jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
(iii) Kuandaa na kutekeleza programu yenye malengo yanayopimika mwaka

hadi mwaka kuhusu haja ya kuleta mapinduzi ya uvuvi yanayotumia zana

na maarifa ya kisasa.

Utekelezaji:

Wizara kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya uvuvi imekamilisha rasimu ya

Programu ya Kuendeleza Sekta ya Uvuvi ambayo itatekelezwa kwa kipindi cha

mwaka 2011/2012 hadi 2015/2016. Programu hii, imeainisha pamoja na

mambo mengine masuala ya uendelezaji wa uvuvi na ukuzaji wa viumbe

kwenye maji, uhifadhi wa rasilimali, matumizi endelevu ya rasilimali pamoja

na uhifadhi wa mazingira. Aidha, programu itahusisha uimarishaji wa huduma

za ugani, utafiti, mafunzo na upatikanaji wa takwimu sahihi za rasilimali ya

uvuvi. Pia, programu imeainisha maeneo ya kipaumbele yatakayotekelezwa

kwa kila mwaka.

(iv) Kuimarisha ushirikishwaji wa jamii na wadau katika ulinzi, usimamizi na

matumizi endelevu ya rasilimali za uvuvi.

Utekelezaji:

Wizara kwa kushirikiana na Halmashauri imeendelea kuwashirikisha wadau

katika ulinzi, usimamizi na matumizi endelevu ya rasilimali ya uvuvi kwa

kuanzisha vikundi vipya 23 vya Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi

(BMUs) katika Halmashauri za Kinondoni, Temeke na Mkuranga. Aidha,

vikundi 680 katika maeneo mbalimbali nchini vimeimarishwa kwa kuvipatia

mafunzo, vitendea kazi na kuviwezesha kuanzisha miradi midogo ya uzalishaji

ili viwe endelevu.

(v) Kuimarisha miundombinu ya uvuvi kwa kujenga mialo, masoko ya kisasa,

vituo vya kutotolea vifaranga vya samaki na maabara.

Utekelezaji:

Wizara imeendelea kuimarisha miundombinu ya uvuvi kwa kufanya

yafuatayo:-

(a) Kukarabati mialo 25 ya kushushia na kupokelea samaki katika ukanda

wa Ziwa Victoria na kujenga mialo mitatu (3) katika ukanda wa Pwani

na kuainisha maeneo ya kujenga mialo minne (4) katika ukanda wa

Ziwa Tanganyika;

(b) Wizara kwa kushirikiana na Halmashauri, imeendelea kuratibu

miundombinu ya masoko makubwa ya samaki ya Feri (Dar es Salaam)

na Kirumba (Mwanza) pamoja na masoko mengine ya samaki; na

11