biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ... biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

13.07.2015 Views

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliWadudu washambuliao Kukusaumu menya robokilo utwange nukuchanganya namaji lita moja. Chujauwapatie maji haya kwamuda wa wiki moja.Viroboto,Chawa,PapasiKuku hawatulii, hujikunamara kwa mara.Hupungukiwa na damu nauzitoWadudu huonekanamwiliniWadudu washambuliaoKukuUsafi wa banda namazingiraBanda lipitishe hewa yakutosha ili liwe kavuNyunyizia kuku na bandazima dawa za kuua wadudukama vile Akheri powder,Malathion, Servin n.kNjia kuu za ujumla za kudhibiti magonjwa ni:• Kutunza hali ya usafi ndani ya banda nakudhiditi kusiwe na unyevu• Matandazo yakichafuka yabadilishwe.• Vyombo vya maji visafishwe kila siku• Jitahidi uepuke kufuga kwa njia ya huriaili kuku wako wasiambukizwe magonjwakirahisi• Epuka kufuga kuku wako pamoja na batana khanga.Hawa ni wabebaji wa vimeleavya magonjwa ya kuku japo wao hubakisalama.• Zingatia ratiba za chanjo kwa magonjayasiyo na tiba kama kideri na mengineyoya virusiKutoa chanjo ya kideri kwa njia ya kuwekamatone ya dawa katika machoKutoa chanjo ya kideri kwa njia ya kuweka matone ya dawa katika macho18

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliSehemu ya SitaKusimamia Ufugaji WakoKutunza kumbukumbuIli ufanikiwe katika ufugaji wa kuku, ni muhimu sana kulifahamu vyemi kundi la kukuwako. Ukilifahamu vema kundi lako utaweza:Kuchagua kuku bora wa kuzalishia kwa kuangalia ubora wa wazazi wao.Kufahamu historia ya afya ya kundi, kwa mfano• Umri ambapo vifaranga vilipata chanjo.• Ni chanjo ya aina gani.• Magonjwa ambayo yamewahi kushuambulia kundi, na dawa ulizotumia katikamatibabu.• ldadi ya kuku wanaokufa.• Kukadiria kiasi cha chakula ambacho kuku wako watahitaji kwa muda fulani na ainaya chakula.• Kujua kila siku kuku wametaga mayai mangapi.• Kujua utahitaji muda gani kutunza kuku toka vifaranga mpaka wanapofikia kuuzwa.Ili uweze kufahamu mambo haya yote unahitaji kutunza kumbukumbuUfuatao hapa chini ni mfano rahisi wa kutunza kumbukumbu za kuku tangu wangalivifaranga mpaka wanapofikia uzito wa kuuzwa.Mfano wa Kumbukumbu za ufugaji wa KukuKumbukumbu ya VyakulaTareheKiasi cha Chakula(Kilo)15Kundi / Umri wakuku na idadi yaoVifarangaMaoni (Gharama,Kimetumika kwa muda ganink)25WanaokuaJumla19

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!