You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
ISO 9001:2008 CERTIFIED

Septemba, 2012 Toleo la 12
A : KODI YA MAPATO VIWANGO

Na. MAELEZO WAKAZI WASIO

WAKAZI

1. Kodi ya makampuni:

a. Kodi kwenye mapato yote ya

kampuni

b. Makampuni

yanayopata hasara

kwa miaka 3

mfululizo.

c. Makampuni

yaliyoandikishwa katika soko

la mitaji la Dar es Salaam

yenye hisa zilizouzwa kwa

umma kufikia 30% au zaidi

katika kipindi cha miaka

mitatu ya mwanzo.

d. Kodi kwenye mapato ya

Tawi la kampuni ya nje.

e. Kodi kwenye Mapato

yanayorejeshwa nje.

2

30% 30%

0.3% ya

mauzo ya

mwaka

25%

Hakuna

25%

Hakuna 30%

Hakuna 10%
2. Kodi za zuio:

i) Gawio kutoka Kampuni

mkazi kwenda kampuni

nyingine mkazi ambayo

inamiliki hisa 25 au zaidi.

5% Hakuna

ii) Gawio la hisa kutoka

kampuni zilizoandikishwa

kwenye soko la hisa la

Dar-es-Salaam.

5% 5%

iii) Gawio la hisa kutoka

kwenye makampuni

mengine

10% 10%

iv) Aina nyingine za kodi ya

i

v) Riba

15%

10%

15%

10%

vi) Mrahaba 15% 15%

vii) Huduma za Kiufundi

(Uchimbaji madini)

3

5% 15%

viii) Usafirishaji nje ya nchi Hakuna 5%

ix) Kipato kutokana na

ukodishaji nyumba

10% 15%

x) Ada ya bima 0% 5%

xi) Ada itokanayo na maliasili 15% 15%
xii) Ada ya huduma Hakuna 15%

(xiii) Bidhaa au huduma

zitolewazo na

wasiokuwa na TIN

3. Faida Halisi kwa kuuza

rasilimali

Watu binafsi (Hisa

na milki ya ardhi na

majengo)

4

2% ya

malipo

yote

15% ya

malipo

yote

10% 20%

Makampuni 30% 30%

Misamaha katika mauzo ya rasilimali:

a) Mwenye makazi binafsi

Faida ya shilingi milioni 15 au pungufu.

b) Ardhi kwa ajili ya kilimo

Thamani ya soko chini ya shilingi milioni 10.

c) Hisa

Hisa zilizoorodheshwa kwenye soko la hisa la Dares-Salaam

zinazomilikiwa na mkazi au asiye mkazi

kwa kiwango kisichozidi 25%.
4. Kodi ya mkupuo mmoja:

(i) Mauzo ya ardhi na majengo

(ii) Usafirishaji wa bidhaa na

abiria nje ya nchi

5

10%

Hakuna

20%

Kumbuka

(i) Kodi ya zuio hulipwa ndani ya siku saba baada ya kila

mwisho wa mwezi wa makato.

(ii) Taarifa huwasilishwa TRA ndani ya siku 30 kila baada

5. Kodi ya Mapato ya mtu binafsi

Mapato kwa Mwezi Kiwango cha Kodi

Mapato yasiyozidi sh. 170,000/- Hakuna Kodi

Mapato yanayozidi sh170,000/-

lakini hayazidi sh. 360,000/-

Mapato yanayozidi sh.

360,000/- lakini hayazidi

sh. 540,000/-

Mapato yanayozidi sh.

540,000/- lakini hayazidi sh.

720,000/-

Mapato yanayozidi

sh.720,000/-

5%

14% ya mapato yanayozidi

sh. 170,000/-

Shs.26,600/- + 20% ya

mapato yanayozidi

Sh. 360,000/-

Shs. 62,600/- + 25% ya

mapato yanayozidi sh.

540,000/-

Shs. 107,600/- + 30% ya

mapato yanayozidi sh.

720,000/-
Kiwango cha mwaka: Mapato yasiyozidi Sh. 2,040,000/=

hayatozwi kodi.

Kumbuka:

1. Kwa wafanyakazi wasio wakazi walioajiriwa na

kampuni yenye makazi nchini malipo hayo yanapaswa

kutozwa kodi ya zuio ya asilimia kumi na tano (15%).

Hata hivyo kiwango cha kodi kwa mtu binafsi asiye

mkazi ni asilimia ishirini (20%) kwenye mapato yake

yote ya jumla.

2. Wafanyakazi wanaochangia kulingana na kifungu

namba 12 cha Sheria ya Mfuko wa Elimu ya mwaka

2001, mchango huo unaweza kusamehewa kodi

endapo maombi yatatumwa kwa Kamishna.

Viwango Vitumikavyo Zanzibar

Mapato kwa Mwezi Kiwango cha Kodi

Mapato yasiozidi Shs.

125,000/-

Mapato yanayozidi Shs

125,000/- lakini hayazidi Shs

360,000/-

6

Hakuna kodi

15% ya mapato

yanayozidi Shs 125,000/-
Mapato yanayozidi Shs

360,000/- lakini hayazidi Shs

540,000/-

Mapato yanayozidi Shs

540,000/- lakini hayazidi Shs

720,000/-

Mapato yanayozidi Shs

720,000/-

7

Shs. 35,250/- + 20% ya

mapato yanayozidi Shs

360,000/-

Shs 71,250/- + 25% ya

mapato yanayozidi Shs

540,000/-

Shs 116,250/- + 30% ya

mapato yanayozidi Shs.

720,000/-

Kiwango cha mwaka: Mapato yasiyozidi Sh.1,500,000/=

huyatozwi kodi.

6. Kodi kwenye marupurupu ya ajira

a. Nyumba:

Ukokotoaji wa marupurupu ya

nyumba unayopewa na mwajiri

utazingatia bei ambayo ni

pungufu kati ya ile ya soko na

inayozidi yafuatayo:

(i) 15% ya mapato yote ya ajira ya mwaka ya mwajiriwa,

na

(ii) Madai ya marejesho yanayodaiwa na mwajiri kutokana

na kodi ya pango
. Gari:

Magari yatatozwa kodi kutokana na uwezo wa injini ya

gari na umri wa gari kulingana na jedwali lifuatalo:

Uwezo wa injini ya gari Umri wa

Gari

Lisilozidi miaka Linalozidi

mitano miaka mitano

Usiozidi 1000c.c 250,000/= 125,000/=

Unaozidi 1000c.c na usiozidi

2000c.c

500,000/= 250,000/=

Kumbuka:

Unaozidi 2000c.c na usiozidi

3000c.c

1,000,000/= 500,000/=

Unaozidi 3000c.c 1,500,000/= 750,000/=

� Marupurupu haya hayatozwi kodi pale ambapo mwajiri hana

madai ya makato kutokana na umiliki, matengenezo au

matumizi ya gari.

� Bei ya soko itatumika kukadiria marupurupu ya aina nyingine.

8
7. Viwango vya kodi kwa wafanyabiashara wadogo wakazi

Mauzo kwa mwaka

Mauzo yasiyozidi sh.

4,000,000/=

Mauzo yanayozidi sh.

4,000,000/= na

yasiyozidi sh.

Mauzo yanayozidi

sh.7,500,000/= na

yasiyozidi sh.

11,500,000/=

Mauzo yanayozidi

sh. 11,500,000/= na

yasiyozidi sh.

16,000,000/=

Uzingatiaji wa kifungu cha 80 cha

Sheria ya Kodi ya Mapato (Utunzaji wa

kumbukumbu)

Hakijazingatiwa

(Kumbukumbu

zisizoridhisha)

9

Kimezingatiwa

(Kumbukumbu

zinazoridhisha)

Hakuna Hakuna

Sh. 100,000/= 2% ya mauzo

yanayozidi sh.

4,000,000/=

Sh. 212,000/= Sh. 70,000/= + 2.5%

ya mauzo yanayozidi

sh.7,500,000/=

Sh. 364,000/= sh. 170,000/=

+ 3% ya mauzo

yanayozidi

sh. 11,500,000/=

kwa mwaka.
Mauzo yanayozidi

sh. 16,000,000/= na

yasiyozidi sh.

20,000,000

Sh. 575,000 Sh. 305,000/=

+ 3.5% ya mauzo

yanayozidi

sh. 16,000,000/=

kwa mwaka.

Endapo mauzo ghafi kwa mwaka yatazidi sh. 20,000,000/= ni

lazima kutengeneza hesabu za mizania kulingana na biashara.

8. Uwasilishaji wa ritani na malipo ya kodi ya mapato.

a) Tarehe za malipo ya kodi ya awali kwa walipakodi

wanaofunga hesabu kwa kufuata mwaka wa kalenda*

i) Kabla au mnamo tarehe 31 Machi

ii) Kabla au mnamo tarehe 30 Juni

iii) Kabla au mnamo tarehe 30 Septemba

iv) Kabla au mnamo tarehe 31 Desemba

*Malipo hufanyika katika kipindi cha miezi mitatu mitatu

kutegemea tarehe ya kufunga hesabu za biashara.

10
) Ritani za mwisho wa mwaka wa malipo ya kodi:

Huwasilishwa ndani ya miezi sita tangu tarehe ya kufunga

hesabu za mwaka wa mapato.

c) Riba kutokana na ucheleweshaji wa malipo:

Ucheleweshaji malipo unaambatana na kutozwa riba kwa

kiwango kilichoidhinishwa na benki kuu kwa wakati huo

kujumlisha na 5% kwa mwaka.

d) Faini ya kutotumia EFD: Kushindwa kutumia mashine za

kodi za kielektroniki (EFD) au kutotoa risiti za kielektroniki,

tozo la faini ya Sh 3,000,000 au kifungo kisichozidi miaka

3 kitatolewa.

9. Kodi ya kuendeleza ufundi stadi (SDL)

(i) Tanzania Bara:

Kiwango ni 6% ya malipo yote aliyolipa mwajiri kwa

wafanyakazi wake kwa mwezi husika.

(ii) Zanzibar

Kiwango ni 5% ya malipo yote aliyolipa mwajiri kwa

wafanyakazi wake kwa mwezi husika.

11
10

Kumbuka

Jumla ya malipo ni majumuisho ya mshahara, malipo ya

likizo, likizo ya ugonjwa, malipo yoyote yanayohusisha likizo,

kamisheni, mafao, bonasi, malipo ya kujikimu, usafiri, malipo

ya kujiburudisha au malipo yoyote yanayoendana na utendaji

kazi husika isipokuwa malipo yale yaliyotumika katika

utekelezaji wa moja kwa moja wa kazi ya mwajiri.

Punguzo katika rasilimali na viwango vyake

Daraja Maelezo Viwango

1* Kompyuta pamoja na vifaa

vinavyohusiana na kompyuta,

mashine zinazoshughulika na

takwimu, vifaa/mashine

zinazojiendesha zenyewe, mabasi

makubwa na madogo yenye uwezo

wa kubeba abiria wasiozidi 30,

magari ya mizigo yanayobeba uzito

12

37.5%
2* Mabasi yenye uwezo wa kubeba

abiria 30 au zaidi, magari makubwa

kwa ajili ya kazi maalum, matrekta

na matrekta yaliyojengewa

makontena, reli, garimoshi na

mashine zake, meli,

matishari(barges), vyelezo(tags), na

mashine nyingine zinazojiendesha

zenyewe, mitambo na mashine zake

pamoja na mashine ya upepo,

jenereta za umeme, na mashine za

usambazaji) zinazotumika katika

uzalishaji au katika shughuli za

madini, mitambo na mashine

3* Samani za ofisini, vifaa vya ofisini na

mashine/mitambo, pamoja na

rasilimali ambazo hazikujumuishwa

kwenye madaraja mengine.

4** Uchunguzi wa maliasili, na hati miliki

za uzalishaji maliasili, pamoja na

matumizi yanayofanyika wakati wa

kutafiti, kuzalisha, na kuendeleza

maliasili

13

25%

12.5%

20%
5** Majengo na sura mbali mbali za

ujenzi, mabwawa, hifadhi ya maji,

uzio, na shughuli nyingine za kilimo

zenye asili ya kudumu kwa muda

mrefu, shughuli za mifugo.

6** Majengo, sura mbalimbali za ujenzi

(structures), na shughuli nyingine

zinazofananana hizi zenye asili ya

kudumu kwa muda mrefu ambazo

hazipo katika daraja la 5.

7** Rasilimali zinazokosekana katika

daraja la 4 na zisizoshikika.

8** Mitambo na mashine (pamoja na

mashine za upepo, jenereta za

umeme, na mashine za

usambazaji) zinazotumika kwenye

kilimo, pamoja na mashine za kodi

za kielektroniki (EFD).

14

20%

5%

Hugawanywa kwa

muda wa maisha

ya rasilimali.

100%
Kumbuka:

1* Uchakavu hukokotolewa kwenye thamani ya rasilimali

ambayo tayari imeshapunguzwa (Diminishing Value

Method).

2** Thamani ya rasilimali kwa mwaka wa kwanza ndio

inayotumika katika kukokotoa uchakavu kila mwaka

(Straight Line Method).

B. KODI ZA MLAJI

11. KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI (VAT)

(i) Usajili wa VAT

Kiwango cha usajili wa Kodi ya Ongezeko la Thamani:

Kiwango cha mauzo yanayotozwa kodi cha zaidi ya shilingi

milioni arobaini (milioni 40) kwa mwaka, au kiwango

kinachozidi milioni 10 kutokakana na mauzo yanayotozwa

kodi ya miezi mitatu inayofuatana.

(ii) Viwango vya VAT

Aina ya bidhaa na au huduma Kiwango (VAT)

zinazohusika

Bidhaa na huduma zinazotozwa kodi - 18%

Tanzania bara

Uagizaji na uingizaji wa bidhaa na

18%

huduma toka nje kuingia Tanzania bara.

Uuzaji wa bidhaa nje ya nchi. 0%

15
(iii) Unafuu maalum wa VAT

Baadhi ya watu au asasi zinapewa unafuu maalum wa Kodi

ya Ongezeko la Thamani kwa kiwango cha 100% au 45% ya

kodi ya bidhaa au huduma. (Kufuatia mabadiliko ya jedwali la

3 la Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani)

(iv) Uwasilishaji wa Ritani ya Kodi ya Ongezeko la

Thamani

Bidhaa na Huduma zitolewazo hapa nchini, siku ya mwisho ya

kazi ya mwezi unaofuata mwezi wa biashara

Bidhaa toka nje - Pindi malipo ya Ushuru wa Forodha

yanapolipwa

(v) Marejesho ya Kodi ya Ongezeko la Thamani:

� Katika kipindi cha siku thelathini (30) baada ya

kuwasilisha hati ya uthibitisho kutoka kwa mkaguzi

aliyesajiliwa kama mtaalamu na mshauri wa kodi.

� Marejesho ya mara kwa mara ya Kodi ya Ongezeko

la Thamani:- Wafanyabiashara wenye marejesho

yenye asili hii wanaruhusiwa kuwasilisha maombi

ya marejesho yao kila mwezi.

Kumbuka:

Kila mfanyabiashara alisajiliwa kwa Kodi ya Ongezeko la

Thamani anatakiwa kutumia mashine za kodi za kielektroniki

(EFD).

16
12. Ushuru wa Stempu

Maelezo Viwango

(i) Kuhamisha Asilimia moja (1%) ya thamani ya

mauzo au sihia

(ii) Kwenye ardhi Tshs. 500/=

kwa ajili ya kilimo

(iii) Hati za kisheria

na mikataba za

biashara

Kwa masuala ya kibiashara na

kisheria, ushuru wa stempu hutozwa

katika viwango maalum mfano,

mkataba wa mkopo, kiwango ni 1% ya

mkataba lakini jumla ya ushuru

unaolipwa usizidi shilingi 10,000/=.

Msamaha:

� Risiti kwenye mauzo au huduma inayohusiana na

biashara

� Kuhamisha umiliki wa mali (Assets) katika chombo

maalum kwa mdhumuni ya kutoa dhamana

zinazotegemea mali hiyo.

Kumbuka:

Ushuru wa Stempu kwenye hati mbalimbali, unapaswa

kulipwa ndani ya siku 30 baada ya kusaini mkataba husika.

17
13 Ushuru wa Forodha

Bidhaa Kiwango cha

Ushuru

(i) Bidhaa za Mtaji, Malighafi

0%

zitumikazo kuzalisha bidhaa, dawa

na vifaa vya hospitali, Jembe la

mkono, matrekta ya kilimo na

pembejeo za kilimo.

(ii) Bidhaa ambazo hazijakamilika 10%

(iii) Bidhaa za mlaji na zilizokamilika

18

25%

(iv) Baadhi ya bidhaa hutozwa ushuru zaidi ya 25%

kwa lengo la kulinda viwanda vya ndani. Hii ni

pamoja na

� Maziwa yaliyosindikwa na bidhaa za aina

hiyo,

� Maziwa ya mtindi na mafuta ya maziwa

yaliyoongezwa ladha,

� Sukari itokanayo na miwa au viazi na

bidhaa za aina hiyo,

� Magunia ya katani,

� Vitenge, Khanga na Nguo za mitumba.
14. Ushuru wa bidhaa

A. (i) Viwango maalum kwa bidhaa kama: Mvinyo,

pombe kali, bia, vinywaji baridi, maji ya chupa,

juisi za matunda, sigara, tumbaku, DVD, VCD,

CD na kanda zilizorekodiwa, bidhaa za petroli

na gesi.

(ii) Ushuru kwa asilimia ya thamani: 7%,12%,20%,

30% na 120% (120% ni kwa mifuko ya plastiki

ya kubebea vitu).

B. Ushuru wa bidhaa kwenye magari ya zaidi ya miaka 10:

Magari yenye umri wa miaka 10 na zaidi, inayohesabiwa

kuanzia mwaka gari ilipotengenezwa, yanatozwa ushuru

wa bidhaa wa ziada wa 20% .

C. Ushuru wa bidhaa kwenye magari kulingana na ujazo wa

injini kwa magari ya matumizi binafsi

Aina ya gari Kiwango cha ushuru

(i) Lenye ujazo wa injini chini ya 0%

1000cc

(ii) Lenye ujazo wa injini unaozidi 5%

1000 cc lakini usiozidi 2000 cc

(iii) Lenye ujazo wa injini unaozidi 10%

2000 cc

19
15. Ushuru wa mafuta ya petroli na dizeli Sh. 200 kwa lita

16. Ushuru wa huduma za viwanja vya ndege

Safari za nje Dola za kimarekani

40

Safari za ndani ya nchi Sh. 10,000/-

17. Ada za huduma ya bandari

Kwa wasafiri wakazi Sh. 500/-

Kwa wageni Dola za kimarekani 5

18. Ada ya usajili wa chombo cha moto kwa mara ya kwanza

Ada ya kusajili gari

Ada ya kusajili pikipiki

20

Sh. 150,000/-

Sh. 45,000/-

Ada ya usajili kwa namba binafsi Sh. 5,000,000 kwa

miaka 3

19. Ada ya mwaka ya gari ni kama ifuatavyo

Ujazo wa Injini Ada kwa mwaka

Usiozidi 500 cc Sh. 50,000/-

501 - 1,500 cc Sh. 100,000/-

1,500 - 2,500 cc Sh. 150,000/-

zaidi ya 2,500 cc Sh. 200,000/-
Trekta kwa ajili ya matumizi ya shughuli Imesamehewa

za kilimo.

20 Ada ya ukaguzi wa chombo cha kuzima moto

Gari/Pikipiki yenye ujazo kati ya 1cc

mpaka 500cc

Gari/Pikipiki yenye ujazo kati ya 500cc

na 1500cc

Gari/Pikipiki yenye ujazo kati ya 1500cc

na 2500cc

21

Sh 10,000

Sh 20,000

Sh 30,000

Gari/Pikipiki yenye ujazo zaidi ya

Sh 40,000

2500cc

21. Ada ya kuhamisha umiliki wa chombo cha moto

Ada ya gari Sh. 50,000/-

Ada ya pikipiki Sh. 27,000/-

Ada ya kadi mpya Sh. 10,000/-

22. Leseni za udereva

Ada ya leseni Sh 40,000/- na

kurudiwa baada ya

miaka 3

Ada ya majaribio ya udereva Sh 3,000/-
Leseni ya muda ya udereva Sh 10,000/- na

kurudiwa baada ya

miezi 3

23. Ushuru kwa bidhaa ziendazo nje ya nchi (Export tax)

i) Ngozi ghafi hutozwa 90% ya thamani (FOB) au Sh 900/kwa

kilo kutegemea kiasi kipi ni kikubwa.

ii) Korosho zisizobanguliwa hutozwa ushuru wa 10% kwenye

thamani (FOB) au dola za kimarekani 160 kwa tani

kutegemea kiwango kipi ni kikubwa

24. Bidhaa zisizoruhusiwa kuingia hapa nchini (Prohibited

Goods)

Dawa za kulevya, Vifaa vya kutengeneza gesi za machozi,

Maandishi ya uchochezi, Picha za matusi, matairi ya magari

ya kubeba abiria na biashara yaliyokwishatumika pamoja na

bidhaa zingine kama zilivyoainishwa katika sheria.

25. Bidhaa zisizoruhusiwa kuingia hapa nchini kwa masharti

ya udhibiti (Restricted Goods)

Wanyama hai, mimea, baruti, silaha, risasi, pembe za ndovu

na mabaki yake pamoja na bidhaa zingine kama

zilivyoainishwa katika sheria. Bidhaa hizi huhitaji kibali

maalum kutoka mamlaka husika.

22
26. Ada ya mchakato wa nyaraka (Destination Inspection)

Ada ya 0.6% hutozwa wakati wa ukokotoaji wa ushuru

kwenye thamani ya bidhaa (FOB).

27. Bidhaa zinazotoka nchi wanachama wa Jumuiya ya

Afrika Mashariki (EAC) na SADC

Bidhaa zinazozalishwa katika nchi wanachama wa EAC na

SADC zitatozwa ushuru kiwango cha 0% pale zinapokidhi

kanuni za uasili. Kiwango hiki hakitazihusu bidhaa

zinazozalishwa katika uwanda wa wazi (EPZ) na viwanda

vinavyopata msamaha wa kodi.

28. Kodi ya majengo (Property rates):

Mkoa wa Dar es Salaam.

Aina ya majengo Viwango vyake

(i) Majengo ya makazi 0.15% ya thamani iliyoidhinishwa

(ii) Majengo ya biashara 0.2% ya thamani iliyoidhinishwa

Kwa vyovyote kiwango cha chini hakitapungua shilingi

10,000/=

Majengo yaliyoorodheshwa yasiyokuwa na thamani

iliyoidhinishwa, viwango vya utozaji vinapatikana katika

jedwali la kwanza kwenye sheria ndogo ya kila Halmashauri

ya Manispaa husika (Temeke, Ilala na Kinondoni)

(iii) Kodi ya majengo kwa mikoa mingine hukusanywa na

Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya husika.

23