hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ...

hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ... hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ...

15.01.2013 Views

94. Mheshimiwa Spika, Wizara yangu imeendelea kuimarisha miundombinu ya masoko ya mifugo ili kuimarisha biashara ya mifugo na mazao yake. Katika mwaka 2007/2008 ujenzi wa mnada wa Mbuyuni (Chunya) na ukarabati wa minada ya upili ya Meserani (Monduli), Buhigwe (Kigoma), Mhunze (Kishapu), Pugu (Ilala) na Kasesya (Sumbawanga Vijijini) unaendelea. Kwa kushirikiana na Halmashauri kupitia Mpango wa Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (DADPs) michoro ya miundombinu ya minada ya awali kwenye Wilaya za Lindi (Kitomanga), Kilwa (Mbwemkuru na Nangurukuru) na Rufiji (Umwekusini/Ikwiriri na Chumbi) imeandaliwa. Pia, miongozo ya kuendesha minada ya awali inaandaliwa kwa ajili ya kushirikisha watendaji watakaosimamia minada hiyo. 95. Mheshimiwa Spika, Wizara iliendelea kuboresha mfumo wa utoaji wa taarifa za masoko ya mifugo (Livestock Information Network Knowledge System-LINKS) katika minada kwa kuongeza minada 15 ya Mbauda (Arusha), Endulen (Loliondo), Endagikoti (Mbulu), Dosidosi (Kiteto), Ndala (Nzega), Chamakweza (Bagamoyo), Mgagao (Mwanga), Masabi (Kahama), Parakuyo (Kilosa), Namanyere (Nkasi), Bukulu (Kondoa), Chipogolo (Mpwapwa), Mtana (Tarime), Ndereme (Handeni), Nyamuhongolo (Ilemela) na Rusahunga (Biharamulo). Hii inafanya jumla ya minada iliyoorodheshwa kwenye mfumo huo kuwa 29 ambayo hutoa taarifa za bei na aina ya mifugo iliyouzwa pamoja na madaraja kwa kutumia ujumbe wa simu za mikononi (Jedwali Na. 17). Taarifa za masoko zinapatikana katika mtandao wa http://www.lmistz.net na kupitia tovuti ya Wizara http://www.mifugo_uvuvi.go.tz. Katika mwaka 2008/2009, Wizara yangu kwa kushirikiana na wadau itaendelea kuimarisha mfumo wa kukusanya na kusambaza taarifa za masoko ya mifugo katika minada ya upili na kuhamasisha mauzo ya mifugo na mazao yake. Pia, savei ya kuainisha maeneo yanayofaa kuwa huru na magonjwa ya mifugo (Disease Free Zones/Compartments) itafanyika. 96. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2008/2009 Wizara yangu itaendelea kuimarisha miundombinu ya masoko ya mifugo kwa kukarabati minada ya upili ya Pugu, Meserani, Korogwe, Themi na Igunga na kujenga minada mipya ya Buzilayombo (Chato) na kukamilisha ujenzi wa mnada wa Nyamatara (Misungwi). Aidha, Wizara itashirikiana na wadau kuimarisha na kusimamia mfumo wa kukusanya na kusambaza taarifa za masoko ya mifugo. Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji wa Mifugo na Mazao yake 97. Mheshimiwa Spika, Mfumo wa Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji wa mifugo na mazao yake unaendelea kuimarishwa ambapo hadi sasa mashamba 26 ya ngo’mbe, wafugaji wadogo 368 wa mbuzi wa maziwa, ng’ombe 42,902, mbuzi 3,793, kondoo 1,134 na nguruwe 574 wa kisasa wametambuliwa na kusajiliwa katika mfumo wa kitaifa. Nakala 125 za rejesta 38

za kusajili wafugaji na mifugo vijijini zimesambazwa katika kijiji kimoja kila wilaya Tanzania Bara kwa ajili ya majaribio. Aidha, mafunzo kuhusu matumizi ya rejesta hiyo yametolewa kwa Washauri wa Mifugo wa Mikoa 4 na Maafisa Mifugo wa Wilaya 38 kutoka katika mikoa ya Dodoma (Mpwapwa, Dodoma, Kongwa), Morogoro (Mvomero na Kilosa), Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga. Pia, mafunzo hayo yalitolewa kwa wadau 122 kutoka mikoa ya Dodoma na Morogoro, kwa ushirikiano na Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko. Vilevile, wadau wa mifugo walielimishwa kuhusu mfumo huo kupitia vyombo vya habari ikiwa ni pamoja na radio, runinga na magazeti. Katika mwaka 2008/2009, Wizara yangu kwa kushirikiana na Halmashauri itaendelea kuimarisha mfumo wa kitaifa wa utambuzi, usajili na ufuatiliaji. Huduma za Ugani wa Mifugo 98. Mheshimiwa Spika, utoaji wa huduma za ushauri kwa wafugaji ni njia mojawapo ya kuwapatia wafugaji teknolojia sahihi na mbinu za ufugaji bora na huduma hizi hutolewa kwa kiasi kikubwa na Halmashauri. Hata hivyo huduma hizi hazitoshelezi kutokana na upungufu wa wataalam wa mifugo 13,469 katika ngazi ya vijiji. Ili kupunguza pengo hilo, kwa mwaka 2007/2008 Wizara imegharamia mafunzo ya stashahada kwa wanachuo 1,006 katika vyuo vya mafunzo vya Tengeru (402), Mpwapwa (232), Morogoro (231), Madaba (69), Temeke (43) na Buhuri (29). Katika mwaka 2008/2009 Wizara itaendelea kutoa mafunzo kwa wanafunzi 1,185 katika vyuo hivyo. 99. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2007/2008 Wizara yangu ilitoa mafunzo kwa wafugaji kupitia mashamba darasa 15 (Farmer Field Schools - FFS) katika Wilaya za Ilemela, Misungwi, Meatu, Ngorongoro, Tanga, Pangani, Handeni, Morogoro, Mvomero, Bahi na Kongwa. Pia, wakufunzi 10 walipatiwa mafunzo kuhusu mbinu shirikishi ya shamba darasa la mifugo ili waweze kuanzisha mashamba darasa katika wilaya za Korogwe, Kilindi, Same, Hai, Arusha, Meru na Karatu. Vilevile, wafugaji 21,106 kutoka Wilaya 41 walipatiwa mafunzo kuhusu ufugaji bora na wa kibiashara katika vyuo vya mifugo na vya maendeleo ya wananchi. Aidha, vipeperushi 52,110, mabango 30,130 na vijitabu 13,200 kuhusu ufugaji bora vilichapishwa na kusambazwa kwa wadau na vipindi 52 vya redio na 12 vya Televisheni viliandaliwa na kurushwa hewani. 100. Mheshimiwa Spika, Wizara yangu kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika na Halmashauri kupitia Mradi Shirikishi wa Maendeleo ya Kilimo na Uwezeshaji (Participatory Agricultural Development and Empowerment Project - PADEP) imeendelea kuhamasisha wafugaji kuunda vikundi ili kuwa na nguvu ya pamoja na kuweza kutatua matatizo mbalimbali. Katika mwaka 2007/2008, jumla ya vikundi 880 vimeundwa na 39

za kusajili wafugaji na mifugo vijijini zimesambazwa katika kijiji kimoja kila

wilaya Tanzania Bara kwa ajili ya majaribio. Aidha, mafunzo kuhusu matumizi

ya rejesta hiyo yametolewa kwa Washauri wa Mifugo wa Mikoa 4 na Maafisa

Mifugo wa Wilaya 38 kutoka katika mikoa ya Dodoma (Mpwapwa, Dodoma,

Kongwa), Morogoro (Mvomero na Kilosa), Arusha, Kilimanjaro, Manyara na

Tanga. Pia, mafunzo hayo yalitolewa kwa wadau 122 kutoka mikoa ya

Dodoma na Morogoro, kwa ushirikiano na Wizara ya Viwanda, Biashara na

Masoko. Vilevile, wadau wa mifugo walielimishwa kuhusu mfumo huo kupitia

vyombo vya habari ikiwa ni pamoja na radio, runinga na magazeti. Katika

mwaka 2008/2009, Wizara yangu kwa kushirikiana na Halmashauri itaendelea

kuimarisha mfumo wa kitaifa wa utambuzi, usajili na ufuatiliaji.

Huduma za Ugani wa Mifugo

98. Mheshimiwa Spika, utoaji wa huduma za ushauri kwa wafugaji ni njia

mojawapo ya kuwapatia wafugaji teknolojia sahihi na mbinu za ufugaji bora

na huduma hizi hutolewa kwa kiasi kikubwa na Halmashauri. Hata hivyo

huduma hizi hazitoshelezi kutokana na upungufu wa wataalam wa mifugo

13,469 katika ngazi ya vijiji. Ili kupunguza pengo hilo, kwa mwaka

2007/2008 Wizara imegharamia mafunzo ya stashahada kwa wanachuo

1,006 katika vyuo vya mafunzo vya Tengeru (402), Mpwapwa (232),

Morogoro (231), Madaba (69), Temeke (43) na Buhuri (29). Katika mwaka

2008/2009 Wizara itaendelea kutoa mafunzo kwa wanafunzi 1,185 katika

vyuo hivyo.

99. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2007/2008 Wizara yangu ilitoa

mafunzo kwa wafugaji kupitia mashamba darasa 15 (Farmer Field Schools -

FFS) katika Wilaya za Ilemela, Misungwi, Meatu, Ngorongoro, Tanga, Pangani,

Handeni, Morogoro, Mvomero, Bahi na Kongwa. Pia, wakufunzi 10 walipatiwa

mafunzo kuhusu mbinu shirikishi ya shamba darasa la mifugo ili waweze

kuanzisha mashamba darasa katika wilaya za Korogwe, Kilindi, Same, Hai,

Arusha, Meru na Karatu. Vilevile, wafugaji 21,106 kutoka Wilaya 41

walipatiwa mafunzo kuhusu ufugaji bora na wa kibiashara katika vyuo vya

mifugo na vya maendeleo ya wananchi. Aidha, vipeperushi 52,110, mabango

30,130 na vijitabu 13,200 kuhusu ufugaji bora vilichapishwa na

kusambazwa kwa wadau na vipindi 52 vya redio na 12 vya Televisheni

viliandaliwa na kurushwa hewani.

100. Mheshimiwa Spika, Wizara yangu kwa kushirikiana na Wizara ya

Kilimo, Chakula na Ushirika na Halmashauri kupitia Mradi Shirikishi wa

Maendeleo ya Kilimo na Uwezeshaji (Participatory Agricultural Development

and Empowerment Project - PADEP) imeendelea kuhamasisha wafugaji

kuunda vikundi ili kuwa na nguvu ya pamoja na kuweza kutatua matatizo

mbalimbali. Katika mwaka 2007/2008, jumla ya vikundi 880 vimeundwa na

39

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!