13.07.2015 Views

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliMambo makuu ya kuzingatia katika katiba ni:• Malengo ya chama• Haki, wajibu na malengo ya wanachama• Viwango vya viingilio• Hisa na michango• Uongozi na majukumu• Vikao na mikutano• Utunzaji wa kumbukumbu• Mikopo na riba• Taratibu za kutoa mikopo• Migawanyo ya faidaMambo ya msingi ya kusimamia na kuendesha chama cha Akiba na Kukopa ni pamojana:oooooooUhiari wa wanachamaUongozi uwe wa kidemokrasiaKusiwe na urasimuChama lazima kiwe na vitabu vitakavyotumika kuweka kumbukumbu ya hifadhi zafedha za wanachamaUwekaji wa akiba uwe wa mara kwa maraMkopo ulipwe kwa muda uliopangwaFedha za chama ziwekwe benki au kwenye masanduku maalum ya kutunzia kwautaratibu uliopendekezwa Mahesabu ya chama yafanyiwe ukaguzi mara kwa mara.Kikundi kama hiki kinaunganisha nguvu pamoja na kupunguza tatizo la kupata hudumaya kifedha hasa katika maeneo ya vijijini.Hata hivyo jambo la msingi la kufanikishamalengo ya vyombo hivi ni kuzingatia kanuni zilizowekwa na wahusika. Vilevile utaalamwa kutosha wa kuendesha na kusimamia chombo vya namna hii ni muhimu uwepo.25

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!