jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ... jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

15.01.2013 Views

kuhifadhi rasilimali za bahari katika maeneo yote ya hifadhi kwa kuandaa Mpango wa Jumla wa Usimamizi (General Management Plan) kwa ajili ya Hifadhi ya Bahari ya Silikanti - Tanga. Mpango huo umeandaliwa ili kuwawezesha wadau mbalimbali kuelewa na kushiriki kikamilifu katika uhifadhi wa rasilimali za Bahari. Kazi nyingine zilizotekelezwa na Kitengo ni pamoja na:- (i) Kushirikiana na wadau kufanya doria za siku-kazi 394 zilizowezesha kukamatwa kwa makokoro 104, baruti 105, mikuki 67 na mitumbwi 52; (ii) Kupitia mradi wa MACEMP Kitengo cha Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu kimewezeshwa kujenga jengo la ofisi za Hifadhi za Bahari ya Silikanti ya Tanga, Hifadhi ya Bahari ya Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya Mto Ruvuma Mtwara, nyumba ya watumishi katika Hifadhi ya Bahari ya Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya Mto Ruvuma Mtwara na jengo la maabara na malazi kwenye Hifadhi ya Bahari Mafia. Aidha, Kitengo kimepatiwa gari moja (1) na boti za doria tano (5); (iii) Kuhamasisha wananchi 100 katika vijiji vitano (5) kuunda vikundi vya kushiriki shughuli za uhifadhi katika Maeneo Tengefu ya Nyororo, Shungimbili na Mbarakuni katika Wilaya ya Mafia. Aidha, wananchi 342 katika vijiji tisa (9) na mitaa 10 katika Hifadhi ya Bahari ya Silikanti Tanga wamehamasishwa kuunda kamati za ulinzi wa rasilimali za Bahari; (iv) Kujenga uwezo wa kitengo kwa kutoa mafunzo ya muda mrefu kwa watumishi tisa (9) na ya muda mfupi kwa watumishi 15; (v) Kuendelea kutangaza vivutio vya utalii vilivyomo katika maeneo yote ya hifadhi na taratibu za uwekezaji zinazozingatia mazingira rafiki kupitia tovuti, radio na magazeti na kushiriki katika maonesho mbalimbali yakiwemo ya Sabasaba, Nanenane na Karibu Travel and Tourism Fair; (vi) Kuzijengea uwezo jamii zilizopo katika maeneo ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu kwa kuendeleza na kuanzisha miradi ya shughuli mbadala, ambapo miradi sita (6) kuhusu kilimo cha mwani, ukuzaji wa lulu, ufugaji wa kaa, ufugaji wa kuku wa asili, utengenezaji wa batiki na shughuli za uongozaji watalii imeanzishwa; (vii) Kutoa mafunzo ya shughuli za utalii kwa wanavijiji 44 ndani ya Hifadhi ya Bahari ya Mafia, Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya Mto Ruvuma na Maeneo Tengefu ya Dar es Salaam; (viii) Kuendeleza ukuzaji wa samaki katika mabwawa saba (7) na ufugaji nyuki (mizinga 45) kwenye Hifadhi ya Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya Mto Ruvuma; na (ix) Kuendeleza kilimo cha mwani na ukuzaji wa chaza wa lulu kwa vikundi 10 kwenye Hifadhi ya Bahari ya Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya Mto Ruvuma na Kisiwa cha Mafia. 22

32. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Kitengo cha Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu kitatekeleza yafuatayo:- (i) Kuendelea kulinda na kuhifadhi rasilimali za bahari katika maeneo yote ya hifadhi kwa kuimarisha doria na kuwashirikisha wadau ili kudhibiti uvuvi haramu kwa kufanya siku kazi za doria 400; (ii) Kuendelea kujenga uwezo wa Kitengo kwa kuajiri watumishi wapya 17 ili kuimarisha ulinzi wa rasilimali katika Hifadhi ya Bahari ya Silikanti Tanga; (iii) Kuendelea kutangaza vivutio vya utalii vilivyomo katika maeneo yote ya hifadhi na taratibu za uwekezaji zinazozingatia mazingira rafiki. Pia, Kitengo kitashiriki katika maonesho mbalimbali yakiwemo ya Sabasaba, Nanenane na Karibu Travel and Tourism Fair; (iv) Kutangaza taarifa za vivutio vya utalii vilivyomo katika maeneo mapya ya Hifadhi na Maeneo Tengefu katika Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Mtwara kupitia kwenye tovuti, radio, televisheni na magazeti; na (v) Kuimarisha na kuboresha mazingira ya kazi ya watumishi kwa kuwapa vitendea kazi na mafunzo ya muda mfupi na mrefu. Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (Tanzania Fisheries Research Institute - TAFIRI) 33. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2010/2011, Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania, imeendelea na tafiti mbalimbali ili kubaini wingi, mtawanyiko na aina za rasilimali zinazopatikana katika maji ya asili. Kazi ya kutathmini wingi wa kambamiti kwenye maji ya Bahari ya Hindi baada ya kufunga uvuvi wa kambamiti kwa meli kubwa imefanyika na kuna dalili za kuongezeka kwa ukubwa na wingi wa kambamiti kwenye maji ya Tanzania. Taasisi imetafiti hali ya uvuvi na samaki katika ziwa Rukwa na kubaini uchafuzi mkubwa wa maji unaosadikiwa kuletwa na kazi za kilimo na uchimbaji holela wa madini kwenye bonde la ziwa hilo hususan katika wilaya ya Chunya. Kazi nyingine zilizotekelezwa ni pamoja na:- (i) Kuandaa tungo tano (5) kuhusu ufugaji wa samaki na uhifadhi wa samaki kwa kutumia jua ili kupunguza uharibifu wa samaki baada ya mavuno (post harvest losses). Tungo hizo zimekubaliwa kufadhiliwa na fedha kutoka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH); (ii) Kuwezesha watafiti wanane (8) kupata mafunzo ya Shahada za Uzamivu watano (5) na Uzamili watatu (3); (iii) Kupitia Mradi wa Kufuatilia Mazingira Afrika kwa Maendeleo Endelevu (African Monitoring of Environment for Sustainable Development- AMESD), Taasisi imejenga kituo cha hali ya bahari (Satellite Receiving Station) ambacho kitatumika kubaini maeneo yenye samaki wengi 23

kuhifadhi rasilimali za bahari katika maeneo yote ya hifadhi kwa kuandaa

Mpango wa Jumla wa Usimamizi (General Management Plan) kwa ajili ya

Hifadhi ya Bahari ya Silikanti - Tanga. Mpango huo umeandaliwa ili

kuwawezesha wadau mbalimbali kuelewa na kushiriki kikamilifu katika

uhifadhi wa rasilimali za Bahari. Kazi nyingine zilizotekelezwa na Kitengo ni

pamoja na:-

(i) Kushirikiana na wadau kufanya doria za siku-kazi 394 zilizowezesha

kukamatwa kwa makokoro 104, baruti 105, mikuki 67 na mitumbwi

52;

(ii) Kupitia mradi wa MACEMP Kitengo cha Hifadhi za Bahari na Maeneo

Tengefu kimewezeshwa kujenga jengo la ofisi za Hifadhi za Bahari ya

Silikanti ya Tanga, Hifadhi ya Bahari ya Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya

Mto Ruvuma Mtwara, nyumba ya watumishi katika Hifadhi ya Bahari ya

Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya Mto Ruvuma Mtwara na jengo la

maabara na malazi kwenye Hifadhi ya Bahari Mafia. Aidha, Kitengo

kimepatiwa gari moja (1) na boti za doria tano (5);

(iii) Kuhamasisha wananchi 100 katika vijiji vitano (5) kuunda vikundi vya

kushiriki shughuli za uhifadhi katika Maeneo Tengefu ya Nyororo,

Shungimbili na Mbarakuni katika Wilaya ya Mafia. Aidha, wananchi 342

katika vijiji tisa (9) na mitaa 10 katika Hifadhi ya Bahari ya Silikanti

Tanga wamehamasishwa kuunda kamati za ulinzi wa rasilimali za

Bahari;

(iv) Kujenga uwezo wa kitengo kwa kutoa mafunzo ya muda mrefu kwa

watumishi tisa (9) na ya muda mfupi kwa watumishi 15;

(v) Kuendelea kutangaza vivutio vya utalii vilivyomo katika maeneo yote ya

hifadhi na taratibu za uwekezaji zinazozingatia mazingira rafiki kupitia

tovuti, radio na magazeti na kushiriki katika maonesho mbalimbali

yakiwemo ya Sabasaba, Nanenane na Karibu Travel and Tourism Fair;

(vi) Kuzijengea uwezo jamii zilizopo katika maeneo ya Hifadhi za Bahari na

Maeneo Tengefu kwa kuendeleza na kuanzisha miradi ya shughuli

mbadala, ambapo miradi sita (6) kuhusu kilimo cha mwani, ukuzaji wa

lulu, ufugaji wa kaa, ufugaji wa kuku wa asili, utengenezaji wa batiki na

shughuli za uongozaji watalii imeanzishwa;

(vii) Kutoa mafunzo ya shughuli za utalii kwa wanavijiji 44 ndani ya Hifadhi

ya Bahari ya Mafia, Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya Mto Ruvuma na

Maeneo Tengefu ya Dar es Salaam;

(viii) Kuendeleza ukuzaji wa samaki katika mabwawa saba (7) na ufugaji

nyuki (mizinga 45) kwenye Hifadhi ya Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya

Mto Ruvuma; na

(ix) Kuendeleza kilimo cha mwani na ukuzaji wa chaza wa lulu kwa vikundi

10 kwenye Hifadhi ya Bahari ya Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya Mto

Ruvuma na Kisiwa cha Mafia.

22

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!