06.05.2016 Views

Chapter 75

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Afande, tafadhali

tuskize tu, tunaomba

kwa upole.

Afande, badala ya vijana

kuonewa hivi, tungekuwa

tunafanya kazi pamoja

kumulika hawo wagondi

mnatafuta...

Kwa nini

mnakuanga vichwa

ngumu vijana? Sasa

kupeana simu pia ni

vita? Alafu

tukiwa-arRest

mnateta?!

ComMunity

policing afisa.

Sisi hatuna

ubaya

Shida yenu

vijana ni kuwa huwa

mnakusanyika ovyo

ovyo hadi mnakaA

ma-suspects...

MnafaA kufanya

vitu za maAna na

lives zenu.

Hamtaona

tukiwafunga...

eh?

wewe ni

nani?

excuse me!

naitwa

deEpti.

nataka

kujua

mbona boyie

ameshikwa!

sikuUliza

jina yako! nauliza

wewe ni nani kwa

hii nchi?

chenye mnafanya

hapa si halali! watu

wameshikwa wako na

rights! hamuwezi mkafanya

tu chochote mnataka!

kulingana na

sheria, mtu ameshikwa

lazima aAmbiwe, kwa

lugha anaelewa, mbona

ameshikwa. mbona

umeshika boyie?

madam huwezi

nifunza kazi yangu!

hawa walikuwa tu

kwa barabara, lazima

walikuwa wanapanga

ujambazi!

si ati kukufunza

kazi yako! ni sheria

ukitaka nikuonyeshe

kwa simu, article 41

ya katiba.

ona...

22

phewks!

heh! na huyu

ni mjuaji

kweli!

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!