biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ... biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

13.07.2015 Views

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliHapa utaweza kujua wastani wa matumizi ya chakula kwa idadi ya kuku na kwa kipindihusika.Tarehe ya kuuza……………………….Idadi iliyouzwa……………………………Umri wa kuku wakati wa kuwauza................Mapato kutokana na kuuza……………………Kumbukumbu ya Kutibu MagonjwaTarehe3.7.20095.9.2009MagonjwacoccidiosismdondoTibateramycinfurazolidoneMaoni (vifo, gharama nk)Kumbukumbu hii itakusaidia kujua magonjwa yanayosumbua mara kwa mara na kwakipindi kipi. Pia na dawa inayosaidia zaidi kwa tatizo husika.Chanjo au Kudhibiti magonjwaTarehe Ugonjwa/Wadudu6.8.2009 Viroboto5.10.2009 coccidiosisDawaKunyunyiza doom powder au sevin powderAmprol katika maji, kinga dhidi yaGharamaJinsi ya Kufahamu Faida UnayopataIIi uweze kufahamu faida unayopata kutokana na ufugaji wa kuku inakupasa kutunzakumbukumbu za matumizi na mapato ya kila siku.Kwa mfano:Upande wa matumizi ingiza• Gharama ya kununua vifaranga (kama walitotolewa hapo hapo nyumbani inafaaukadirie gharama hiyo).• Gharama ya chakula.20

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa Asili• Kama unatengeneza na kuchanganya wewe mwenyewe kadiria kwa kutumia bei zaviungo ghafi.• Gharama ya mafuta ya taa (kama uliwakuza vifaranga kwa joto Ia taa).• Gharama ya kusafisha banda kubadili matandazo.• Gharama za madawa ya kinga (chanjo) na tiba.Upande wa mapato ingiza mapato kutokana na:• Mauzo ya mayai.• Mauzo ya kuku hai.• Gharama ya mayai yaliyotumiwa nyumbani.• Mauzo ya mbolea kutoka katika banda.Ufuatao ni mfano unaoonyesha jinsi ya kuingiza taarifa hizi katika daftari la kumbukumbu.Kumbukumbu ya Kutibu MagonjwaTareheJumlaMatumiziKununua vifaranga30 @ 200/=Kununua vyakulakilo 10 @150/=Dawa ya kukohoa1500/=Dawa ya wadudu1000/=……nk.Sh.6,000/=1,500/=1,500/=1000/=….. nkTareheMapatoMauzo ya mayai 10@150/=Mayai na kukuwaliotumiwanyumbaniMauzo ya kuku 20@ 4000/=Mbolea iliyouzwa…. nkSh.1,500/=7,000/=80,000/Baada ya kufanya mauzo yote ya kundi jumlisha matumizi yote na jumlisha na mapatoyote katika kipindi kizima cha kufuga.Ili kufahamu faida uliyopata fanya hesabu hii:Jumla ya Mapato yote - Jumla ya Matumizi yote = Faida21

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!