hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ...

hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ... hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ...

15.01.2013 Views

5. Mheshimiwa Spika, nachukua fursa hii kumpongeza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda (Mb) kwa hotuba yake nzuri yenye kutoa mwelekeo wa shughuli zitakazotekelezwa na Serikali mwaka 2008/2009. Vilevile, nampongeza Waziri wa Fedha na Uchumi pamoja na Mawaziri wote waliotangulia kwa hotuba zao nzuri ambazo zimeainisha maeneo mbalimbali tunayoshirikiana katika kutoa huduma za kuendeleza sekta za mifugo na uvuvi nchini. Pia, nawashukuru Waheshimiwa Wabunge wote waliochangia masuala ya maendeleo ya Sekta za Mifugo na Uvuvi kupitia hotuba zilizotangulia. 6. Mheshimiwa Spika, napenda kutoa pongezi kwa Mawaziri walionitangulia Mhe. Anthony Diallo (Mb) aliyeongoza iliyokuwa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na naibu wake Mhe. Dkt Charles Mlingwa (Mb) na Mhe. Prof. Jumanne A. Maghembe (Mb) aliyeongoza Wizara ya Maliasili na Utalii ilikokuwa Sekta ya Uvuvi pamoja na naibu wake Mhe. Zabein Mhita (Mb) kwa maendeleo yaliyofikiwa katika sekta hizi mbili. HALI HALISI YA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI 7. Mheshimiwa Spika, kutokana na Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2007, sekta ya mifugo imekua kwa asilimia 2.4 kama ilivyokuwa mwaka 2006 na imechangia asilimia 4.7 katika pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 4.8 mwaka 2006. Hali hii inatokana na kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi za sekta nyingine pamoja na kutokea kwa ugonjwa wa Homa ya Bonde la Ufa (Rift Valley Fever – RVF) ulioathiri mifugo, soko la mifugo na mazao yake. Aidha, sekta ya uvuvi imekua kwa asilimia 4.5 ikilinganishwa na asilimia 5.0 mwaka 2006 na imeendelea kuchangia asilimia 1.6 katika pato la Taifa mwaka 2007 kama ilivyokuwa katika miaka ya 2005 na 2006. Hali hii imetokana na kuendelea kwa vitendo vya uvuvi haramu, uharibifu katika mazalia ya samaki na matumizi ya zana duni za uvuvi. 8. Mheshimiwa Spika, kulingana na takwimu zilizopo nchi yetu ina zaidi ya ng’ombe milioni 18.8, mbuzi milioni 13.5, kondoo milioni 3.6, nguruwe milioni 1.4 na kuku wa asili milioni 33 na wa kisasa milioni 20. Aidha, ulaji wa mazao ya mifugo kwa sasa ni wastani wa kilo 11 za nyama, lita 41 za maziwa na mayai 64 kwa mtu kwa mwaka. Vilevile, ulaji samaki ni wastani wa kilo 6.9 kwa mtu kwa mwaka. Viwango hivi bado viko chini sana ikilinganishwa na vinavyopendekezwa na Shirika la Kilimo na Chakula Duniani (FAO) vya kilo 50 za nyama, lita 200 za maziwa, mayai 300 na kilo 10.96 za samaki kwa mtu kwa mwaka. 9. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2007 kulikuwa na wavuvi wadogo (artisanal fishers) 163,037 na wavuvi wa kibiashara 199 waliojihusisha na uvuvi kwa kutumia vyombo vya uvuvi 51,714 ambapo tani 328,690.0 za 2

samaki zenye thamani ya shilingi bilioni 327.4 zilivuliwa. Kati ya hizo, tani 327,218.34 sawa na asilimia 98.7 zilivuliwa na wavuvi wadogo (Jedwali Na. 1). Aidha, tani 57,795 za samaki na mazao yake pamoja na samaki hai wa mapambo 25,502 waliuzwa nje ya nchi na kuliingizia Taifa shilingi bilioni 7.6 (Jedwali Na. 2a na 2b). 10. Mheshimiwa Spika, ili kuwezesha Sekta hizi kuchangia zaidi katika pato la Taifa, Mkakati wa Kuendeleza Sekta ya Uvuvi kulingana na Tamko la Sera ya Taifa ya Uvuvi ya mwaka 1997 na Mpango Madhubuti wa Maendeleo ya Mwani wa mwaka 2005 iko kwenye hatua mbalimbali. Pia, Mkakati wa Kuendeleza Sekta ya Mifugo Nchini (Livestock Sector Development Strategy – LSDS) na Mkakati wa Kitaifa wa Kuendeleza Ukuzaji wa Viumbe kwenye Maji (National Aquaculture Development Strategy – NADS) inaandaliwa. UTEKELEZAJI WA BAJETI KATIKA MWAKA 2007/2008 Ukusanyaji wa Maduhuli 11. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2007/2008, Wizara yangu ilikusanya shilingi 9,340,946,544 kutokana na vyanzo mbalimbali sawa na asilimia 102.7 ya lengo. Kati ya hizo, shilingi 1,036,801,000 kutoka Sekta ya Mifugo na shilingi 8,304,145,544 kutoka Sekta ya Uvuvi. Matumizi 12. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2007/2008, iliyokuwa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo iliidhinishiwa jumla ya shilingi 22,397,516,000. Kati ya hizo, shilingi 12,621,516,000 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi 9,776,000,000 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo. Kati ya fedha za matumizi ya kawaida, shilingi 6,931,332,000 kwa ajili ya matumizi mengine (OC) na shilingi 5,690,184,000 kwa ajili ya mishahara (PE). Kati ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya maendeleo, shilingi 1,424,000,000 zilikuwa fedha za ndani na shilingi 8,352,000,000 fedha za nje. Aidha, katika kipindi hicho, Sekta ya Uvuvi iliyokuwa chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii ilitengewa jumla ya shilingi 25,559,366,120. Kati ya hizo, shilingi 5,918,164,000 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi 19,641,200,120 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo. Kati ya fedha hizo, shilingi 9,200,000,000 kwa ajili ya Tanzania Bara na shilingi 10,441,200,120 kwa ajili ya Zanzibar. Pia, kati ya fedha za matumizi ya kawaida, shilingi 4,966,117,000 ni kwa ajili ya Matumizi Mengine (OC) na shilingi 952,047,000 ni kwa ajili ya mishahara (PE). Kwa upande wa Mifugo, hadi kufikia mwezi Juni 30, 2008, jumla ya shilingi 12,621,516,000 za fedha za Matumizi ya Kawaida na shilingi 3

5. Mheshimiwa Spika, nachukua fursa hii kumpongeza Waziri Mkuu wa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter

Pinda (Mb) kwa hotuba yake nzuri yenye kutoa mwelekeo wa shughuli

zitakazotekelezwa na Serikali mwaka 2008/2009. Vilevile, nampongeza Waziri

wa Fedha na Uchumi pamoja na Mawaziri wote waliotangulia kwa hotuba zao

nzuri ambazo zimeainisha maeneo mbalimbali tunayoshirikiana katika kutoa

huduma za kuendeleza sekta za mifugo na uvuvi nchini. Pia, nawashukuru

Waheshimiwa Wabunge wote waliochangia masuala ya maendeleo ya Sekta

za Mifugo na Uvuvi kupitia hotuba zilizotangulia.

6. Mheshimiwa Spika, napenda kutoa pongezi kwa Mawaziri

walionitangulia Mhe. Anthony Diallo (Mb) aliyeongoza iliyokuwa Wizara ya

Maendeleo ya Mifugo na naibu wake Mhe. Dkt Charles Mlingwa (Mb) na

Mhe. Prof. Jumanne A. Maghembe (Mb) aliyeongoza Wizara ya Maliasili

na Utalii ilikokuwa Sekta ya Uvuvi pamoja na naibu wake Mhe. Zabein Mhita

(Mb) kwa maendeleo yaliyofikiwa katika sekta hizi mbili.

HALI HALISI YA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI

7. Mheshimiwa Spika, kutokana na Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa

katika mwaka 2007, sekta ya mifugo imekua kwa asilimia 2.4 kama

ilivyokuwa mwaka 2006 na imechangia asilimia 4.7 katika pato la Taifa

ikilinganishwa na asilimia 4.8 mwaka 2006. Hali hii inatokana na kuongezeka

kwa shughuli za kiuchumi za sekta nyingine pamoja na kutokea kwa ugonjwa

wa Homa ya Bonde la Ufa (Rift Valley Fever – RVF) ulioathiri mifugo, soko la

mifugo na mazao yake. Aidha, sekta ya uvuvi imekua kwa asilimia 4.5

ikilinganishwa na asilimia 5.0 mwaka 2006 na imeendelea kuchangia asilimia

1.6 katika pato la Taifa mwaka 2007 kama ilivyokuwa katika miaka ya 2005

na 2006. Hali hii imetokana na kuendelea kwa vitendo vya uvuvi haramu,

uharibifu katika mazalia ya samaki na matumizi ya zana duni za uvuvi.

8. Mheshimiwa Spika, kulingana na takwimu zilizopo nchi yetu ina zaidi

ya ng’ombe milioni 18.8, mbuzi milioni 13.5, kondoo milioni 3.6,

nguruwe milioni 1.4 na kuku wa asili milioni 33 na wa kisasa milioni 20.

Aidha, ulaji wa mazao ya mifugo kwa sasa ni wastani wa kilo 11 za nyama,

lita 41 za maziwa na mayai 64 kwa mtu kwa mwaka. Vilevile, ulaji samaki ni

wastani wa kilo 6.9 kwa mtu kwa mwaka. Viwango hivi bado viko chini sana

ikilinganishwa na vinavyopendekezwa na Shirika la Kilimo na Chakula Duniani

(FAO) vya kilo 50 za nyama, lita 200 za maziwa, mayai 300 na kilo 10.96 za

samaki kwa mtu kwa mwaka.

9. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2007 kulikuwa na wavuvi wadogo

(artisanal fishers) 163,037 na wavuvi wa kibiashara 199 waliojihusisha na

uvuvi kwa kutumia vyombo vya uvuvi 51,714 ambapo tani 328,690.0 za

2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!