15.01.2013 Views

hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ...

hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ...

hotuba ya waziri wa maendeleo ya mifugo na - Ministry of Livestock ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

(vi) Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu

� Kufanya doria shirikishi jamii 125 katika maeneo ya hifadhi.

� Kupunguza matumizi ya zana haribifu kwa kubadilisha na zana bora za

uvuvi ambapo vikundi 62 katika wilaya za Mafia na Mtwara vimenufaika.

� Kutoa elimu ya kazi mbadala ili kupunguza utegemezi kwenye uvuvi.

� Kutoa mafunzo ya utalii rafiki wa mazingira (eco tourism) kwa wadau 55

kutoka eneo tengefu la Dar es Salaam na hifadhi ya Bahari ya Mafia.

� Kuchapisha na kusambaza vipeperushi 4,500, majarida 6,000 na kalenda

5,000 kwa wadau na kurusha hewani programu 5 za televisheni na radio.

(vii) Mradi wa Usimamizi wa Mazingira ya Bahari na Ukanda wa Pwani

(Marine and Coastal Environment Management Project – MACEMP)

� Kuainisha eneo la kujenga makao makuu ya Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi

katika Bahari Kuu (Deep Sea Fishing Authority) eneo la Fumba Zanzibar na

kutangaza zabuni ya ujenzi.

� Kuwezesha kufanyika siku za doria 1,471 na za anga 30 ili kudhibiti uvuvi

haramu katika ukanda wa pwani ikijumuisha maeneo tengefu.

� Kurusha vipindi 5 vya redio na luninga na kusambaza nakala 4,000 za

Jarida la Dodoji, fulana na kofia 400 na mabango 500 ili kuelimisha jamii

umuhimu wa usimamizi bora wa rasilimali za uvuvi.

� Kuwezesha wavuvi kuibua miradi 87 yenye thamani ya shilingi

794,656,644 katika wilaya za Kilwa, Mafia na Rufiji.

� Kuwezesha utoaji wa mafunzo kwa wakusanyaji takwimu 17 zinazohusu

uvuvi katika wilaya za Mafia, Kilwa na Rufiji.

� Kuhamasisha Halmashauri 16 za Mkinga, Muheza, Jiji la Tanga, Pangani,

Bagamoyo, Kinondoni, Ilala, Temeke, Mkuranga, Lindi Vijijini, Lindi Mjini,

Mtwara Vijijini na Manispaa ya Mtwara zitakazoingia kwenye utekelezaji wa

mradi wa MACEMP pamoja na Halmashauri za Rufiji, Kilwa na Mafia za

awamu ya kwanza ya utekelezaji wa mradi.

� Kuwezesha uanzishaji wa vikundi 14 vya usimamizi wa rasilimali za uvuvi

(Beach Management Units – BMUs) katika Wilaya za Mafia na Rufiji.

13

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!