biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ... biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

13.07.2015 Views

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliMama yao akitengwa na vifaranga arudishwe kwenye kundi lenye jogoo, atapandwana kurudia kutaga mapema. Kwa njia hii kundi la kuku litakuwa kubwa kwa muda mfupi.Kwa kawaida vifaranga wengi hufa kabla ya kufikisha miezi miwili kutokana na baridi,kuliwa na wanyama wengine na magonjwa.Ili kudhibiti magonjwa, vifaranga wapewe chanjo dhidi ya magonjwa yafuatayo:a. Kideri ( New castle) siku ya 3 baada ya kuanguliwa, rudia baada ya wiki tatu kishauchanje kila baada ya miezi mitatu.b. Kuhara damu au rangi ya ugoro (Coccidiosis) : Wapewe kinga kwa dawa yaAmprolium kwa siku 3 mfululizo wanapofikisha umri wasiku 7 baada ya kuanguliwa.c. Gumboro wanashusha mbawa na kujikusanya pamoja kwa baridi, pia wanaharishanyeupe.Hutokea kuanzia wiki ya 2 hadi ya 18.Wapewe chanjo siku ya 10 hadi ya 14baada ya kuanguliwa na rudia baada ya siku 28 na 42. Kwa magonjwa mengineangalia maelekezo sehemu ya magonjwa ndani ya mwongozo huu.Vifaranga wapewe chakula kilichoelezwa katika sehemu ya tatu ya kijitabu hiki namaji safi ya kutosha wakati wote kwa muda wa miezi miwili. Baada ya hapo wanapewachakula cha kuku wanaokua.Kuku wakikaribia kupevuka wakiwa na miezi mitatu hadi minne tenganisha tembana majogoo ili kudhibiti kuku wenye uhusiano wa damu wasipandane wao kwa wao.Wakipandana na mayai yao yakianguliwa hawatatoka vifaranga wenye sifa nzuri mfano:ukuaji wao utakuwa hafifu kuliko wazazi wao, uwezo mdogo kuhimili magonjwa nawengine wanaweza kuwa na ulemavu. Pia zingatia matemba hao wasipandwe na babayao. Vilevile majogoo hao wasimpande mama yao.12

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliSehemu ya NneUtunzaji wa KukuUlishajiKuku kama mifugo mingine uhitaji chakula chenye virutubisho vyote vinavyohitajikamwilini ili kukua upesi na kuwa na na afya nzuri . Chakula kinachofaa ni mchanganyikowa viini lishe mbalimbali vyenye kazi tofauti mwilini. Kila kiini lishe hakina budi kiwekatika kiwango sahihi kulingana mahitaji ya mwili wa kuku katika umri tofauti.Kuku anahitaji chakula chenye viini lishe vifuatavyo:Kiini lisheWangaMafutaProtiniVitaminiMadini (calsiumna Fosforas)Kinapatikana katika chakula ganiPumba,Chenga za nafaka kamamahindi, mtama.Mashudu yanayopatikana baada yakukamua mbegu za mafuta kamaalizeti, karanga n.kMashudu ya karanga au alizeti.Damuiliyokaushwa ya wanyama kamambuzi, ng’ombe n.k. Mbegu za jamiiya mikunde kama maharage, kunde,soya....Majani mabichi kama mabaki yamboga za majani, michicha ya porini,majani mabichi ya mipapai, majani yaLusina n.k.Unga wa dagaa, unga wa mifupailiyochomwa, chokaaKazi yake mwiliniKutia nguvu mwiliniKutia nguvu na jotomwiliniKujenga mwili nakukarabati mwiliKulinda mwili. Majanimabichi pia huwezeshakuku kutaga mayai yenyekiina cha njano, rangiambayo huwavutia walajiwengi.Kujenga mifupa,kutengeneza magandaya mayai13

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliMama yao akitengwa na vifaranga arudishwe kwenye kundi lenye jogoo, atapandwana kurudia kutaga mapema. Kwa njia hii kundi la kuku litakuwa kubwa kwa muda mfupi.Kwa kawaida vifaranga wengi hufa kabla ya kufikisha miezi miwili kutokana na baridi,kuliwa na wanyama wengine na magonjwa.Ili kudhibiti magonjwa, vifaranga wapewe chanjo dhidi ya magonjwa yafuatayo:a. Kideri ( New castle) siku ya 3 baada ya kuanguliwa, rudia baada ya wiki tatu kishauchanje kila baada ya miezi mitatu.b. Kuhara damu au rangi ya ugoro (Coccidiosis) : Wapewe kinga kwa dawa yaAmprolium kwa siku 3 mfululizo wanapofikisha umri wasiku 7 baada ya kuanguliwa.c. Gumboro wanashusha mbawa na kujikusanya pamoja kwa baridi, pia wanaharishanyeupe.Hutokea kuanzia wiki ya 2 hadi ya 18.Wapewe chanjo siku ya 10 hadi ya 14baada ya kuanguliwa na rudia baada ya siku 28 na 42. Kwa magonjwa mengineangalia maelekezo sehemu ya magonjwa ndani ya mwongozo huu.Vifaranga wapewe chakula kilichoelezwa katika sehemu ya tatu ya kijitabu hiki namaji safi ya kutosha wakati wote kwa muda wa miezi miwili. Baada ya hapo wanapewachakula cha kuku wanaokua.Kuku wakikaribia kupevuka wakiwa na miezi mitatu hadi minne tenganisha tembana majogoo ili kudhibiti kuku wenye uhusiano wa damu wasipandane wao kwa wao.Wakipandana na mayai yao yakianguliwa hawatatoka vifaranga wenye sifa nzuri mfano:ukuaji wao utakuwa hafifu kuliko wazazi wao, uwezo mdogo kuhimili magonjwa nawengine wanaweza kuwa na ulemavu. Pia zingatia matemba hao wasipandwe na babayao. Vilevile majogoo hao wasimpande mama yao.12

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!