15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

(g) Kutoa mafunzo kwa wadau 1,935 kutoka Halmashauri 16 za mwambao

wa pwani kuhusu mwenendo na mahitaji ya soko la Kimataifa la mazao

ya uvuvi.

(viii) Kuhamasisha wawekezaji wa ndani na wa nje kuwekeza katika uvuvi

kwenye Bahari Kuu.

Utekelezaji:

Wizara imeendelea kuhamasisha wawekezaji wa ndani na wa nje kuwekeza

katika uvuvi kwenye Bahari Kuu kwa kufanya yafuatayo:-

(a) Kuwezesha Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu

kufanya kazi zake kwa lengo la kusimamia uvuvi katika Bahari Kuu;

(b) Kuweka vifaa vya kuvutia samaki (Fish Aggregating Devices – FADs)

kwenye Ukanda wa Uchumi wa Bahari;

(c) Kujenga kituo cha hali ya bahari (Satellite Receiving Station) katika

ofisi za TAFIRI - Kunduchi cha kubaini maeneo yenye samaki wengi

katika tabaka la juu la maji kwenye Bahari ya Kitaifa (Territorial Sea)

na Ukanda wa Uchumi wa Bahari;

(d) Kufunga kifaa cha kufuatilia mienendo ya meli za uvuvi (Vessel

Monitoring System) katika bahari kwa ajili ya usalama wa meli na

kudhibiti uvuvi haramu; na

(e) Kufanya mikutano mbalimbali na wawekezaji wa ndani na nje kuhusu

kuwekeza katika Ukanda wa Uchumi wa Bahari.

(ix) Kuimarisha na kuendeleza uanzishwaji wa maeneo tengefu kwenye

maziwa makuu hususan Ziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa.

Utekelezaji:

Wizara kwa kushirikiana na wadau wa sekta, inaendelea na taratibu za

kurekebisha Sheria ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (Marine Parks

and Reserves Act ) Na 29 ya mwaka 1994 ili kuingiza kipengele cha kuanzisha

maeneo tengefu kwenye maji baridi.

(x) Kuhamasisha uimarishaji na uanzishaji wa vikundi vya ushirika wa wavuvi

na wafugaji wa samaki.

Utekelezaji:

Wizara imeendelea kuhamasisha wananchi kuanzisha vikundi vya ushirika wa

wavuvi na wafugaji wa samaki kwa kufanya yafuatayo:-

13

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!