Leaflet Mpunga.p65 - Kilimo

Leaflet Mpunga.p65 - Kilimo Leaflet Mpunga.p65 - Kilimo

kilimoznz.or.tz
from kilimoznz.or.tz More from this publisher
12.12.2012 Views

lakini mashambulizi makubwa yanatokea mpunga ukiwa mchanga. Wadudu wanaoshambulia sana mpunga ni pamoja na kunguni mgunda na funza wa kigogo. Ili kudhibiti uharibifu hou hapana budi kutayarisha shamba vizuri na kwa wakati pamoja na ukaguzi wa shamba mara kwa mara, ni mbinu bora ya kupunguza maradhi na wadudu kwa kiasi kikubwa sambamba na utumiaji wa dawa za viwandani kama vile Dawa ya unga aina ya Marshal ambayo huchanganywa na mbegu kabla ya kupandwa, Dawa za mafuta za Rogo, Attakan, C344SE, na nyenginezo. Dawa hizi hutumika zaidi mara tu mashambulizi yanapoanza baada ya mpunga kuota/kuchipua. Ukaguzi wa shamba: Kwa kipindi chote hicho inashauriwa kukagua shamba lako mara kwa mara ili kuweza kugundua tatizo lolote mapema na kulichukulia hatua inayofaa kwa haraka. Upatikanaji wa Wataalam: Wakulima ili wafanikiwe wanahitaji kupata ushauri wa kitaalam na miongozo mbalimbali ili uzalishaji uweze kukuwa. Ni vizuri kwa wakulima kuwa karibu na mabwana shamba wa maeneo yao, ili kubadilishana uzoefu na kupata taaluma zaidi. Mavuno: Uvunaji hufanyika mapema mpunga unapokauka na kugeuka rangi ya kahawia kabla majani hayajakauka kabisa. Unapochelewa kuvunwa mpunga hukauka shambani na hupukutika na kupungua uzito. Baada ya kuvunwa mpunga husafishwa kwa kupeta na huhifadhiwa kwenye mapolo na magunia kwa matumizi ya baadae. Kimetayarishwa na Kamisheni ya Kilimo, Utafiti na Elimu kwaWakulima (Kitengo cha habari na Vielelezo) Wizara ya Kilimo, Mifugo na Mazingira S. L. P 159, ZANZIBAR Juni, 2008 WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA MAZINGIRA - ZANZIBZAR MBINU MBINU BORA BORA ZA ZA UZALISHAJI UZALISHAJI MPUNGA MPUNGA WA KUTEGEMEA KUTEGEMEA MVU MVUA MVU

lakini mashambulizi makubwa yanatokea mpunga

ukiwa mchanga. Wadudu wanaoshambulia sana

mpunga ni pamoja na kunguni mgunda na funza

wa kigogo. Ili kudhibiti uharibifu hou hapana budi

kutayarisha shamba

vizuri na kwa wakati

pamoja na ukaguzi

wa shamba mara

kwa mara, ni mbinu

bora ya kupunguza

maradhi na wadudu

kwa kiasi kikubwa

sambamba na

utumiaji wa dawa za

viwandani kama vile

Dawa ya unga aina

ya Marshal ambayo huchanganywa na mbegu

kabla ya kupandwa, Dawa za mafuta za Rogo,

Attakan, C344SE, na nyenginezo. Dawa hizi

hutumika zaidi mara tu mashambulizi yanapoanza

baada ya mpunga kuota/kuchipua.

Ukaguzi wa shamba:

Kwa kipindi chote hicho inashauriwa kukagua

shamba lako mara kwa mara ili kuweza kugundua

tatizo lolote mapema na kulichukulia hatua

inayofaa kwa haraka.

Upatikanaji wa Wataalam:

Wakulima ili wafanikiwe wanahitaji kupata ushauri

wa kitaalam na miongozo mbalimbali ili uzalishaji

uweze kukuwa. Ni vizuri kwa wakulima kuwa

karibu na mabwana shamba wa maeneo yao, ili

kubadilishana uzoefu na kupata taaluma zaidi.

Mavuno:

Uvunaji hufanyika mapema mpunga unapokauka

na kugeuka rangi ya kahawia kabla majani

hayajakauka kabisa. Unapochelewa kuvunwa

mpunga hukauka shambani na hupukutika na

kupungua uzito.

Baada ya kuvunwa mpunga husafishwa kwa

kupeta na huhifadhiwa kwenye mapolo na

magunia kwa matumizi ya baadae.

Kimetayarishwa na

Kamisheni ya Kilimo, Utafiti na Elimu kwaWakulima

(Kitengo cha habari na Vielelezo)

Wizara ya Kilimo, Mifugo na Mazingira

S. L. P 159, ZANZIBAR

Juni, 2008

WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA

MAZINGIRA - ZANZIBZAR

MBINU MBINU BORA BORA ZA

ZA

UZALISHAJI

UZALISHAJI

MPUNGA MPUNGA WA

KUTEGEMEA KUTEGEMEA MVU MVUA MVU

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!