13.07.2015 Views

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Biashara ya kuku wa asiliRLDC na Uboreshaji wa Maisha VijijiniShirika la Rural Livelihood Development Company (RLDC ni moja ya mafanikioya ushirikaiano kati ya Tanzania na Uswisi kwenye mchakato wa kupambana naumaskini na kuboresha maisha ya jamii za vijijini. Hii ni taasisi isiyo ya kibiasharaili yoanzishwa mwaka 2005 na mashirika ya Intercooperation na Swisscontact,lengo kuu likiwa kutekeleza Programu ya kuendeleza maisha ya jamii za vijijini(RLDP). Programu hii inasha bihiana na Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupambanana Umaskini (MKUKUTA). Dhamira kuu ya RLDC ni Kuendeleza/kuboresha mifumo ya masoko ili kuwawezesha wazalishaji wa vijijini kutumiafursa zilipo kuboresha maisha yao.Kwa sasa, RLDC inatelekeleza awamu ya pili ya mpango wake (2008-2011)na inaweka msukumo zaidi kwenye uendelezaji wa mifumo ya masoko. RLDCinafanya kazi katika mikoa sita ya Kanda ya kati-Dodoma, Singida, Morogoro,Shinyanga, Tabora, na Manyara. Jamii nyingi maskini zinaishi katika ukanda huuwenye sehemu kubwa yenye hali ya mvua chache na nusu jangwa inayostawishashughuli chache za kiuchumi.Hata hivyo kuna fursa nyingi sana zinazoweza kutoa ajira na kuboresha yajamii zake. RLDC inafadhiliwa na Serikali ya Uswisi kupitia shirika la Uswisi lamaendeleo (SDC).Kwa sasa RLDC inawezesha sekta za pamba, alizeti, maziwa, ufugaji wa kuku wakienyeji, mpunga na habari kupitia vipindi vya redio kwa ajili ya wazalishaji wavijijini.“RLDC inaboresha mifumo ya masoko ili kuwezesha wazalishaji wavijijini kuinua maisha yao”2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!