04.03.2019 Views

SHUJAAZ TANZANIA TOLEO 49

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

#Vee unamtambuaje mwanaume anayekupenda?

Haniamini mpaka niwe na mimba yake

#Vee naomba ushauri, hivi unatakiwa ufanye nini hadi mwanaume awe

anakuamini maana wangu haniamini mpaka niwe na mimba yake. Nifanyeje?

Naumwa tumbo la kuhara

#Vee, nilisoma stori ya Eddo kwenye kijarida, ile aliyoumwa tumbo kisa

hakunawa mikono. Mimi nina shida ya kuumwa tumbo la kuhara mara kwa

mara na najitahidi kunawa kabla ya kula, kunywa maji yaliyochemshwa na

kadhalika. Hii inatokana na nini?

3

4

10

11

12

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!