Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
not for sale

R

CHAPTER 75

elationship yenu

ules zenu!

Pg 4

Torch Smart

Charlie Pele ana save

village yake! Pg 12

Jua rights

zako!

Ama ulale ndani!

Pg 18

Vanessa Mdee

Usiogope maoni yako!
2

Samuel Pizzicato Ukona mdomo kuwa mpaka unaongeanga na

capital letter// Andrew Azim Odhiambo Dj B wewe ni mchoyo
mpaka Unajifichanga ndio umeze mate// Kwenu kuna

insecurity hadi police station hufungwa saa kumi.

3
4

5
6
kuna Garvin kiti kwa Sanchozil mathree//Muthuri Mingusa Vincent Dj we unaogopa Ujinga ni kijibaba wasee kupata wa 7

gari K’ogalo imecrash hadi alafu wakiitisha kinawauliza #stoney kwani unatoroka imeanguka?//James mbio. Cashies //
aAdaye kwa

maria kim...

Karibu sana

Shamala. Unajua Avie

siku hizi ni neigbour

wangu hapa?

Amehamia huku...

Wow! Nyinyi

warembo mnapendana

sana, hadi Avie

amehamia huku!

avie, mimi na

shamala tuna asSignment

ya shule tunataka

ku-do chapchap. hope

hauta-mind...

ah-ah!

si-mind!

Avie, wewe na

boyfie wako si

mko rada!

Na hata

usitake jua venye

Maria Kim

huwasifu!

haha!

maria kim ndiye yuko

rada! ye husema tu

vitu poa kuhusu

mabeshte wake. She’s

such an angel!

8
9
10
11
AKIBA HAOZI

12

Gadafi Nyaeri ujinga ni kuenda kwa shop nakuuliza ,unauzaaje bamba

fifty//Josphine Sian Ujinga ni kutooga kifua juu roho ni safi//Irun-
GATES

MONEY

gu Mwangi ujinga ni kusema huna ndoo ili hali una mashilingi kwa

kichwa//Prince Wilfixon Rotich Wilfie ujinga ni kuuliza condaa ka

13
GATES

MONEY

14
GATES

MONEY

kuna kiti kwa mathree//Muthuri Vincent Ujinga ni kijibaba kupata gari

imecrash alafu kinawauliza kwani imeanguka?//James Cashies Ujinga

15
GATES

MONEY

16

ni kutafuta police station kwa redio//Evans Gesura Ujinga ni

kumeza mara moja mara mbili//Sifa James Ujinga ni kubuy kam-
GATES

MONEY

ba ya kwenda kujinyonga alafu unaitisha balance//Mafuniko Ruwa

Ujinga n kufua nguo kwa maji ya moto ili ikauke haraka.//Nicholas

17
18

Murimi Ujinga ni kujiita sonko juu unaitwa mike.//Suzy Dembowz

ujinga ni kubuy kiberiti na kutest ka zte znafanya//Gneiss Gemini
mnaenda ndani

nyinyi wote!

kwani

tume-do?

tulikuwa

tu tunasikiza

ngoma ya

manlike!

hakuna kitu

tume-do!

tembea!

mtaongea

mbele!

ujinga ni kuuliza watchman ameamka aje.//Stephen Makanda Ujinga

ni chali kuita dem yake honey na anaogopa nyuki

19
20
afande ebu

fikiria kama ingekuwa

ni brathako kwa hii

celL...

brathangu

aki mangamanga kama

wewe, tafunga yeye

mimi mwenyewe

personalLy!

nimesikia simu...

nani ako

na simu?

hamtaki

kusema ni nani?

mnataka

mchezo, eh?

nitawaonyesha

mchezo!

21
Afande, tafadhali

tuskize tu, tunaomba

kwa upole.

Afande, badala ya vijana

kuonewa hivi, tungekuwa

tunafanya kazi pamoja

kumulika hawo wagondi

mnatafuta...

Kwa nini

mnakuanga vichwa

ngumu vijana? Sasa

kupeana simu pia ni

vita? Alafu

tukiwa-arRest

mnateta?!

ComMunity

policing afisa.

Sisi hatuna

ubaya

Shida yenu

vijana ni kuwa huwa

mnakusanyika ovyo

ovyo hadi mnakaA

ma-suspects...

MnafaA kufanya

vitu za maAna na

lives zenu.

Hamtaona

tukiwafunga...

eh?

wewe ni

nani?

excuse me!

naitwa

deEpti.

nataka

kujua

mbona boyie

ameshikwa!

sikuUliza

jina yako! nauliza

wewe ni nani kwa

hii nchi?

chenye mnafanya

hapa si halali! watu

wameshikwa wako na

rights! hamuwezi mkafanya

tu chochote mnataka!

kulingana na

sheria, mtu ameshikwa

lazima aAmbiwe, kwa

lugha anaelewa, mbona

ameshikwa. mbona

umeshika boyie?

madam huwezi

nifunza kazi yangu!

hawa walikuwa tu

kwa barabara, lazima

walikuwa wanapanga

ujambazi!

si ati kukufunza

kazi yako! ni sheria

ukitaka nikuonyeshe

kwa simu, article 41

ya katiba.

ona...

22

phewks!

heh! na huyu

ni mjuaji

kweli!
23