hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ...

hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ... hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ...

15.01.2013 Views

108. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2007/2008, aina nyingine ya samaki wa kibiashara waliovuliwa ni pamoja na kambakoche tani 556 zenye thamani ya shilingi bilioni 1.4 pweza tani 1,632 zenye thamani ya shilingi bilioni 8.0 na ngisi (squids) tani 54.7 zenye thamani ya shilingi milioni 211.8. Aidha, uvuvi wa samaki wa mapezi (fin-fish) kutoka bahari yetu umelenga soko la ndani na huvuliwa na wavuvi wadogo. Aina muhimu ya samaki waliovuliwa kwa wingi ni jamii ya Kibua, Tasi, Nguru, Kolekole, Changu, Chewa, Taa, Kalambisi na Mzia ambapo tani 43,498 zenye thamani ya shilingi bilioni 39.3 walivunwa. Katika mwaka 2008/2009, Wizara yangu itaendelea kusimamia uvunaji endelevu wa rasilimali hiyo. Aidha, Wizara yangu itaendelea kushirikiana na vyombo vingine vya dola, ikiwa ni pamoja na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Jeshi la Polisi, wananchi na wadau wengine katika kuhakikisha tunadhibiti uvuvi haramu unaofanywa na meli za kigeni pamoja na uvuvi unaofanywa kwa kutumia baruti katika bahari. Ukuzaji wa Viumbe Hai kwenye Maji 109. Mheshimiwa Spika, Wizara yangu imeendelea kuhimiza ukuzaji wa viumbe hai kwenye maji baridi kwa lengo la kuongeza upatikanaji wa samaki na mazao mengine ya majini. Katika mwaka 2007/2008, vifaranga 603,010 vya samaki aina ya Perege vilizalishwa na Kituo cha Ufugaji Samaki Kingolwira – Morogoro na kusambazwa katika mikoa ya Morogoro (586,860), Pwani (3,150), Dar es Salaam (3,000) Tanga (7,500), na Kilimanjaro (2,500). Aidha, Wizara yangu imeandaa rasimu ya Mkakati wa Kuendeleza Ukuzaji Viumbe kwenye Maji (National Aquaculture Development Strategy) kwa lengo la kuzalisha mazao hayo kibiashara. 110. Mheshimiwa Spika, ili kuendeleza ukuzaji wa viumbe hai kwenye maji chumvi, Wizara iliandaa na kusambaza kwa wadau mwongozo wa kutambua na kuchagua maeneo yanayofaa kufuga viumbe hai, ikiwa ni pamoja na kilimo cha mwani. Utambuzi wa maeneo yanayofaa kwa ufugaji samaki na unenepeshaji wa kaa katika vijiji 16 vya Wilaya ya Rufiji umefanyika. Vilevile majaribio ya ukuzaji wa viumbe kwenye maji chumvi na uzalishaji wa lulu (pearls) yaliendelea katika kisiwa cha Mafia. Vilevile, Mkakati wa Kuendeleza Ukuzaji wa Viumbe Hai katika maji chumvi, (Mariculture Development Strategy) unaandaliwa. Ili kuimarisha ugani kuhusu ukuzaji viumbe hai kwenye maji pikipiki 6 zilisambazwa katika wilaya za Mtwara, Tanga, Arumeru, Ngara, Lindi na Songea. 111. Mheshimiwa Spika, Kampuni ya Alphakrast ya Dar es Salaam imewekeza katika ufugaji wa samaki aina ya kambamiti katika eneo la Jimbo wilayani Mafia. Kampuni ina mpango wa kuchimba jumla ya mabwawa 76 yenye ukubwa wa hekta 1.5 kila moja yenye uwezo wa kuzalisha tani 912 za kambamiti kwa mwaka wenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 8.5. 42

Hadi sasa mabwawa 29 yamekamilika ambapo tani 140 zenye thamani ya takriban Dola milioni 1.5 zimezalishwa. Aidha, nchi yetu imekubaliwa kuuza mazao ya kufugwa (aquaculture products) kwenye soko la Jumuiya ya Ulaya (EU) kuanzia tarehe 3 mwezi Juni, 2008 Tanzania. Katika mwaka 2008/2009, Wizara yangu itaendelea kufuatilia ufugaji wa mazao yanayotokanayo na ukuzaji wa viumbe hai kwenye maji. 112. Mheshimiwa Spika, kilimo cha mwani kimeendelea kuchangia katika kuwapunguzia wananchi umaskini katika Ukanda wa Pwani. Katika mwaka 2007/2008, jumla ya tani 411.9 za mwani mkavu zilizalishwa katika mikoa ya Pwani (7), Tanga (160.7), Mtwara (18) na Lindi (226.2). Aidha, Wizara ilikutanisha wadau 70 wanaojihusisha na kilimo na biashara ya mwani kutoka Tanzania Bara na Visiwani kwa lengo la kuimarisha na kuendeleza kilimo na biashara ya zao hilo. 113. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2008/2009, Wizara yangu kwa kushirikiana na wadau wengine itaendeleza ukuzaji wa viumbe kwenye maji kwa kutumia teknolojia muafaka na kuimarisha ugani katika ufugaji wa samaki. Aidha, kazi zitakazofanyika ni pamoja na kufufua vituo vya ufugaji wa samaki vya Mtama (Lindi), Karanga (Moshi), Sikonge (Tabora) na Luhira (Songea); kuzalisha na kusambaza vifaranga 800,000 vya perege na 200,000 vya kambale kutoka Kituo cha Kingolwira. Pia, Wizara yangu itakamilisha rasimu ya Mkakati wa Kitaifa wa Kuendeleza Ukuzaji Viumbe kwenye Maji. 114. Mheshimiwa Spika, Wizara yangu kwa kushirikiana na wadau itafanya utambuzi wa mabwawa mapya na yenye upungufu wa samaki na kupandikiza vifaranga, kuimarisha ukuzaji viumbe hai kwenye maji baridi na maji chumvi kwa kutoa mafunzo pamoja na kuainisha maeneo yanayofaa kwa ajili ya unenepeshaji wa kaa katika ukanda wa pwani. Vilevile, Wizara itaendelea kuhimiza kilimo cha mwani pamoja na kuwaunganisha wakulima na wanunuzi wa mwani kwa lengo la kuendeleza kilimo hiki kibiashara. Pia, mafunzo ya ujasiriamali yatatolewa kwa wanavijiji 200 wa ukanda wa pwani kuhusu kuboresha kilimo cha mwani. Ulinzi na Usimamizi wa Rasilimali ya Uvuvi 115. Mheshimiwa Spika, mwaka 2007/2008 Wizara iliendesha doria za nchi kavu na majini katika maziwa na ukanda wa pwani wa Bahari ya Hindi. Jumla ya siku za doria 5,247 zilifanyika na kuwezesha kukamatwa nyavu haramu 150,219, mitumbwi 191, mikuki 4, vifaa vya kuzamia 12, samaki wachanga kilo 41,901, samaki waliovuliwa kwa sumu kilo 552 na baruti 154. Vilevile, katika kupambana na utoroshaji wa mazao ya samaki mipakani, samaki wabichi kilo 1,550, dagaa wabichi kilo 405, samaki wakavu kilo 43

108. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2007/2008, aina nyingine ya

samaki wa kibiashara waliovuliwa ni pamoja na kambakoche tani 556 zenye

thamani ya shilingi bilioni 1.4 pweza tani 1,632 zenye thamani ya shilingi

bilioni 8.0 na ngisi (squids) tani 54.7 zenye thamani ya shilingi milioni

211.8. Aidha, uvuvi wa samaki wa mapezi (fin-fish) kutoka bahari yetu

umelenga soko la ndani na huvuliwa na wavuvi wadogo. Aina muhimu ya

samaki waliovuliwa kwa wingi ni jamii ya Kibua, Tasi, Nguru, Kolekole,

Changu, Chewa, Taa, Kalambisi na Mzia ambapo tani 43,498 zenye thamani

ya shilingi bilioni 39.3 walivunwa. Katika mwaka 2008/2009, Wizara yangu

itaendelea kusimamia uvunaji endelevu wa rasilimali hiyo. Aidha, Wizara

yangu itaendelea kushirikiana na vyombo vingine vya dola, ikiwa ni pamoja na

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Jeshi la Polisi, wananchi na wadau

wengine katika kuhakikisha tunadhibiti uvuvi haramu unaofanywa na meli za

kigeni pamoja na uvuvi unaofanywa kwa kutumia baruti katika bahari.

Ukuzaji wa Viumbe Hai kwenye Maji

109. Mheshimiwa Spika, Wizara yangu imeendelea kuhimiza ukuzaji wa

viumbe hai kwenye maji baridi kwa lengo la kuongeza upatikanaji wa samaki

na mazao mengine ya majini. Katika mwaka 2007/2008, vifaranga 603,010

vya samaki aina ya Perege vilizalishwa na Kituo cha Ufugaji Samaki Kingolwira

– Morogoro na kusambazwa katika mikoa ya Morogoro (586,860), Pwani

(3,150), Dar es Salaam (3,000) Tanga (7,500), na Kilimanjaro (2,500).

Aidha, Wizara yangu imeandaa rasimu ya Mkakati wa Kuendeleza Ukuzaji

Viumbe kwenye Maji (National Aquaculture Development Strategy) kwa lengo

la kuzalisha mazao hayo kibiashara.

110. Mheshimiwa Spika, ili kuendeleza ukuzaji wa viumbe hai kwenye maji

chumvi, Wizara iliandaa na kusambaza kwa wadau mwongozo wa kutambua

na kuchagua maeneo yanayofaa kufuga viumbe hai, ikiwa ni pamoja na kilimo

cha mwani. Utambuzi wa maeneo yanayofaa kwa ufugaji samaki na

unenepeshaji wa kaa katika vijiji 16 vya Wilaya ya Rufiji umefanyika. Vilevile

majaribio ya ukuzaji wa viumbe kwenye maji chumvi na uzalishaji wa lulu

(pearls) yaliendelea katika kisiwa cha Mafia. Vilevile, Mkakati wa Kuendeleza

Ukuzaji wa Viumbe Hai katika maji chumvi, (Mariculture Development

Strategy) unaandaliwa. Ili kuimarisha ugani kuhusu ukuzaji viumbe hai

kwenye maji pikipiki 6 zilisambazwa katika wilaya za Mtwara, Tanga,

Arumeru, Ngara, Lindi na Songea.

111. Mheshimiwa Spika, Kampuni ya Alphakrast ya Dar es Salaam

imewekeza katika ufugaji wa samaki aina ya kambamiti katika eneo la Jimbo

wilayani Mafia. Kampuni ina mpango wa kuchimba jumla ya mabwawa 76

yenye ukubwa wa hekta 1.5 kila moja yenye uwezo wa kuzalisha tani 912 za

kambamiti kwa mwaka wenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 8.5.

42

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!