utafiti wa

Uvuvi Tanzania, imeendelea na tafiti mbalimbali ili kubaini wingi, mtawanyiko

na aina za rasilimali zinazopatikana katika maji ya asili. Kazi ya kutathmini

wingi wa kambamiti kwenye maji ya Bahari ya Hindi baada ya kufunga uvuvi

wa kambamiti kwa meli kubwa imefanyika na kuna dalili za kuongezeka kwa

ukubwa na wingi wa kambamiti kwenye maji ya Tanzania. Taasisi imetafiti hali

ya uvuvi na samaki katika ziwa Rukwa na kubaini uchafuzi mkubwa wa maji

unaosadikiwa kuletwa na kazi za kilimo na uchimbaji holela wa madini kwenye

bonde la ziwa hilo hususan katika wilaya ya Chunya.

Kazi nyingine zilizotekelezwa ni pamoja na:-

(i) Kuandaa tungo tano (5) kuhusu ufugaji wa samaki na uhifadhi wa

samaki kwa kutumia jua ili kupunguza uharibifu wa samaki baada ya

mavuno (post harvest losses). Tungo hizo zimekubaliwa kufadhiliwa na

fedha kutoka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH);

(ii) Kuwezesha watafiti wanane (8) kupata mafunzo ya Shahada za

Uzamivu watano (5) na Uzamili watatu (3);

(iii) Kupitia Mradi wa Kufuatilia Mazingira Afrika kwa Maendeleo Endelevu

(African Monitoring of Environment for Sustainable Development-

AMESD), Taasisi imejenga kituo cha hali ya bahari (Satellite Receiving

Station) ambacho kitatumika kubaini maeneo yenye samaki wengi

23

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!