06.06.2017 Views

My final AIM Global booklet

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Ujasiriamali na…. na….

Ujasiriamali na….

1

Kuna fursa nyingi sana ambazo

hubisha hodi milangoni kwetu.

Moja ya hizo fursa ni hii ya biashara

aina ya soko la mtandao

au kwa lugha nyingine relationship

au network marketing. Hi

biashara itakayoelezewa kwenye

kijitabu hiki ni ya kampuni inayojulikana

kwa jina la Alliance

in motion.

Ilianza nchini Ufilipino mnamo mwaka 2006 yenye makao yake makuu katika mji wa Pasig, huko huko Ufilipino.

Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2006 kampuni imeshazalisha mamilionea

zaidi ya 3500 ambao wamefanikiwa kutokana na biashara

Inamiliki jengo la ghorofa 23 ambapo

ndipo ofisi yake kuu ilipo.

Inafanya biashara ya kusambaza bidhaa za afya aina ya

virutubisho kwa kutumia wanachama. Imepata tuzo nyingi

kuanzia huko ufilipini, na duniani. Baadhi ya tuzo kubwa

ambazo imepata ni za dunia kwa kushika nafasi ya kwanza

kati ya makampuni mahiri 100 yanayofanya biashara ya

mtandao kwa mwaka 2015 na 2016, ilikuwa namba moja

kati ya makampuni yanayouza bidhaa kwa mtindo wa

kusambaza (Direct sales) mwaka 2015 na 2016, Mfumo

wake wa ulipaji wa bonus ulikuwa namba moja mwaka 2015

na Kiongozi wake mkuu alikuwa namba moja kwa viongozi

wa makampuni yaliyouza bidhaa mwaka 2014 na 2016. Pia

wanaume aliyeongoza duniani kwa mwaka 2016 alitoka Alliance

in motion.

2

Katika kusheherekea miaka 9 tangu

kuanzishwa kwake wanachama zaidi ya

elfu 50 walihudhuria hiyo sherehe iliyofanyika

ufilipini kwenye ukumbi

mkubwa sana uitwao Quirino grand stand

uliyoko katika mji wa Manila.

Katika hiyo sherehe walitengeneza mduara mkubwa

unaojulikana kama ‘smiley’ kwa watu kujipanga kwa mavazi

meusi na ya manjano kama inavyoonekana na ilifanya

hiyo smiley kuwa kubwa kuliko zote duniani ambazo

zimetengenezwa kwa kutumia watu. Tukio hilo

limeingizwa katika kumbukumbu za dunia za Guinness.

Mafanikio ya hii kampuni yametokana na mawazo, juhudi na uongozi thabiti wa hawa watu watatu.

3

Kiongozi Mkuu ni huyu Dr. Eduado

Cabantog. Yeye ni dakitari

kitaaluma na wamempa jina la

The visionary president kutokana

na uwezo wake mkubwa wa kuwa

na maono mbali mbali kwa ajili ya

kuboresha kampuni. Pia yeye ni

mmoja ya wajasiriamali 10 bora

kulingana na gazeti la Entrepreneur.

Alikuwa bora kuliko wengine

wote katika biashara ya

mtandao mwaka 2013-2014 kulingana

na MLMIA yaani Multi-

Level Marketing International

Association ambayo ni taasisi

Inayosimamia na kuratibu biashara

ya mtandao duniani. Pia alitambuliwa

kama mfanyabiashara

anaeongoza kwa mwaka 2013

kwenye mkutano wa wafanya biashara

ya soko la mtandao uliyofanyika

Bangkok.

Mwingine ni huyu Francis

Miguel ambaye ni Engineer

wa Computer kitaaluma.

Yeye anashughulika zaidi

na masuala ya mahesabu ya

kampuni na wanamuita

mwongozaji na mshauri wa

washauri (Mentor of mentors)

Pia kuna huyu Bwana Raymund John

Asperin ambae ni Afisa masoko

mkuu wa kampuni na ni mhitimu wa

masomo ya utabibu. Nae amepewa

jina la Bwana hamasa (Mr. Excitement)

4

Miili yetu hushambuliwa na vijasumu

viitwavyo free radicals

kwa lugha ya kigeni ambavyo

hudhoofisha au kuharibu uwezo

wa kinga ndani ya chembe hai

(cells) zetu.

Hapa unaweza kuona jinsi gani

chembe hai imeshambuliwa na

free radicals na kuharibika

kabisa. Kwa hali kama hii mtu

ambae chembe hai zake

zimeshambuliwa kwa kiasi hiki

lazima atapata maradhi fulani

kutokana na kinga yake mwilini

kudhoofishwa.

Ni vigumu sana kuzuia hizo free radicals kuingia

kwenye mwili wa mtu kutokana na ukweli

kwamba zinamuingia mtu kutokana na……

Chakula anachokula.

Dawa anazotumia

Vinywaji anavyokunywa

Hewa anayovuta na kadhalika.

5

Miili yetu hua inajitengenezea kinga ya virutubisho viitwavyo antioxidants ili kukabiliana na hizo free

radicals zisiweze kuharibu chembe hai zetu.

Miili hutengeneza hivyo virutubisho vya kinga mtu anapokuwa hajafikia miaka 30. Lakini kuanzia hiyo

miaka 30 na kuendelea mwili hukoma kutengeneza hivyo virutubisho na inabidi kuvipata kutoka nje ya

mwili. Ndiyo maana watu wengi wakishafika umri wa miaka 35 na kuendelea matatizo au magomjwa

mbali mbali huanza kujitokeza kwa sababu ya kukosa virutubisho muhimu mwilini.

6

Virutubisho aina ya phytonutrients

yaani vitokanavyo na mimea vimethibitika

kuwa kinga nzuri sana dhidi

ya free radicals. Shirika la afya duniani

WHO wametoa maelekezo

kwamba ili uwe na kinga ya kutosha

mwilini kuweza kupambana na magonja

lazima uwe na uwezo wa kula

angalau aina 5 za matunda na aina 5

za mboga mboga kila siku bila kukosa.

Hayo matunda lazima yaliwe

mazima yaani maganda, tunda la

ndani na mbegu bila kuacha kitu.

Kama ni chungwa kula ganda lake

mpaka mbegu maana maganda na

mbegu ya matunda ndiyo yenye

virutubisho vingi sana kuliko tunda

tu la ndani.

Kutokana na ukweli kwamba imeonekana kuwa vigumu kwa watu kuweza kula matunda na mboga

mboga kama ilivyoshauriwa na WHO kampuni ya Alliance in motion imeingia ubia na kampuni

kubwa sana ya Natures way ili kutengeneza virutubisho vitakavyomsaidia mwanadamu kuongeza kinga

ya mwili na kuepukana na magonjwa au kuyaondoa kama tayari yameshamshambulia. Kiwanda cha

Natures way kipo Wisconcin, Marekani. Kiko kwenye uzalishaji wa virutubisho kwa zaidi ya miaka 50

sasa. Hakina madeni, kina aina zaidi ya 700 ya virutubisho vinavyotengenezwa hapo, bidhaa zake zinakubalika

na wayahudi yaani kosha rating na jamii ya kiislamu kwa nembo ya Halaal. Kina madakitari

na wataalam wa miti shamba zaidi ya 200. Bidhaa zake zimefanyiwa utafiti wa kina sana na ndiyo kinaongoza

duniani kwa kutengeneza virutubisho.

7

Kwa kushirikiana na Natures way Alliance in

motion imetengenezewa bidhaa kadhaa

zenye virutubisho vitokanavyo na mimea

yaani phytonutrients. Bidhaa kuu ambayo ni

uti wa mgongo wa bidhaa za kampuni ya

Alliance in motion ni hii iitwayo Complete

24/7 au C24/7. Kirutubisho hiki kina uwezo

mkubwa sana wa kulinda chembe hai,

kuongeza kinga mwilini, Kuziongezea

nguvu, Kukuza chembe hai, kuziwezesha,

kuzipendezesha, kuzikinga dhidhi ya

maradhi ya moyo na kukinga dhidhi ya saratani

aina mbali mbali.

C24/7 ina virutubisha zaidi ya 22,000 vitokanavyo na mimea. Vikiwemo aina 29 ya vitamin na madini,

aina 12 ya matunda kamili, aina 12 ya mboga mboga, aina 14 ya mimiea ya kijani, aina 12 za uyoga, aina

18 za amino acids-hizi hutengeneza protini mwilini, vimeng’enya aina 12, aina 12 ya virutubisho

maalum, aina 10 ya mafuta muhimu mwilini, aina 5 ya virutubisho vinavyorefusha maisha, na aina 4 ya

virutubisho vinavyozuia muonekano wa uzee.

Haya ni matunda aina 12 yanayosaidia kukinga dhidi Aina 12 ya mboga mboga.

Mimea ya kijani aina 12

Uyoga aina 12 nyingi zikiwa za kijapani kama

shiitake, hiratake, maitake, Yamabushitake pia

kuna uyoga aina ya reishi na chagga inayojulikana

pia kama mfalme wa uyoga ambazo ni

maarufu sana katika kupambana na aina nyingi

sana za maradhi katika mwili wa binadamu.

8

Kirutubisho cha C24/7 kimetengenezwa kwa mfumo unaoitwa NANO Technology. Hii ni teknologia

inayofanya chembe za virutubisho kuwa ndogo sana zaidi ya mara 100 ya chembe hai za binadamu.

Teknologia hii imewezesha aina mbalimbali ya virutubisho, zaidi ya 140 kusindikwa kwenye kidonge

kimoja. Kutokana na udogo wa chembe za virutubisho kidonge kinapomezwa virutubisho vyote huingia

kwenye chemba hai za mtu na kufanya kazi kwa ubora zaidi katika kuiweka vizuri afya ya mtumiaji.

Hii tecnologia inakua sana katika hii karne ya 21. Zamani mtu ilibidi awe na santuri nyingi sana kama

alitaka kuwa na maktaba ndogo ya santuri za muziki nyumbani. Lakini kwa teknolojia ya nano siku hizi

mtu anaweza akaweka hata nyimbo tofauti zaidi ya efu 10 kwenye chombo kimoja ambacho kinabebeka

kwa urahisi, kama vile kwenye eternal hard drive, flash disk, CD na kadhalika. Kama utengenezaji

wa kila kirutubisho kilichopo ndani ya kidonge cha C24/7 kingetengenezwa pekeyake, utengenezaji

na usafirishaji wa hizo bidhaa ungekuwa wa gharama zaidi. Jambo la pili ni kwamba C24/7 ina

alkaline ndani yake. Mwanadamu huwa anakuwa na asidi ama alkaline mwilini mwake. Magonjwa

mengi ikiwemo saratani hukaa katika mazingira ya asidi. Hakuna ugonjwa wowote ikiwemo hiyo saratani

unaoweza kuishi kwenye mazingira ya alkaline. Maana yake kwa mtu yoyote anaetumia bidhaa ya

C24/7 yenye alkaline hakuna ugonjwa unaoweza kukaa mwilini mwake. Ukitumia aina moja tu ya

kirutubisho hakitakuwa na nguvu kama kutumia mchanganyiko wa virutubisho vingi aina mbali mbali.

C24/7 inatumia teknologia inayojulikana kama Syner-tech ambayo ni mkusanyiko wa virutubisho aina

nyingi tofauti. Kasha linalohifadhi huo mchanganyiko wa virutubisho uliyosindikwa nalo linatokana na

mboga mboga ndiyo maana kidoge cha C24/7 kinaitwa V-cap au Vegetarian capsule. Kikimezwa

kidonge huchukua dakika 15 tu kuyeyuka tofauti na vidonge vingi vinavyochukua kuanzia nusu saa na

kuendelea.

9

Dr. Otto Warburg aliyeshinda tuzo mwaka 1931 kwa kugundua ugonjwa wa Kansa au saratani amethibitisha

kwamba hakuna ugonjwa wowote ikiwemo kansa unaoweza kudumu katika mazingira yenye

alkaline. Kwa waathirika wa VVU haijathibitika kutibu ila kwa kutumia virutubisho vya Alliance in motion

kinga huongezwa kwa kasi sana na mtu kuendelea kuwa na afya nzuri.

24/7 ni ufumbuzi wa asili kwa mogonjwa aina

mbali mbali kama vile saratani ya matiti.

Kisukari kama inavyooneka mtu amepona kidonda

cha kisukari ambacho mara nyingi hupelekea mtu

kukatwa mguu.

Saratani ya kizazi

Athma

10

Mishipa inayovimba miguuni ambayo wakati

mwingine hupasuka na kuleta shida kubwa.

Kurutubisha viungo na njia za uzazi ambavyo

kwa vipimo vimeonekana havina shida lakini

bado wanandoa hawapati mtoto.

Matatizo ya kuvimba fizi na kutokwa damu.

Uvimbe wa shingoni, goiter ambao mara nyingi

huondolewa kwa upasuaji.

Vimbe mbali mbali kwenye mfuko wa uzazi wa mwanamke ambazo huondolewa kwa upasuaji.

11

Kwa ujumla C24/7 inasaidia katika kuondoa au kurekebisha shida zaidi ya 100 katika mwili wa

binadamu.

Hapa inaonyesha virutubisho aina 24 vya makampuni mengi vyote vikiwemo ndani ya C24/7 ya

12

Tuna bidhaa hii inayoitwa Restorlyf.

Kwa mtu anaetaka kuishi miaka mingi

na akiwa anaonekana bado ana mguvu

na ngozi kuwa katika hali nzuri atumie

hii. Restorlyf inarudisha umri nyuma

kwa zaidi ya asilimia thelathini. Ndani

ya hiyo bidhaa kuna virutubisho vyote

ambavyo vimo kwenye bidhaa ya Complete

kwa maana Complete imechanganywa

humo. Pia inasaidia sana katika

kukinga au kuondoa magonjwa ya

uzeeni kama Saratani, kisukari, shinikizo

la damu, baridi yabisi na kadhalika.

Ni bidhaa maarufu ambayo imeshawahi

kuonyeshwa katika television

mbali mbali na majarida kama Fox

news, Forbes, CNN, 60 minutes, Mayo

clinic, Oprah Winfrey show na kadhalika.

Bidhaa nyingine ya kampuni ya Alliance ni

hii inayoitwa Complete. Ina virutubisho

vitokanavyo na mimea yaani phytonutrients

zaidi ya 16,000. Virutubisho vyake

vyote ni sawa na vilivyomo kwenye C24/7

isipokuwa yenyewe haina vile virutubisho

vya kurefusha maisha na vinavyozuia

muonekano wa uzee. Bidhaa hii ni hasa

kwa ajili ya wanawake wajawazito na

wanaonyonyesha pia kwa vijana au watoto

wenye umri ya chini ya miaka 17 maana

hao bado wanahitaji kukua. Wajawazito na

hao vijana wadogo hawatakiwi kabisa kutumia

C24/7.

Kwa wanaosumbuliwa na lehemu au cholesterol Alliance in motion ina bidhaa hii nzuri sana iitwayo

Choleduz kwa ajili ya kuondoa lehemu kwenye mishipa ya damu na mafuta yanayouzunguka moyo na

kusababisha maradhi ya moyo na hatimaye ugonjwa wa kiharusi. Inasaida kuzuia mtu kupata maradhi

ya moyo, inasaidia macho kuwa na afya nzuri na inaufanya ubongo wa mtu kuwa na utendaji mzuri sana.

13

Mychoco ni bidhaa nzuri sana kwa watoto na watu wazima. Kwa wazazi ambao watoto wao hawapendi

kula matunda au hawana hamu ya chakula wawape Mychoco. Ladha yake ya chocolate au cocoa watoto

wanaipenda sana na watakuwa wanadai kupewa kila wakati. Ndani yake kuna bidhaa ya Complete ambayo

ina phytonutrients zaidi ya 16,000 hivyo itawafanya watoto kuwa na afya njema. Pia ina

kirutubisho cha DHA au Docosahexeonic acid ambayo ni nzuri katika kuamsha ubongo na kuufanya

uweze kuwa makini katika kunasa mambo na kuwa na kumbukumbu nzuri. Hasa kwa watoto ambao

utendaji wao darasani siyo mzuri kutokana na akili kuwa nzito. Wakiwa wanatumia Mychoco mara kwa

mara akili zao zitachangamka na hawatakuwa na magonjwa ya mara kwa mara.

Kuna kahawa pia zinazoitwa Liven coffee ambazo ziko katika ladha aina tatu lakini

zote zina alkaline na zote zimewekewa bidhaa ya complete kuzifanya ziwe na virutubisho zaidi ya

16,000. Zimepunguzwa sana kiwango cha caffein. Hii ni kahawa ya kwanza ya aina yake yenye alkaline.

Inamkinga mtu dhidi ya magonjwa mbali mbali au kumuondolea matatizo ambayo tayari anayo mwilini.

Kwa wasiyotumia sukari tunayo pia kahawa isiyo na sukari yeye utamu utaokanao na mmea

uitwao Stevia.

14

Ili kuanza kuifanya hii biashara ni lazima ujiandikishe chini ya ya mtu hasa aliyekupa habari zake.

Nunua kifurushi cha kuanzia biashara - starter pack chenye bidhaa. Bei ya kifurushi kwa sasa ni

shilingi za kitanzania laki 560 ambacho kina bidhaa zenye thamani ya zaidi ya laki 660. Mtu

atakaekuingiza kwenye biashara maana lazima uingie chini ya mtu atakuelekeza utaratibu wa kunua

hicho kifurushi cha kuanzia. Usajili huu ni mara moja tu katika maisha yako yote utakayokuwa kwenye

15

Ukisha kuwa mwanachama kwa kununua

hicho kifurushi cha kuanzia biashara utapata

vitu vifuatavyo. Katika siku zako zote za kuwa

kwenye biashara utakuwa unapata punguzo

la aslimia 30-35% kila utakapokuwa

unanunua bidhaa.

Utapata tovuti yako utakayoweza kuitumia kuingiza watu chini yako kwenye biashara kutoka mahali

popote duniani na pia utaweza kuingia kwenye account yako inayoitwa Distributors Tracking Centre

au DTC na kuangalia mwenendo wa biashara yako kwa kuangalia jinsi timu yako inavyokua, bonus

zako na mambo mengine yanayohusiana na biashara yako.

Utapata kijitabu kinachoelezea habari ya kampuni,

biashara yenyewe, bidhaa na utaona baadhi ya watu

waliyofanikiwa kwenye hii biashara kupitia

kampuni ya Alliance in motion.

Uatapata pia mafunzo ya bure pamoja na timu

16

Kampuni ya Alliance ina njia saba za kukulipa bonus pale utakapofanya kazi. Mfumo wake wa ulipaji

uko katika aina tatu tofauti na makampuni mengi yenye mfumo wa aina moja au miwili tu. Kwa sababu

hiyo mfumo wa Allaiance in motion unaitwa Hybrid compensation plan. Kitu hybrid ni kitu

kinachoweza kufanya kazi katika mfumo zaidi ya mmoja. Kwa mfano gari ambalo ni hybrid linaweza

kutumia mafuta yaani petrol au diesel au linaweza pia kutumia gesi. Kuna aina 4 za mifumo ya ulipaji

bonus kwenye makampuni ya mitandao. Nayo ni Binary, ambapo unajenga timu mbili tu za upande wa

kushoto na kulia, kuna mfumo wa Unilevel ambao unakulipa asilimia fulani kutokana na kazi za waliyo

chini yako mpaka kizazi fulani yaani cha 5,6, 10 na kadhalika kama itakavyokuwa imepangwa na kampuni

husika. Halafu kuna Stair step break away. Hapa kuna ngazi za kupanda kutokana na utendaji wa

mtu kwenye biashara na wachini yake akifika ngazi fulani anatoka katika kulelewa na aliyemuingiza

kwenye biashara na kuanza kuwalea wale waliyoko chini yake. Aliyemuingiza ataanza kupata tu asilimia

fulani kutoka kwenye kazi za huyo aliyetoka katika kulelewa nae badala ya kupata asilimia yote kama

awali kabla huyo wa chini yake hajameguka. Ya mwisho ni Matrix ambayo hii hutegemea watu

wanaoingia kuwapandisha wale ambao wako juu yao na haitumiki sana katika biashara ya mtandao kwa

sababu imekaa kama zile biashara za upatu. Alliance in motion inatumia mifumo ya Binary, Unilevel na

stair step. Tofauti ya Stairstep ya Alliance na Stairstep zingine ni kwamba Stair step ya Alliance haina

ku break away au kumeguka mtu wa chini akifika ngazi fulani. Badala yake mtu wa chini akifika ngazi

fulani kabla ya aliyemuingiza kwenye biashara inamfanya huyo wa juu yake kupandishwa na kuwa na

ngazi sawa na wa chini yake aliyepanda.

Malipo ya kwanza utakayopata ni

ya faida ya reja reja ambayo ni

kati ya asilimia 30 mpaka 35 kila

utakaposhirikisha watu manufaa

ya bidhaa na wakaamua kununua

kwako. Tunatumia lugha ya kushirikisha

kwa sababu kihalisi

hatutembezi bidhaa kwa ajili ya

kuziuza bali tunamshirikisha mtu

hata wakati mwingine tukiwa

hatuna bidhaa mkononi, akipenda

ndiyo tunamletea. Ndiyo maana

inaitwa biashara ya mahusiano

(Relationship Marketing)

17

Malipo ya pili tuanayaita Direct referral bonus. Unapojiunga unapaswa kuanza na timu ya upande wa

kulia na wa kushoto kama unavyoona hapa. Utakapoingiza mtu upande wa kwanza utalipwa TZS

24,200.00. Ukiingiza wa pili utalipwa tena hivyo hivyo. Kila utakapomuingiza mtu utakuwa unapata hiyo

Direct referral bonus bila kukosa. Hakuna ukomo wa kuingiza watu.

Aina ya tatu ya malipo ni Matching bonus. Kila unapomuingiza mtu ananunua kifurushi cha kuanzia

biashara chenye pointi 1200. Kwa hiyo ukiingiza mtu upande wa kushoto na ukingiza mwingine

upande wa kulia ukawa na mtu upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia tuansema wamematch

au wamelingana kama inavyoonekana. Ikiwa hivyo kwa kila mtu atakaelingana na mtu mwingine

wa upande wa pili utalipwa TZS 66,000.00. Mizunguko hiyo itaendelea bila kukoma na hao watu watakaokuwa

wanalinganishwa siyo lazima uwe wewe umewaingiza kwenye biashara. Ni wale wote waliyochini

yako bila kuangalia wameingizwa na nani.

18

Uliyowaingiza kwenye biashara nao wakiingiza watu kama ulivyofanya wewe nao watalipwa kwa mfumo huo huo

kama ulivyolipwa wewe. Ukiangalia hapa uliwaingiza A kushoto na B kulia nao wameingiza watu wawil kila mmoja.

Wamelipwa bonus ya kuingiza mtu yaani TZS 24,200.00 kwa kila waliyemuingiza na wamelipwa matching bonus ya

kila waliyolingana upande wao wa kushoto na kulia, ya TZS 66,000.00 kila mmoja.

C D E F

Lakini pamoja na kwamba wewe hukuwaingiza hao watu C, D, E na F waliyoingizwa na A na B

uliyowaingiza wewe, bado kampuni inatambua kwamba bila wewe hao watu wasingekuwa kwenye

hii biashara. Kwa hiyo itakulipa TZS 66,000.00 kwa kila watu watakaolingana chini yako bila kujali

wameingizwa na nani. Hapa utalipwa kwa C kulinganishwa na E, TZS 66,000.00) na D kulingnishwa

na F, TZS 66,000.00). Mzunguko huo utaendele na hauna kikomo.

19

Kuna wakati upande mmoja unaweza ukawa unaingiza watu kwa kasi na mwingine taratibu au kutoingiza

mapema. Kwa utaratibu wa Alliance upande usioingiza kwa haraka lakini waliopo wananunua

bidhaa, jumla ya point za bidhaa zote zilizonunuliwa upande huo zikifika 1200 mfumo wa kampuni

unatafuta mtu wa upande wa pili wa kulinganisha nae na utalipwa TZS 66,000.00.

Pia inawezekana watu kwa kipindi fulani hawaingii kwenye biashara pande zote lakini wananunua bidhaa

nao pia pointi za jumla ya bidhaa watakazonunua zikilingana upande wa kulia na wa kushoto kwa

point 1200 utalipwa TZS 66,000.00

20

Kwa hiyo mfumo wa binary wa Alliance in motion unakulipa kwa kulinganisha mtu namtu, mtu na

bidhaa, bidhaa na bidhaa.

Pamoja na kwamba matching au milinganisho ya upande wa kushoto na kulia wa timu haina ukomo,

kampuni inaruhusu kulipwa matching 16 tu kwa siku. Itakayozidi inabaki kuwa faida ya kampuni

ili na yenyewe iweze kuendelea kuwa na nguvu ya kulipa watu. Kama tulivyokwishaona

kwamba kwa matching moja mtu anapata TZS 66,000.00 Kwa milinganisho 16 atapata TZS

66,000.00 x 16 = TZS 1,056,000.00 kwa siku ambaye ni TZS 7,392,000.00 kwa wiki na TZS

31,680,000.00 kwa mwezi.

21

Unaweza ukaanza na akaunti

moja yaani kwa kununua kifurushi

kimoja tu cha kuanzia

biashara na ukaendelea kujenga

timu yako.

Au akaunti tatu zote kwa jina lako.

Kwa kuwa na akaunti tatu maana

yake utaweza kupata kipato mara 3

ya yule mwenye akaunti moja.

Na kwa anaetaka biashara ikuwe

kwa haraka inayompa pesa nyingi

sana ataanza na akaunti saba zote

kwa jina lake. Hizi zitamwezesha

kupata kipato mara 7 ya mwenye

akaunti moja.

22

ONE YEAR SCENARIO MATCHING BONUS ON SPONSORING ONLY

ONE ACCOUNT

January

February

March

April

May

June

July

August

September

October

November

December

YOU

1

2

4

8

16

32

64

128

256

512

1024

2048

1,951 Matches

Matching Bonus

TZS 66,000.00

TZS 132,000.00

TZS 264,000.00

TZS 528,000.00

TZS 1,056,000.00

TZS 2,112,000.00

TZS 4,224,000.00

TZS 8,448,000.00

TZS 16,896,000.00

TZS 31,680,000.00

TZS 31,680,000.00

TZS 31,680,000.00

TZS 128,766,000.00

Ukianza na kifurushi kimoja na ukaifanya biashara vizuri na timu yako kwa kila mmoja kuingiza watu

Ukianza na vitatu kipato kitakuwa zaidi ya TZS. 325,050,000.00 katika miezi 12.

Na ukianza na vifurushi saba kipato kitakuwa TZS 848,496,000.00. Kwa mtu anaeweza ni vizuri zaidi

ukianza na vifurushi saba vinalipa zaidi hasa pale ukipata watu wanaoingia chini yako kwa vifurushi

saba pia.

23

Aina ya 4 ya bonus inaitwa Unilevel. Kampuni itakulipa kwa manunuzi yote ya bidhaa ambayo yatafanywa

na timu yako kuanzia kizazi cha kwanza hadi cha 10. Kwa manunuzi yote ya kizazi cha kwanza

utalipwa 10%. Kizazi cha pili hadi cha 10 utalipwa 5%. Jambo la kufurahisha ni kwamba kama kuna

wasiyofanya kazi kati ya kizazi cha kwanza mpaka cha kumi bado mfumo wa kampuni utawatafuta

waliyo kwenye kizazi cha 11 na kuendelea na kuwapandisha ili vizazi 10 vya kukulipa vitimie. Inaitwa

dynamic compression ambayo makakmpuni mengi hayatumii.

Aina ya 5 ya bonus ni Stair step. Kwenye hii unapanda ngazi kutokana na points za manunuzi ya kurudia

ya kwako na timu yako. Kila bidha ina point zinazoitwa positional points. Zikifika 10 unapanda

ngazi na kuwa Silver Executive. Kwa ngazi hiyo utakuwa unalipwa asilimia 10 ya manunuzi ya wote wa

chini yako kwenye biashara. Mtakapoendelea kunua bidhaa na zikafika points 90 ambazo zitajumlishwa

na zile 10 za Silver Executive kwa vile hua hazifutiki, utakuwa umefikisha point 100 na utapanda

ngazi na kuitwa Gold Executive. Ukiwa Gold Executive utalipwa asilimia 20 kutokana na manunuzi ya

timu iliyo chini yako. Ukikifikisha points 1000 utaitwa Global Ambassador. Utapata asilimia 30 kutoka

kwa timu iliyo chini yako.. Hakuna muda maalum uliyopangwa wa kutimiza hizo points. Unaweza

ukasubiriwa kwa muda wowote ule. Hakuna kushushwa ngazi. Na hakuna kumpita wa juu yako. Wa

chini yako akiwa Global Ambassador kabla yako wote mtakuwa ma Global Ambassador.

24

Aina ya 6 ya bonus ni GA Max.. Hii inalipwa kwa mtu aliyefikia ngazi ya Global Ambassador. Analipwa

aslilimia 2 kutoka kwa maglobal ambassador waliyo chini yake kuanzia kizazi cha kwanza hadi cha

10. Ikiwa mtu wa chini yako akawa Global ambassador kabla yako, mfumo wa kampuni utawafanya

wote waliyo juu ya huyo Global Ambassador kuwa ma global ambassador na kila mmoja atalipwa

asilimia 2 ya kazi za ma global ambassadors waliyo chini yake mpaka kizazi cha 10.

Kuna ngazi zingine zaidi kwa ma GA ambapo wanalipwa 35% mpaka 40%.

Aina ya 7 na ya mwisho ni gawiwo la faida au profit share ambayo utaingizwa kwenye kapu la gawiwo

la faida ukiwa Global Ambassador mwenye point 2000 na kupata 2% ya faida yote ya kampuni kwa

mwaka husika.

25

Pia kampuni inakuwa na safari za Ulaya, Asia na Marekani kila mwaka kwa wanachama wake wanaofikia

malengo ya kwenda hizo safari.

Kuna watu wengi wamefanikiwa sana kimaisha kwa kupitia hii biashara. Mmoja wapo ni huyu kijana mdogo, Joseph

Lim wa Ufilipino, ambaye amemaliza chuo miaka ya karibuni lakini kupitia Alliance in motion ameweza kuwa millionea

mkubwa sana.

26

Hawa ni waganda ambao pia hii biashara imewapa mafanikio sana kwa kuwabadilishia mfumo wa maisha yao.

Pia kuna huyu binti wa kitanzania , Mary, ambaye ameipigania hii biashara na kuisimamia vilivyo tangu mwaka

2015 nae amepata mafanikio makubwa. Yeye ndiyo sababu ya hii biashara kuvuma Tanzania maana aliitendea kazi.

27

Watu maarufu na matajiri kama Kanu wa Nigeria aliyewika sana katika ulimengu wa kandanda duniani wameingia

kwenye biashara ya Alliance in motion

Watu wenye ulemavu wa viungo hata wanajeshi wamejiunga na biashara ya Alliance in motion.

28

Mashehe na masista pia wanafanya biashara ya Alliance in motion.

Watu wa kila taaluma na wasiyo na taaluma wote wanaweza kufanya biashara ya Alliance in

motion. Ni fursa sawa kwa watu wote bila kujali elimu au uwezo wa kipato cha mtu.

29

Ukifanya biashara ya Alliance in Motion, mfumo wa

maisha yako utabadilika kabisa.

Utafika wakati utatembea na pochi iliyojaa pesa.

Familia itakuwa yenye furaha na amani

Watoto wako watasoma shule bora

Utaishi kwenye nyumba ya ndoto yako.

Utaendesha gari unalolipenda

Kama ulishasahau kwenda supermarket na familia

au kama hujawahi kwenda kabisa utaanza kwenda.

Ukiwa usingizini utaota ndoto zitakazokufanya utabasamu

katika hali yako ya usingizi.

30

Karibu kwenye familia ya Alliance in Motion Global. Jiunge na uwe mmoja wetu. Mtu aliyekupa kijitabu hiki

atakuelekeza na kukuonyesha namna ya kujiunga na kuanza biashara. Wala usihofu kwamba utaielewaje biashara.

Aliyekukaribisha pamoja na timu nzima ya wanachama watatembea na wewe hatua kwa hatua mpaka utakapoelewa

na kuweza kufundisha wengine. Fanya ndoto zako ziwe hai. Kwa biashara ya mtandao na hasa ya Alliance in Motion

Tukiwa na Mungu na tukiwaa na Alliance in Motion Global kila kitu kinawezekana.

31

Taarifa za kijitabu hiki zimekusanywa na:

Julius Kayombo

32

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!