biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ... biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

13.07.2015 Views

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliSehemu ya SabaMasokoKatika biashara ya aina yoyote mzalishaji hana budi afahamu mambo kadhaa ya msingiyatakayomsaidia kufanya maamuzi ya kumuwezesha kupata faida ya juu katika biasharaanayoifanya:Kwanza kabisa ajiulize kama bidhaa anayozalisha ina soko? Na kama soko lipo:• Lipo wapi na hali ya miundombinu za kulifikia iko vipi ( ili afahamu gharama ya kufikasokoni kama utaamua kuuzia sokoni).• Bidhaa inahitajika kwa wingi kiasi gani na wakati gani sokoni• Soko linahitaji bidhaa yenye sifa zipi ( ubora n.k. ili uzalishe sawa na matakwa ya sokon.k)• Kama wanunuzi watakuwa na utayari kununulia unakozalishia, je unao uwezo wakutosheleza mahitaji yao (ili uweze kujipanga kukidhi mahitaji kwa kuongeza uzalishajiau kwa kuungana na wazalishaji wengine).• Linganisha bei ya bidhaa sokoni na bei ya kuuzia unakozalishia (ili ujue palipo na faidazaidi kwako baada ya kuondoa gharama za kufuata soko) Ila ukiamua kuuzia sokonihakikisha unao uwezo wa kushindana na wauzaji wengine huko sokoni.Majibu ya maswali haya ndiyo yatakayokupa msingi wa kujipanga kiuzalishaji ili hatimayeupate faida. Hivyo hata kabla hujaanza kuzalisha fahamu haya yaliyotajwa hapa juu.Kutafuta na kutumia taarifa za masoko ya sehemu tofautiKwa kadri utakavyokuwa unaendelea kuzalisha, mabadiliko mbali mbali yatatokeakuhusiana na uzalishaji wako na hata kuhusiana na soko la bidhaa unayozalisha kwamaana ya kuku.Ili uendane na mabadiliko yanayotokea ni muhimu mzalishaji upate taarifa za hali yasoko mara kwa mara. Taarifa hizi zitakusaidia kufanya maamuzi yatakayokuwezeshakuendelea kupata faida.Taarifa za masoko zinaweza kupatikna kwa wazalishaji kadhaa kuungana na kuundaumoja wao. Katika umoja huo wawakilishi wachache wanakuwa na jukumu la kutafutataarifa za masoko ya kuku sehemu mbali mbali ambako kunaweza kuwapa wazalishajitija zaidi.Walio katika umoja huo watatumia taarifa hizo kufanya maamuzi ya kuuza kwa faidazaidi kwa pamoja au kwa mmojammoja kutegemeana na hali halisi. Watoa taarifa pia22

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa Asiliwatafanya mawasiliano ya kuwajulisha wanunuzi juu ya upatikanaji wa kuku kwenyemaeneo wanakozalishiwa.Mbinu zaidi ya kupata masoko mazuriUmoja wa kuzalisha na kuuzaKwa kawaida kama bidhaa ina soko, wateja hupatikana kwa urahisi pale wanapohakikishiwaupatikanaji wa bidhaa kwa wingi katika sehemu moja.Katika hali hii, wanunuzi huwa tayari hata kununua kwa bei ya juu zaidi kwa sababu yakupunguza muda na gharama ya kutafuta bidhaa ya kutosha kupeleka sokoni.Kwa upande wa kuku jambo hili linawezekana kama mfugaji atafuga kuku wengi wa umriusiopishana sana kwa wakati mmoja. Watakapofikia kimo kinachofaa kuuza utawauzawengi kwa wakati mmoja na kwa faida zaidi.Mahali ambapo mfugaji mmoja mmoja hawezi kukidhi wingi wa hitaji la wanunuzi,wafugaji kadhaa wanaweza kuunda umoja wao wa kuzalisha (kila mmoja kwake ) nakuuza kwa kipindi kimoja na kupata faida zilizotajwa hapa juu.Faida nyingine ya kuuza katika umoja ni kuongezeka kwa uwezo wenu wa kupanga nakusimamia bei mnayotaka kuuzia. Sauti na uamuzi wenu wa pamoja utawapa nguvu yakusimamia bei yenu mnayoipanga dhidi ya bei za chini wanazotaka wanunuzi. Uwezowako wa kusimamia bei unyoitaka ni mdogo ukiuza peke yako.23

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!