My final AIM Global booklet

06.06.2017 Views

Kiongozi Mkuu ni huyu Dr. Eduado Cabantog. Yeye ni dakitari kitaaluma na wamempa jina la The visionary president kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuwa na maono mbali mbali kwa ajili ya kuboresha kampuni. Pia yeye ni mmoja ya wajasiriamali 10 bora kulingana na gazeti la Entrepreneur. Alikuwa bora kuliko wengine wote katika biashara ya mtandao mwaka 2013-2014 kulingana na MLMIA yaani Multi- Level Marketing International Association ambayo ni taasisi Inayosimamia na kuratibu biashara ya mtandao duniani. Pia alitambuliwa kama mfanyabiashara anaeongoza kwa mwaka 2013 kwenye mkutano wa wafanya biashara ya soko la mtandao uliyofanyika Bangkok. Mwingine ni huyu Francis Miguel ambaye ni Engineer wa Computer kitaaluma. Yeye anashughulika zaidi na masuala ya mahesabu ya kampuni na wanamuita mwongozaji na mshauri wa washauri (Mentor of mentors) Pia kuna huyu Bwana Raymund John Asperin ambae ni Afisa masoko mkuu wa kampuni na ni mhitimu wa masomo ya utabibu. Nae amepewa jina la Bwana hamasa (Mr. Excitement) 4

Miili yetu hushambuliwa na vijasumu viitwavyo free radicals kwa lugha ya kigeni ambavyo hudhoofisha au kuharibu uwezo wa kinga ndani ya chembe hai (cells) zetu. Hapa unaweza kuona jinsi gani chembe hai imeshambuliwa na free radicals na kuharibika kabisa. Kwa hali kama hii mtu ambae chembe hai zake zimeshambuliwa kwa kiasi hiki lazima atapata maradhi fulani kutokana na kinga yake mwilini kudhoofishwa. Ni vigumu sana kuzuia hizo free radicals kuingia kwenye mwili wa mtu kutokana na ukweli kwamba zinamuingia mtu kutokana na…… Chakula anachokula. Dawa anazotumia Vinywaji anavyokunywa Hewa anayovuta na kadhalika. 5

Kiongozi Mkuu ni huyu Dr. Eduado

Cabantog. Yeye ni dakitari

kitaaluma na wamempa jina la

The visionary president kutokana

na uwezo wake mkubwa wa kuwa

na maono mbali mbali kwa ajili ya

kuboresha kampuni. Pia yeye ni

mmoja ya wajasiriamali 10 bora

kulingana na gazeti la Entrepreneur.

Alikuwa bora kuliko wengine

wote katika biashara ya

mtandao mwaka 2013-2014 kulingana

na MLMIA yaani Multi-

Level Marketing International

Association ambayo ni taasisi

Inayosimamia na kuratibu biashara

ya mtandao duniani. Pia alitambuliwa

kama mfanyabiashara

anaeongoza kwa mwaka 2013

kwenye mkutano wa wafanya biashara

ya soko la mtandao uliyofanyika

Bangkok.

Mwingine ni huyu Francis

Miguel ambaye ni Engineer

wa Computer kitaaluma.

Yeye anashughulika zaidi

na masuala ya mahesabu ya

kampuni na wanamuita

mwongozaji na mshauri wa

washauri (Mentor of mentors)

Pia kuna huyu Bwana Raymund John

Asperin ambae ni Afisa masoko

mkuu wa kampuni na ni mhitimu wa

masomo ya utabibu. Nae amepewa

jina la Bwana hamasa (Mr. Excitement)

4

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!