My final AIM Global booklet

06.06.2017 Views

Ukifanya biashara ya Alliance in Motion, mfumo wa maisha yako utabadilika kabisa. Utafika wakati utatembea na pochi iliyojaa pesa. Familia itakuwa yenye furaha na amani Watoto wako watasoma shule bora Utaishi kwenye nyumba ya ndoto yako. Utaendesha gari unalolipenda Kama ulishasahau kwenda supermarket na familia au kama hujawahi kwenda kabisa utaanza kwenda. Ukiwa usingizini utaota ndoto zitakazokufanya utabasamu katika hali yako ya usingizi. 30

Karibu kwenye familia ya Alliance in Motion Global. Jiunge na uwe mmoja wetu. Mtu aliyekupa kijitabu hiki atakuelekeza na kukuonyesha namna ya kujiunga na kuanza biashara. Wala usihofu kwamba utaielewaje biashara. Aliyekukaribisha pamoja na timu nzima ya wanachama watatembea na wewe hatua kwa hatua mpaka utakapoelewa na kuweza kufundisha wengine. Fanya ndoto zako ziwe hai. Kwa biashara ya mtandao na hasa ya Alliance in Motion Tukiwa na Mungu na tukiwaa na Alliance in Motion Global kila kitu kinawezekana. 31

Karibu kwenye familia ya Alliance in Motion Global. Jiunge na uwe mmoja wetu. Mtu aliyekupa kijitabu hiki

atakuelekeza na kukuonyesha namna ya kujiunga na kuanza biashara. Wala usihofu kwamba utaielewaje biashara.

Aliyekukaribisha pamoja na timu nzima ya wanachama watatembea na wewe hatua kwa hatua mpaka utakapoelewa

na kuweza kufundisha wengine. Fanya ndoto zako ziwe hai. Kwa biashara ya mtandao na hasa ya Alliance in Motion

Tukiwa na Mungu na tukiwaa na Alliance in Motion Global kila kitu kinawezekana.

31

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!