My final AIM Global booklet

06.06.2017 Views

Kwa kushirikiana na Natures way Alliance in motion imetengenezewa bidhaa kadhaa zenye virutubisho vitokanavyo na mimea yaani phytonutrients. Bidhaa kuu ambayo ni uti wa mgongo wa bidhaa za kampuni ya Alliance in motion ni hii iitwayo Complete 24/7 au C24/7. Kirutubisho hiki kina uwezo mkubwa sana wa kulinda chembe hai, kuongeza kinga mwilini, Kuziongezea nguvu, Kukuza chembe hai, kuziwezesha, kuzipendezesha, kuzikinga dhidhi ya maradhi ya moyo na kukinga dhidhi ya saratani aina mbali mbali. C24/7 ina virutubisha zaidi ya 22,000 vitokanavyo na mimea. Vikiwemo aina 29 ya vitamin na madini, aina 12 ya matunda kamili, aina 12 ya mboga mboga, aina 14 ya mimiea ya kijani, aina 12 za uyoga, aina 18 za amino acids-hizi hutengeneza protini mwilini, vimeng’enya aina 12, aina 12 ya virutubisho maalum, aina 10 ya mafuta muhimu mwilini, aina 5 ya virutubisho vinavyorefusha maisha, na aina 4 ya virutubisho vinavyozuia muonekano wa uzee. Haya ni matunda aina 12 yanayosaidia kukinga dhidi Aina 12 ya mboga mboga. Mimea ya kijani aina 12 Uyoga aina 12 nyingi zikiwa za kijapani kama shiitake, hiratake, maitake, Yamabushitake pia kuna uyoga aina ya reishi na chagga inayojulikana pia kama mfalme wa uyoga ambazo ni maarufu sana katika kupambana na aina nyingi sana za maradhi katika mwili wa binadamu. 8

Kirutubisho cha C24/7 kimetengenezwa kwa mfumo unaoitwa NANO Technology. Hii ni teknologia inayofanya chembe za virutubisho kuwa ndogo sana zaidi ya mara 100 ya chembe hai za binadamu. Teknologia hii imewezesha aina mbalimbali ya virutubisho, zaidi ya 140 kusindikwa kwenye kidonge kimoja. Kutokana na udogo wa chembe za virutubisho kidonge kinapomezwa virutubisho vyote huingia kwenye chemba hai za mtu na kufanya kazi kwa ubora zaidi katika kuiweka vizuri afya ya mtumiaji. Hii tecnologia inakua sana katika hii karne ya 21. Zamani mtu ilibidi awe na santuri nyingi sana kama alitaka kuwa na maktaba ndogo ya santuri za muziki nyumbani. Lakini kwa teknolojia ya nano siku hizi mtu anaweza akaweka hata nyimbo tofauti zaidi ya efu 10 kwenye chombo kimoja ambacho kinabebeka kwa urahisi, kama vile kwenye eternal hard drive, flash disk, CD na kadhalika. Kama utengenezaji wa kila kirutubisho kilichopo ndani ya kidonge cha C24/7 kingetengenezwa pekeyake, utengenezaji na usafirishaji wa hizo bidhaa ungekuwa wa gharama zaidi. Jambo la pili ni kwamba C24/7 ina alkaline ndani yake. Mwanadamu huwa anakuwa na asidi ama alkaline mwilini mwake. Magonjwa mengi ikiwemo saratani hukaa katika mazingira ya asidi. Hakuna ugonjwa wowote ikiwemo hiyo saratani unaoweza kuishi kwenye mazingira ya alkaline. Maana yake kwa mtu yoyote anaetumia bidhaa ya C24/7 yenye alkaline hakuna ugonjwa unaoweza kukaa mwilini mwake. Ukitumia aina moja tu ya kirutubisho hakitakuwa na nguvu kama kutumia mchanganyiko wa virutubisho vingi aina mbali mbali. C24/7 inatumia teknologia inayojulikana kama Syner-tech ambayo ni mkusanyiko wa virutubisho aina nyingi tofauti. Kasha linalohifadhi huo mchanganyiko wa virutubisho uliyosindikwa nalo linatokana na mboga mboga ndiyo maana kidoge cha C24/7 kinaitwa V-cap au Vegetarian capsule. Kikimezwa kidonge huchukua dakika 15 tu kuyeyuka tofauti na vidonge vingi vinavyochukua kuanzia nusu saa na kuendelea. 9

Kwa kushirikiana na Natures way Alliance in

motion imetengenezewa bidhaa kadhaa

zenye virutubisho vitokanavyo na mimea

yaani phytonutrients. Bidhaa kuu ambayo ni

uti wa mgongo wa bidhaa za kampuni ya

Alliance in motion ni hii iitwayo Complete

24/7 au C24/7. Kirutubisho hiki kina uwezo

mkubwa sana wa kulinda chembe hai,

kuongeza kinga mwilini, Kuziongezea

nguvu, Kukuza chembe hai, kuziwezesha,

kuzipendezesha, kuzikinga dhidhi ya

maradhi ya moyo na kukinga dhidhi ya saratani

aina mbali mbali.

C24/7 ina virutubisha zaidi ya 22,000 vitokanavyo na mimea. Vikiwemo aina 29 ya vitamin na madini,

aina 12 ya matunda kamili, aina 12 ya mboga mboga, aina 14 ya mimiea ya kijani, aina 12 za uyoga, aina

18 za amino acids-hizi hutengeneza protini mwilini, vimeng’enya aina 12, aina 12 ya virutubisho

maalum, aina 10 ya mafuta muhimu mwilini, aina 5 ya virutubisho vinavyorefusha maisha, na aina 4 ya

virutubisho vinavyozuia muonekano wa uzee.

Haya ni matunda aina 12 yanayosaidia kukinga dhidi Aina 12 ya mboga mboga.

Mimea ya kijani aina 12

Uyoga aina 12 nyingi zikiwa za kijapani kama

shiitake, hiratake, maitake, Yamabushitake pia

kuna uyoga aina ya reishi na chagga inayojulikana

pia kama mfalme wa uyoga ambazo ni

maarufu sana katika kupambana na aina nyingi

sana za maradhi katika mwili wa binadamu.

8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!