13.07.2015 Views

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliSehemu ya TanoMagonjwa ya KukuMagonjwa ya kuku yapo mengi. Hata hivyo siyo yote yanatokea mara kwa mara hapaTanzania. IIi uweze kudhibiti yale yanayotokea katika kundi lako unahitaji kufahamudalili za jumla za magonjwa hayo. Unapoigundua moja au zaidi ya dalili za ugonjwaau wadudu chukua hatua mara moja. Yapo magonjwa ambayo yanaweza kuangamizakundi lote la kuku katika.muda mfupi.Jihadhari na uwezekano wa kupatwa na hasara zinazoletwa na magonjwa ambayounaweza kuyazuia.Katika sehemu hii utajifunza kwa muhtasari tu dalili za jumla za magonjwa ya kuku najinsi ya kuyadhibiti.Dalili za Jumla za Magonjwa ya Kuku• Kuku kupoteza hamu ya kula.• Kuzubaa na kukaa mahali pamoja kwa muda mrefu (Kutochangamka).• Kushuka kwa kiwango cha utagaji wa mayai.• Vifaranga kutokua upesi au kudumaa. - Macho kuwa na rangi nyekundu.• Kujikunja shingo.• Kutetemeka, kutoa majimaji puani, mdomoni na machoni.• Kutoa mharo (kinyesi) wa rangi ya kijani au wenye mchanganyiko na damu au cheupe.• Kukonda.• Kukohoa.Ukiona moja au zaidi ya dalili hizi katika kundi lako chukua hatua za kutibu zilizoelezwahapa chini. Kama hali ni ngumu zaidi omba msaada kwa mtaalam wa tiba ya mifugo iliachunguze mara moja na kukushauri jambo la kufanya.Muhtasari wa Magonjwa Muhimu ya Kuku na Jinsi ya Kuyadhibiti na KutibuUgonjwa1. Kideri(Newcastle)ChanzoVirusiDaliliKukohoa, kupumuakwa shida.Mwilikukosa nguvu; shingokujikunja.Kuharisha kijani.Kuku hufa wengiKuhara damu.Kudhibiti na KutibuVifaranga wachanjwekatika juma lao lakwanza. Chanjo la piliwanapofikisha umri wamiezi 4 na nusu.Chanja kuku kila baada yamiezi mitatu.16

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!