My final AIM Global booklet

06.06.2017 Views

Kuna wakati upande mmoja unaweza ukawa unaingiza watu kwa kasi na mwingine taratibu au kutoingiza mapema. Kwa utaratibu wa Alliance upande usioingiza kwa haraka lakini waliopo wananunua bidhaa, jumla ya point za bidhaa zote zilizonunuliwa upande huo zikifika 1200 mfumo wa kampuni unatafuta mtu wa upande wa pili wa kulinganisha nae na utalipwa TZS 66,000.00. Pia inawezekana watu kwa kipindi fulani hawaingii kwenye biashara pande zote lakini wananunua bidhaa nao pia pointi za jumla ya bidhaa watakazonunua zikilingana upande wa kulia na wa kushoto kwa point 1200 utalipwa TZS 66,000.00 20

Kwa hiyo mfumo wa binary wa Alliance in motion unakulipa kwa kulinganisha mtu namtu, mtu na bidhaa, bidhaa na bidhaa. Pamoja na kwamba matching au milinganisho ya upande wa kushoto na kulia wa timu haina ukomo, kampuni inaruhusu kulipwa matching 16 tu kwa siku. Itakayozidi inabaki kuwa faida ya kampuni ili na yenyewe iweze kuendelea kuwa na nguvu ya kulipa watu. Kama tulivyokwishaona kwamba kwa matching moja mtu anapata TZS 66,000.00 Kwa milinganisho 16 atapata TZS 66,000.00 x 16 = TZS 1,056,000.00 kwa siku ambaye ni TZS 7,392,000.00 kwa wiki na TZS 31,680,000.00 kwa mwezi. 21

Kwa hiyo mfumo wa binary wa Alliance in motion unakulipa kwa kulinganisha mtu namtu, mtu na

bidhaa, bidhaa na bidhaa.

Pamoja na kwamba matching au milinganisho ya upande wa kushoto na kulia wa timu haina ukomo,

kampuni inaruhusu kulipwa matching 16 tu kwa siku. Itakayozidi inabaki kuwa faida ya kampuni

ili na yenyewe iweze kuendelea kuwa na nguvu ya kulipa watu. Kama tulivyokwishaona

kwamba kwa matching moja mtu anapata TZS 66,000.00 Kwa milinganisho 16 atapata TZS

66,000.00 x 16 = TZS 1,056,000.00 kwa siku ambaye ni TZS 7,392,000.00 kwa wiki na TZS

31,680,000.00 kwa mwezi.

21

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!