13.07.2015 Views

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliSehemu ya NaneChama cha Akiba na KukopaChama cha akiba na mikopo ni kikundi cha watu waliojiunga kwa hari yao kufanyaushirika wa kuweka akiba zao kwa pamoja na kutoa mikopo kwa urahisi kutokana naakiba zao.Kwa wafugaji wa kuku kubiashara wanashauriwa kuwa na chombo cha namna hiikitakachokuwa na utaratibu wa wanachama kuweka na pia wanachama hawa kuwa nafursa ya kukopa kwa lengo kubwa la kuendeleza ufugaji wao kuku kibiashara.Ufugajiwa kibiashara ungehitaji kuongeza mtaji mara kwa mara kulingana na mahitaji ya sokohusika. Mfumo wa kuweka na kukopa utakuwa chanzo kizuri na cha kuaminika kukidhihaja ya mtaji endelevu kwa wafugaji wa kuku.Michango kwa ajili ya akiba inaweza kutokana na makato ya mapato yanayotokana namauzo ya bidhaa za kuku ( vifaranga,mayai, kuku n.k. ). Au kiwango maalum kwa wakatimaalum kinaweza kuwekwa na wanachama ili kitolewe kwa utaratibi wanaokubalianana.Wanachama wanaweza kukopa kutoka kwenye chama chao kwa ajili ya ununuzi wamahitaji,mbalimbali ya kuku kama:• Madawa• Vyakula• Ukarabati au ujenzi wa mabanda ya kuku n.kFaida za chama kama hiki ni:• Wanachama watapata sehemu ya kuhifadhi pesa yao kwa usalama kwa ajili yamatumizi ya baadaye.• Masharti ya kukopa ni nafuu kuliko vyombo vingine vya kifedha.• Wanachama hujifunza misingi ya kushirikiana, mahusiano na kusaidiana.• Wanachama hupata maarifa ya ziada kuhusu maswala ya kifedha.Chama cha namna hii, lazima kiwe na kanuni za kukiongoza ambazo hutungwa nawanachama wenyewe.Kanuni hizi zilenge kulinda malengo ya chama na kila mwanachama anawajibikakuzizingatia.24

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!