15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

D: MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MWAKA 2010/2011

NA MWELEKEO WA BAJETI YA MWAKA 2011/2012

Matukio Muhimu

(i) Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo

14. Mheshimiwa Spika, mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo nchini

ulifanyika mjini Dodoma tarehe 24 na 25 Januari, 2011 na ulishirikisha wadau

300. Mkutano huo ulitoa maoni na michango mbalimbali iliyotumika

kuboresha rasimu ya mwisho ya Programu ya Kuendeleza Sekta ya Mifugo

Nchini.

(ii) Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Uvuvi

15. Mheshimiwa Spika, mkutano wa Wadau wa Sekta ya Uvuvi nchini

ulifanyika mjini Dodoma tarehe 26 hadi 28 Januari, 2011. Mkutano huu

uliwashirikisha wadau 270 na uliweka mikakati ya kuimarisha usimamizi,

uhifadhi, ulinzi na uendelezaji wa rasilimali za uvuvi na uboreshaji wa

ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali. Aidha, mkutano huo ulitoa maoni na

michango iliyowezesha kuboresha rasimu ya mwisho ya Programu ya

Kuendeleza Sekta ya Uvuvi nchini.

(iii) Ukame

16. Mheshimiwa Spika, kutokana na ukame mkali uliojitokeza mwaka

2008/2009 katika mkoa wa kaskazini mwa nchi yetu, Serikali ilifanya tathmini

kubaini athari zilizotokana na ukame huo. Tathmini hiyo ilionyesha kuwa

baadhi ya wafugaji walipoteza mifugo yao yote katika mkoa wa Arusha na

hasa katika Wilaya za Longido, Monduli na Ngorongoro. Serikali kupitia

Hotuba ya Mhe. Waziri Mkuu akihitimisha hotuba yake hapa Bungeni tarehe 1

Julai, 2011, imeahidi kutoa kifuta machozi kwa kaya 4,336 zilizopoteza

mifugo yote katika wilaya hizo ambapo kila kaya itapatiwa ng’ombe watano

(5) ikiwa ni mitamba minne (4) wenye umri wa miaka miwili na dume

mmoja wa miaka mitatu. Jumla ya ng’ombe 21,680 kama mbegu

wanatarajiwa kununuliwa na zoezi hili litagharimu shilingi bilioni 8.7 ambazo

zimetengwa chini ya Kitengo cha Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu. Zoezi la

kuwakusanya na kuwasambaza ng’ombe watakaonunuliwa litafanywa na

wananchi wenyewe watakaochaguliwa kutoka maeneo hayo. Inashauriwa

ng’ombe hao wapatikane kutoka wilaya husika na wilaya jirani zenye

mazingira yanayowiana na hali iliyopo katika maeneo yaliyoathirika. Aidha,

Wizara yangu itashirikiana na Halmashauri husika na wadau wengine

kuhakikisha kuwa zoezi hili linatekelezwa kwa ufanisi.

15

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!