kulea vifaranga ulishaji vifaranga/chanjo/dawa

rashid.masoka
from rashid.masoka More from this publisher
20.11.2021 Views

Ufugaji wa kuku wa Asili5.0 MwishoRLDC inatarajia kuwa mfumo huu utaleta manufaa makubwa kwa wafugaji wa kukuwa asili kwa kubadilisha mfumo holela wa ufugaji ili kupata kuku bora, wenye bei nzurikatika soko na idadi inayoweza kutegemewa kila wanapohitajika. Pia tunaamini kuwamfumo wa masoko utaboreshwa kwani kila mtu atajishughulisha na jukumu mojaanaloweza kulimudu vizuri kwa muda muafaka. Ongezeko la kuku bora linatarajiwakuongeza ulaji wa kuku mijini na vijijini na hivyo kuboreha afya za walaji kwa kupataprotini nyingi zaidi. Hali hii inatarajiwa kuongeza kipato kwa wafugaji wa kuku wavijijini na hivyo kuoboresha maisha yao. Serikali pia inatarajiwa kunufaika na mfumohuu kwani mapato kupitia kodi mbalimbali yataongezeka. RLDC inatamani kuonawadau wa kuku wa asili wanaweza kuuza kuku katika masoko makubwa ya ndani nanje ya nchi.8

9Ufugaji wa kuku wa Asili

9

Ufugaji wa kuku wa Asili

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!