My final AIM Global booklet

06.06.2017 Views

Ukisha kuwa mwanachama kwa kununua hicho kifurushi cha kuanzia biashara utapata vitu vifuatavyo. Katika siku zako zote za kuwa kwenye biashara utakuwa unapata punguzo la aslimia 30-35% kila utakapokuwa unanunua bidhaa. Utapata tovuti yako utakayoweza kuitumia kuingiza watu chini yako kwenye biashara kutoka mahali popote duniani na pia utaweza kuingia kwenye account yako inayoitwa Distributors Tracking Centre au DTC na kuangalia mwenendo wa biashara yako kwa kuangalia jinsi timu yako inavyokua, bonus zako na mambo mengine yanayohusiana na biashara yako. Utapata kijitabu kinachoelezea habari ya kampuni, biashara yenyewe, bidhaa na utaona baadhi ya watu waliyofanikiwa kwenye hii biashara kupitia kampuni ya Alliance in motion. Uatapata pia mafunzo ya bure pamoja na timu 16

Kampuni ya Alliance ina njia saba za kukulipa bonus pale utakapofanya kazi. Mfumo wake wa ulipaji uko katika aina tatu tofauti na makampuni mengi yenye mfumo wa aina moja au miwili tu. Kwa sababu hiyo mfumo wa Allaiance in motion unaitwa Hybrid compensation plan. Kitu hybrid ni kitu kinachoweza kufanya kazi katika mfumo zaidi ya mmoja. Kwa mfano gari ambalo ni hybrid linaweza kutumia mafuta yaani petrol au diesel au linaweza pia kutumia gesi. Kuna aina 4 za mifumo ya ulipaji bonus kwenye makampuni ya mitandao. Nayo ni Binary, ambapo unajenga timu mbili tu za upande wa kushoto na kulia, kuna mfumo wa Unilevel ambao unakulipa asilimia fulani kutokana na kazi za waliyo chini yako mpaka kizazi fulani yaani cha 5,6, 10 na kadhalika kama itakavyokuwa imepangwa na kampuni husika. Halafu kuna Stair step break away. Hapa kuna ngazi za kupanda kutokana na utendaji wa mtu kwenye biashara na wachini yake akifika ngazi fulani anatoka katika kulelewa na aliyemuingiza kwenye biashara na kuanza kuwalea wale waliyoko chini yake. Aliyemuingiza ataanza kupata tu asilimia fulani kutoka kwenye kazi za huyo aliyetoka katika kulelewa nae badala ya kupata asilimia yote kama awali kabla huyo wa chini yake hajameguka. Ya mwisho ni Matrix ambayo hii hutegemea watu wanaoingia kuwapandisha wale ambao wako juu yao na haitumiki sana katika biashara ya mtandao kwa sababu imekaa kama zile biashara za upatu. Alliance in motion inatumia mifumo ya Binary, Unilevel na stair step. Tofauti ya Stairstep ya Alliance na Stairstep zingine ni kwamba Stair step ya Alliance haina ku break away au kumeguka mtu wa chini akifika ngazi fulani. Badala yake mtu wa chini akifika ngazi fulani kabla ya aliyemuingiza kwenye biashara inamfanya huyo wa juu yake kupandishwa na kuwa na ngazi sawa na wa chini yake aliyepanda. Malipo ya kwanza utakayopata ni ya faida ya reja reja ambayo ni kati ya asilimia 30 mpaka 35 kila utakaposhirikisha watu manufaa ya bidhaa na wakaamua kununua kwako. Tunatumia lugha ya kushirikisha kwa sababu kihalisi hatutembezi bidhaa kwa ajili ya kuziuza bali tunamshirikisha mtu hata wakati mwingine tukiwa hatuna bidhaa mkononi, akipenda ndiyo tunamletea. Ndiyo maana inaitwa biashara ya mahusiano (Relationship Marketing) 17

Ukisha kuwa mwanachama kwa kununua

hicho kifurushi cha kuanzia biashara utapata

vitu vifuatavyo. Katika siku zako zote za kuwa

kwenye biashara utakuwa unapata punguzo

la aslimia 30-35% kila utakapokuwa

unanunua bidhaa.

Utapata tovuti yako utakayoweza kuitumia kuingiza watu chini yako kwenye biashara kutoka mahali

popote duniani na pia utaweza kuingia kwenye account yako inayoitwa Distributors Tracking Centre

au DTC na kuangalia mwenendo wa biashara yako kwa kuangalia jinsi timu yako inavyokua, bonus

zako na mambo mengine yanayohusiana na biashara yako.

Utapata kijitabu kinachoelezea habari ya kampuni,

biashara yenyewe, bidhaa na utaona baadhi ya watu

waliyofanikiwa kwenye hii biashara kupitia

kampuni ya Alliance in motion.

Uatapata pia mafunzo ya bure pamoja na timu

16

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!