My final AIM Global booklet

06.06.2017 Views

Miili yetu hua inajitengenezea kinga ya virutubisho viitwavyo antioxidants ili kukabiliana na hizo free radicals zisiweze kuharibu chembe hai zetu. Miili hutengeneza hivyo virutubisho vya kinga mtu anapokuwa hajafikia miaka 30. Lakini kuanzia hiyo miaka 30 na kuendelea mwili hukoma kutengeneza hivyo virutubisho na inabidi kuvipata kutoka nje ya mwili. Ndiyo maana watu wengi wakishafika umri wa miaka 35 na kuendelea matatizo au magomjwa mbali mbali huanza kujitokeza kwa sababu ya kukosa virutubisho muhimu mwilini. 6

Virutubisho aina ya phytonutrients yaani vitokanavyo na mimea vimethibitika kuwa kinga nzuri sana dhidi ya free radicals. Shirika la afya duniani WHO wametoa maelekezo kwamba ili uwe na kinga ya kutosha mwilini kuweza kupambana na magonja lazima uwe na uwezo wa kula angalau aina 5 za matunda na aina 5 za mboga mboga kila siku bila kukosa. Hayo matunda lazima yaliwe mazima yaani maganda, tunda la ndani na mbegu bila kuacha kitu. Kama ni chungwa kula ganda lake mpaka mbegu maana maganda na mbegu ya matunda ndiyo yenye virutubisho vingi sana kuliko tunda tu la ndani. Kutokana na ukweli kwamba imeonekana kuwa vigumu kwa watu kuweza kula matunda na mboga mboga kama ilivyoshauriwa na WHO kampuni ya Alliance in motion imeingia ubia na kampuni kubwa sana ya Natures way ili kutengeneza virutubisho vitakavyomsaidia mwanadamu kuongeza kinga ya mwili na kuepukana na magonjwa au kuyaondoa kama tayari yameshamshambulia. Kiwanda cha Natures way kipo Wisconcin, Marekani. Kiko kwenye uzalishaji wa virutubisho kwa zaidi ya miaka 50 sasa. Hakina madeni, kina aina zaidi ya 700 ya virutubisho vinavyotengenezwa hapo, bidhaa zake zinakubalika na wayahudi yaani kosha rating na jamii ya kiislamu kwa nembo ya Halaal. Kina madakitari na wataalam wa miti shamba zaidi ya 200. Bidhaa zake zimefanyiwa utafiti wa kina sana na ndiyo kinaongoza duniani kwa kutengeneza virutubisho. 7

Virutubisho aina ya phytonutrients

yaani vitokanavyo na mimea vimethibitika

kuwa kinga nzuri sana dhidi

ya free radicals. Shirika la afya duniani

WHO wametoa maelekezo

kwamba ili uwe na kinga ya kutosha

mwilini kuweza kupambana na magonja

lazima uwe na uwezo wa kula

angalau aina 5 za matunda na aina 5

za mboga mboga kila siku bila kukosa.

Hayo matunda lazima yaliwe

mazima yaani maganda, tunda la

ndani na mbegu bila kuacha kitu.

Kama ni chungwa kula ganda lake

mpaka mbegu maana maganda na

mbegu ya matunda ndiyo yenye

virutubisho vingi sana kuliko tunda

tu la ndani.

Kutokana na ukweli kwamba imeonekana kuwa vigumu kwa watu kuweza kula matunda na mboga

mboga kama ilivyoshauriwa na WHO kampuni ya Alliance in motion imeingia ubia na kampuni

kubwa sana ya Natures way ili kutengeneza virutubisho vitakavyomsaidia mwanadamu kuongeza kinga

ya mwili na kuepukana na magonjwa au kuyaondoa kama tayari yameshamshambulia. Kiwanda cha

Natures way kipo Wisconcin, Marekani. Kiko kwenye uzalishaji wa virutubisho kwa zaidi ya miaka 50

sasa. Hakina madeni, kina aina zaidi ya 700 ya virutubisho vinavyotengenezwa hapo, bidhaa zake zinakubalika

na wayahudi yaani kosha rating na jamii ya kiislamu kwa nembo ya Halaal. Kina madakitari

na wataalam wa miti shamba zaidi ya 200. Bidhaa zake zimefanyiwa utafiti wa kina sana na ndiyo kinaongoza

duniani kwa kutengeneza virutubisho.

7

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!